udhaifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Not_James_bond

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, huduma za kifedha kupitia simu za mkononi zimekuwa mkombozi mkubwa kwa watu wengi. Applikesheni kama M-Pesa zimeleta urahisi wa kufanya miamala, kulipia bili, kutuma na kupokea pesa, kwa haraka na salama — angalau ndivyo inavyotarajiwa. Hata hivyo, kuna...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati nilidhania ongezeko la visirani kwa wadada ni kutokana na mabadiliko ya nyakati ila nilikosea. Ni kutokana udhaifu wa vidume wa kisasa

    Vijana wanababaishwa sana na wadada kwa sasa. Hata michepuko sasa eti inapelekesha boya hadi inanunulia malaya gari. Sio baba zao, sio boyfriend zao, sio wame zao kwa hawa wadada wa kileo. Wote chaliiii. Msimamo mkali wa mwanaume tangu enzi na wala ndoa hazikuwahi kuvunjika time and time...
  3. Bueno

    JamiiForums Tanzania Tell Us About Your Weakness

    Mimi nina madhaifu mengi ila udhaifu mkubwa nilionao siwezi kukaa sehemu ambayo haina hewa ya kutosha yaan Oxygen ya kutosha. Namaanisha kama ukiniweka sehemu ambayo hakuna Oxygen ya kutosha hua nateseka sana tena sana natesekaaaaa, yaan unaweza ukashangaa umeniua bila kutarajia. Na nikijua tu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule kutofungwa wakati wa likizo ni udhaifu wa Kamishna wa Elimu na watendaji wake

    Miaka ya hivi karibuni kumekua na tabia imeibuka na imeota mizizi ya kuwanyima wanafunzi haki yao ya kupumzika wakati wa likizo.Shule nyingi zimekua haziwapi likizo wanafunzi mpka mwezi wa 12. Hii ina maana wanafunzi wanasoma mwaka mzima bila kupumzika.Tabia hii ilianza kwa shule binafsi hasa...
  5. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wako hupaswi kuwa kizuizi chako cha kuwa vile unapaswa kuwa

    Mit 30:26 SUV [26] Wibari ni watu dhaifu; Lakini hujifanyia nyumba katika miamba. Wimbari ni viumbe ambavyo ni wadogo na dhaifu, hali yao haijawazuia kufanya kile kitakuwa usalama kwao, wanajenga makazi yao kwenye miamba. Udhaifu wao hujawazuia kujenga nyumba, nyumba ambayo itakuwa usalama...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kaonesha udhaifu kwenye uongozi kushambulia wanaharakati kutoka Kenya

    Uongozi sio cheo ni uwezo wa kuelewa unachoambiwa, kuchambua, kupima na kuhudumia. Hotoba ya jana ni kama alikuwa anaviambia vyombo vya dola hadharani nisaidieni mimi nimeshindwa. Kama amiri jeshi mkuu, kaonyesha hana uwezo wa kutunza siri moyoni, ana roho nyepesi, ilikuwa nusura alie...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Boni yai umefafanua vyema leo. Nimeelewa G55 ni nini na udhaifu wao. CHADEMA ametoa mwongozo mzuri kuhama basi

    Ni kweli kama uchaguzi ulikuwa mzuri na Mbowe alisimamia Demokrasia. Je hao G.55 walipatwa na nini. Njaa au kukosa maono ya maisha yao ya kisiasa. Asante Boni Umewasaidia Watanzania Bravo hotuba yako ina impact sana.
  8. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Kidogo ulicho nacho si udhaifu , ni mwanzo wa ushindi

    “Mwenye nacho huongezewa, asiye nacho hunyang’anywa hata kile kidogo alicho nacho.” - Mathayo 13:12 (Biblia). Inaweza kuonekana kama isiyo na haki, lakini ndani yake imefichwa kanuni ya mafanikio, ukuaji wa ndani, na nguvu ya fikra. Kwa nini Mwenye nacho huongezewa?……. Ana mtazamo wa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu

    Lisu/Heche et all , for that matter Chadema mnajidanganya, Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Sidhani kama nguvu yenu na heshima yenu itabaki kama ilivyokuwa Na G 55 pia, Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. Sidhani kama mtakako kwenda mtapata heshima kama mliyokuwa nayo chadema, likewise...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Jinsi mfumo wa utawala uliopo hivi sasa na udhaifu wa bunge ni wazi mtoto wa raisi anaweza kuchukua nafasi ya raisi kwa muda na kufanya maamuzi msijue

    Kwa jinsi siasa za sasa zilivyo kuna uwezakano mkubwa kuwa mtoto wa raisi anaweza kusimama kama raisi na kufanya maamuzi na ku-control kila kitu kama yeye ndie raisi na msijue na hata asichukuliwe hatua za kisheria. Hii inaweza kutokana na sababu nyingi sana kama vile uwepo wa rushwa, mahakama...
  11. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Utengano huu? Sio udhaifu huu?

    Wakati Sheihk akishauri kua wanaozunguka wakidai tume huru ya uchaguzi washughulikiwe. Unakutana na chama ambacho uchaguzi uliopita kiongozi wa ngome ya vijana wake alichezea kichapo cha mbwa mwizi bila kosa lolote, kikisisitiza kua kitashiriki uchaguzi yani badala ya vyama vyote viungane ili...
  12. Oppo A17k

    JamiiForums Tanzania Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

    1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate 2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kagame kumpigia Marco Rubio kuhusu mgogoro ni udhaifu

    Kagame anajua kuna beef la South Africa na USA kwasababu ya BRICS. Sasa kajioendekeza kwa Marco Rubio ambaye ni kama waziri wa mambo ya nje wa USA. Yaani migogoro yetu wanajenshi wetu wanakufa mpaka leo tunasubiria wazungu wazuie sisi kuuwana. Kijinga zaidi silaha tuna nunua kwao.! Lakini kagame...
  14. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Japo wana udhaifu wao, wanawake ndio nguzo ya familia na dunia kwa jumla

    Unaweza kuziorodhesha dosari zao nyingi tu,lakini mwanamke ndio nguzo ya familia na dunia nzima.Ndio wanaleta furaha,wanapamba nyumba,wanazaa na kulea watoto,ndio nguzo ya kiuchumi ya familia.Tuwape maua yao
  15. De Opera

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha YANGA kinaficha udhaifu wa SIMBA SC

    Wakati tukiinyoshea Yanga kidole na kuituhumu kuwa kiwango kimeshuka basi, tusiisahau Simba pia. Tunajua Simba inaonekana kwa sababu Yanga anafanya vibaya. Simba inapata matokeo ambayo ni mpaka mtu ashike roho hadi mpira umalizike ndio aiachie. Ukiondoa mechi za ligi kuu. Kwa kundi la CC...
  16. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania ZItto aonesha udhaifu kiuongozi

    Wakati Tundu Lisu anatangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CDM taifa, muda mchache baadae Zitto Kabwe kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, hasa ukurasa wake kwenye mtandao wa X (zamani Twitter) ameonesha kufurahishwa siyo na kitendo cha Lisu kugombea, Bali kwamba kuna...
  17. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa utawala wa Assad kumeonyesha udhaifu mkubwa sana kwa Iran na Urusi

    Utawala wa bashar al assad umeanguka Utawala wa assad ungetakiwa uanguke miaka zaidi ya 10 iliyopita sema kilichokua kinamsaidia ni msaada wa russia na iran ulimfanya kuweza kudumu kwa mda wote huo Syria wengi ni wa-sunni na ndo wanaounda vikundi vingi vya waasi hata hawa waliochukua nchi ni...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Anaejua ubora na udhaifu wa TV za Hisense anijuze

    Wanajamvi salaams Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naomba kujua ubora na udhaifu wa TV za Hisense ninawaza nikanunue. Nawakaribisha pia kwa ushauri wa TV bora Natanguliza shukrani
  19. Magical power

    JamiiForums Tanzania Oa au olewa na mtu wa udhaifu wako yule wa matamanio yako ili ujivunie

    Hakikisha unakuwa na mtu wa udhaifu wako yaani kuna raha nikisema kuna raha niamini kuna raha jamani. Oana na wa aina yako Ukimuwaza unapata hisia, huchoki kumtazama, unatembea naye njiani kwa kujiamini. Hutopenda ajihisi mpweke au umtese kihisia Ndugu yangu usikubali kuambatana na mtu asiye...
  20. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanakiri udhaifu wao kwa vitendo; Mbowe yuko busy anawajazia fomu wagombea wa CHADEMA uchaguzi wa serikali za mitaa

    mwaka 2019 wagombea wengi wa CHADEMA walienguliwa kwa sababu ya mapungufu makubwa kwenye ujazaji wa fomu za uteuzi. Mwaka 2024 CHADEMA wamejifunza somo sasa viongozi wote wanawasaidia kujaza fomu ili lisiwapte la 2019. Ni jambo jema kukiri makosa kwa vitendo FRV. Gaspar E. Temba...
Back
Top Bottom