udhaifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr HQ

    JamiiForums Tanzania Naomba nifahamishwe nama ya kutumia Mti wa MVUNGE kwa maradhi udhaifu wa mwili

    Tuna mtoto wa mama mdogo Ana tatizo la mifupa yake na mwili wake upo dhaifu tumejaribu kuuliza tukaambiwa tujaribu kuuliza kuhusu mti mvunge ni tiba nzuri. jamani naomba kwa mwenye kujua jinsi ya kutumia mti huo na jinsi ya kuupata mti huo tunaomba msaada.🙏🙏🙏
  2. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa marais unawapa umwamba sampuli za akina Mwigulu Nchemba

    Mfano mzuri ni tabia ya Mwigulu ambayo ilivumiliwa na marafiki kama akina Kikwete kwa sababu zao za kiharibifu hadi kupewa nafasi kubwa ktk CCM. JPM akamuondoa ktk uwaziri. Sasa ameingia rais ambaye wengi tunaamini anashauriwa. Bahati mbaya wanaomshauri ni wale wale wenye akili ya kiharibifu...
  3. MenukaJr

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa mapendekezo ya CHADEMA kuhusu Katiba Mpya

    Katika chapisho la kwanza nilieleza namna mapendekezo ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA yasivyoweza kutupatia Katiba mpya, bora na shirikishi kama alivyosema. Kwa ajili ya kumbukumbu, Freeman Mbowe alisema kuwa Rais aunde Tume huru ya Katiba. Tukamwambia haiwezekani, swala la Tume ya...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama tu Injinia Hersi wa GSM na Yanga SC yake anaonyesha 'Udhaifu' huu kwanini Yanga SC isiwe na Matokeo mabaya na ya hovyo hovyo?

    Yupo Studioni sasa EFM kwenda ' Kuzurula ' na ' Kuwadanganya ' wana Yanga SC na ameulizwa Swali dogo lenye Kuhitaji jibu fupi tu na Mtangazaji Tunu Hassan Shemkome na Majibu yake ( Injinia Hersi Said ) yakawa hivi ( haya ) .... Swali Mtangazaji Tunu... Je, bado Injinia Hersi anadhani Yanga SC...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Matapeli kutumia utambulisho wa vyombo vya dola kunathibitisha udhaifu wa vyombo au mazoea yamezidi?

    Sabaya aliwahi kutumia kitambulisho Cha TISS akabainika ila kesi yake ikafutwa akateuliwa kuwa DC Shinyanga amekamatwa Mwalimu mwenye kitambulisho Cha JWTZ pamoja na official documents za chombo hiki nyeti akituhumiwa kufanya utapeli. Uhamiaji tumeona hivi karibuni wakitoa adhabu huku...
  6. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa viti maalum kaeni kimya kuficha udhaifu wenu

    Tangu wiki hii ianze tumeshuhudia ushauri wa ajabu sana kutoka kwa Wabunge wa viti maalum. Kila wanachoongea ni pumba tupu hadi unajiuliza hawa watu walipatikana vipi. Ushauri wangu kaeni kimya maadam mshahara wa milioni 11 unaingia kila mwezi. Biblia imeandika "HATA MPUMBAVU AKINYAMAZA...
  7. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania "Upole si udhaifu" Mungu anaona Upole sifa muhimu sana

    Baadhi ya watu wanaamini upole ni udhaifu. Upole ni nini? Upole ni sifa muhimu inayomtafsiri mtu anaechukulia mambo kwa uzito bila kukurupuka. Mpenda haki, asiependa lawama. Mungu mwenyewe ni mpole ndio maana hajachukua hatua ya kuwaondoa waovu mapema,amewapa muda wa kutafakari. Musa alikua...
  8. X

    JamiiForums Tanzania Hofu miongoni mwa wana CCM ni udhaifu wa siasa za Hayati Magufuli: Rais Samia anajiamini

    Kumeibuka mada na mijadala mingi hapa JF na mitandao ya kijamii kutoka miongoni na wafuasi wa CCM inayokosoa, kulaani au kulalamikia mwenendo na misimamo ya utendaji wa Rais Samia. Zaidi kinachoendelea kwenye mijadala hii ni kumtaka Rais Samia “avae mabuti” na kupita njia za mtangulizi wake...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Serikali hii tutakuja ona madhara yake baadaye. Leo ni ishara ndogo mojawapo

    Serikali ina ahirisha match ya Simba na Yanga eti sababu Mwinyi anazindua kitabu. Huu ni wendawazimu. Anayetaka kuhudhuria Uzinduzi wa Mwinyi si aende na anayetaka kwenda angalia mpira si aende? Huu ndo udhaifu ambao tunaukataa miaka yote. Kuchanganya mambo binafsi ya Serikali na Wananchi...
  10. Brigadier Isaac

    JamiiForums Tanzania Jinsi Wanawake wanavyowafanya Wanaume kuwa dhaifu

    Habari wana JF[emoji1666]. Leo nimekuja nasula la kisaikolojia ambalo linahusu namna wanawake wanavyoathiri saikolojia ya wanaume ili kuwafanya watumwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu ataongea na Watanzania kesho kuelezea udhaifu wa Upinzani kupitia kipindi cha Clouds 360

    Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds. Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Bunge na kitisho kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kuna msemo unasema kiendacho kinazunguka hurudi kinazunguka. Wabunge takribani Asilimia 95 walipatikana kwa kauli na Maamuzi ya Hayati Dkt. Magufuli wakati akiwa mwenyekiti na katibu wake Dkt. Bashiru (Rejea mchakato baada ya Kura za maoni) Kawaiyo jamaa hao wataendelea kulihusudu jina la...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa TAKUKURU

    Wakichunguza kesi walizoelekezwa na wanasiasa badala wafuate mfumo wakisheria wanawapelekea Kwanza wanasiasa kuuliza kama wachukue hatua gani? Nchi nyingine uchunguzi ukikamilika unapata taarifa kamili kupitia vyombo vya habari na hatua zakuchukua. Lakini pia hakuna siku wananchi wanyonge...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nape: Kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu

    Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema kwa mujibu wa nyaraka za chama hicho tawala, kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu. Nape ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 15, 2021 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya waziri mkuu...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Uimara na udhaifu wa Mama Samia

    Ndugu zangu badala ya kutoa ushauri naomba mniruhusu nimhukumu Mama Samia kwa hotuba zake na teuzi zake japo ni mapema saana kufanya hivyo. Ameanza vizuri kwa ujumla lakini inabidi ajue mapema uimara wake na udhaifu wake: Uimara wake (strengths): 1. Alimtendea haki sana JPM wakati wa msiba...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

    Wakuu habari. Kuna huu msemo kua hakuna aliyekamilika chini ya jua. Hivyo kila mtu ana madhaifu yake, unaweza kua unaujua udhaifu wako au huujui lakini bado utakua na mapungufu flani kadha wa kadha. Mimi udhaifu wangu mkubwa ni u laissez faire na kua too gentleman. Mimi hua sio mtu wa kutake...
Back
Top Bottom