udhaifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Microsoft: TikTok kwa vifaa vya Android ina udhaifu ambao unasababisha udukuzi kuwa rahisi

    Katika zama za mawasiliano ya kidijitali, majukwaa ya mitandao ya kijamii yamekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu. Tunashiriki matukio yetu, kutambulisha hisia zetu, na kuungana na ulimwengu. Lazima pia tukubaliane na hatari zilizopo. Hivi karibuni, Microsoft iligundua uwezekano kwenye programu...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kugundua Udhaifu wetu ipo Siku Wazungu, Waeshia na Waarabu watatuzawadia Digrii za Heshima za 'Ujuha Uliotukuka' Waafrika

    Na cha Kushangaza Viongozi wao (wa Mataifa ya Wazungu, Waeshia na Waarabu) hawana hata muda wa Kuwazia kupokea Tuzo za Vidigrii vya Kipuuzi Kipuuzi bali wako busy kupambania Maendeleo ya Mataifa yao, ila wa huku Kwetu Afrika (ukiwaondoa wenye Akili Kubwa Museveni na Kagame ambao GENTAMYCINE...
  3. kali linux

    JamiiForums Tanzania Ukatili ni tokeo la udhaifu fulani ndani ya mtu

    Hello bosses and roses.... Hivi umeshagundua kuwa watu wakatili ni watu ambao wana udhaifu (weaknesses) fulani ambazo hawataki kuzikubali na hivyo kutaka kutumia ukatili kujidanganya (kutengeneza illusion) kwamba wana nguvu au wana control na hali yao kumbe sio. Wengi utakuta aidha ni mtu...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Bandari zetu; Nasikilizia lakini nauona udhaifu kwa wa-Zanzibari kwa waarabu

    Hili la Bandari, kuna watu wameamini ni vita ya kidini na wengine labda ubaguzi. Je, Umewahi kusikia mwafrika mweusi akiingia U-arabu? Yaani akafanya sherehe na kutangazwa rasmi kwamba leo kawa mwarabu? Yawezekana wa-Tangayika wengi wanaifahamu Z'bar ya pale mjini na hisia za wanasiasa kuwapiga...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

    Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM? Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie? --- Winshear...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania CCM ina udhaifu wa kupata viongozi wakuu wa nchi, Sasa nchi imeuzwa!

    Hadithi mitaani ni kwamba kumbe hata Ngorongoro ilikuwa ni dili la mwarabu! Misitu MWarabu! kila kitu sasa ni mwarabu. Ni maamuzi ya rais Samia. Tuliamini ni rais mwema, CCM iliamini ina kiongozi wa Tz. Zipo hadithi tofauti juu ya samia kuingia ktk siasa. Yeye mwenyewe alieleza safari yake kwa...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania tuna udhaifu katika uendeshaji wa mashtaka

    Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Tume ya Haki Jinai kushughulikia udhaifu uliopo katika ukamataji wa watuhumiwa, upelelezi, uendeshaji wa mashtaka pamoja na mambo mengine yanayofanyika magerezani ili kutoa haki kwa wananchi. Ameyasema hayo leo wakati akipokea taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi...
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa Iringa ni hujuma dhidi ya Rais Samia au ni udhaifu wa CCM Iringa

    Jana tarehe 13/06/2023 Saa kumi jioni Mkuu wa MKoa wa Iringa anatoa Masaa 48 kwa wafanyabiashara wasio maeneo rasmi ya Biashara waondoke kwa hiyari yao ama wataondolewa kwa nguvu baada ya muda huo kupita. Masaa 12 baadae (saa kumi usiku) vyombo vya dola vinaongoza bomoa bomoa eneo la Magari...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi Angelina Mabula ameshindwa kutoa mchanganuo wa posho za bilioni 47? Lukuvi alificha udhaifu wake au anamhujumu chinichini?

    Huyu Waziri namshangaa, anaacha " ombwe" la taarifa kwa nini? Anashindwa kuwaeleza wabunge mchanganuo wa posho hizo? Mpaka Benki ya Dunia wanazikubali, ni mchakato mrefu, na uchanganuzi wa wazi, anakwama wapi? Kama yatatokea mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, namtabiria kuhamishwa wizara, au...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Simba Kujificha Kwenye kivuli cha Wydad ni Udhaifu

    Mashabiki wa Simba kujipa moyo baada ya kuona leo Wydad amemtoa Mamelod Sundowns huku mkiwacheka Yanga kumtoa Marumo aliyeshuka Daraja haibadilishi maana ya Yanga kucheza fainali, tengenezeni timu msimu ujao msije na kisingizio chochote.msimu wapili huu hamna ubingwa wa maana muliopata zaidi ya...
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nimepata mafua makali, homa na udhaifu wa mwili - je, ni corona?

    Mie Jidduz, mutu ya watu yamenikuta. Toka majuzi nimepata mafua ya kutisha. Pua zinawasha na kamasi inatoka utafikiri bomba linavuja. Macho yanauma, ni mekundu na mchozi ni muda wote. Juzi na kahoma kaanza na kukohoa kohoa na mbavu kubana. Hili ni balaa. Nimekula antibiotics na kujifukiza na...
  12. Gan star

    JamiiForums Tanzania Benard Membe kuwa Kachero mbobezi ni ishara ya udhaifu mkubwa idara ya usalama wa Taifa

    Inashangaza sana, hii nchi inawezekana hata sehemu zile nyeti kutakuwa na kundi kubwa la vilaza thus why mambo yanaendelea kuharibika kila uchwao , Nimesikia mara nyingi Bwana Membe akiitwa Kachero Mbobezi , sitaki kupinga kuhusu hii sifa na yawezekana kweli alikuwa na sifa hyo , Ila nipende...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Saikolojia Charity na Mtangazaji wa Radio One Haji leo mmetuangusha Wanaume kwa Kuukiri huu Udhaifu

    Leo katika Kipindi Bora duniani cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake wa Kujiteua Kilazima Daktari wa Saikolojia Genius Charity Xavier Johnson na Kaka yangu Mtangazaji Haji Kibwana wamesema Kauli iliyoniumiza na Kuhisi huenda na Wao sasa wameshakamatika...
  14. Bams

    JamiiForums Tanzania Udhaifu Mkubwa Jeshi la Polisi ni kutomkamata Musiba kwa Makosa ya Jinai

    Kuua, kuhamasisha watu kuuawa, kutishia kuua au kushiriki kwa namna yoyote ile katika mauaji ni makosa ya jinai. Polisi hawastahili kusubiri kuambiwa wamkamate na kumfikisha mahakamani mtu anayefanya makosa haya. Kwa uwazi kabisa, Musiba, tena kwenye TV na kwa kupitia magazeti yake alisikika...
  15. NDUKI

    JamiiForums Tanzania Moja ya Udhaifu wa Baraza la Sanaa Tanzania | TMA

    Habari zenu. Natumai mpo salama kabisa, nimeona nominees wa Tuzo za Muziki Tanzania kiukweli watu wengi wametilia mashaka jinsi walivyopatikana hao washindani. Hili jambo natumai kwa asilimia kubwa kabisa lina baraka zote kutoka kwa Baraza la Sanaa Tanzania mpaka ikafikiwa kutangazwa kwa jamii...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Ripoti ya CAG 2021/2022

    Ripoti ya CAG inaongelea ufisadi na wizi wa mali za umma pamoja na hasara za mashirika kama ATCL au TTCL kwa ujumla wake. Inaonyesha ufisadi umefanyika katika shirika au ofisi fulani tu bila kuonyesha au kupendekeza mtu halisi anayepaswa kuwajibika au kuwajibishwa katika dai husika. Ripoti...
  17. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Msitumie kivuli cha Rais kuficha udhaifu wenu, Bebeni msalaba wenyewe

    Salaam waungwana wa Jamii forum Baada ya ripoti ya CAG kubainisha madudu kwenye Wizara na taasisi mbalimbali za kiserikali, ikiwemo ubadhirifu wa mabilioni ya walipa Kodi maskini wa nchi hii, sasa ni dhahiri wapigaji wanaanza kutumia neno Rais kama taasisi kuhalalisha uhuni na ufisadi huu...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG, CCM mnasaka laana kwa udi na uvumba, pona yenu ni udhaifu wa walamba asali

    Siku ya Jumatatu usiku kuamkia Jumanne Party Cocus ya CCM ilikutana Dodoma kuwekana sawa kabla ya vikao vya Bunge kuanza kama ilivyo kawaida. Kikao kiliratibiwa vizuri na Mbunge Rashidi Shangazi kama Katibu wa hiyo Cocus akisaidiwa na Mzee Kinana na Sekretariet ya chama. Hoja ya CAG ikachukua...
  19. mngony

    JamiiForums Tanzania Udhaifu katika miundombinu yetu vipindi vya Mvua, aibu kwetu na ugeni huu mkubwa wa Makamu wa Rais Marekani

    Vipindi vya mvua ( Masika) Miaka yote kumekuwa kukionekana udhaifu wa miundominu yetu hasa barabara kuhimili hali hiyo ya hewa Sura za kujaa kwa maji barabara zetu, kupelekea foleni kubwa, vyombo vya moto kuharibika njiani na uharibifu vyombo hivyo na mali Hata miundombinu mipya kama vile...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Pamoja na udhaifu wake wote ilionao, ni kwanini CCM inaamini itatawala Tanzania milele?

    Hicho chama kinahusika kwenye kila madudu yanayotokea kwenye nchi yetu. Hakuna jambo baya kwa Watanzania ambalo halijatokana na CCM kuwa madarakani. Lakini CCM wenyewe kwa kujiamini kabisa wanasema kwamba watatawala Tanzania milele? Haya ni maneno yanayoonesha CCM ina kiburi cha uzima kiasi...
Back
Top Bottom