uchumi

  1. JamiiForums Tanzania Tumepoteza Magufuli, Jabari na Mwamba wa uchumi katika siasa za Afrika

    TUMEPOTEZA JABARI NA MWAMBA WA UCHUMI KATIKA SIASA ZA AFRIKA NA ELIUS NDABILA 0768239284 Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli amemaliza kazi yake aliyoandaliwa kufanya hapa duniani. Kifo si hiari, ni lazima kwa kuwa vitabu vya dini vinatuasda kuwa kila mtu aliyezaliwa na mwanamke siku zake si...
  2. JamiiForums Tanzania Kuhusu Uchumi: Usipende kutumia usichokuwa nacho

    KUHUSU UCHUMI: USIPENDE KUTUMIA USICHO KUWA NACHO Siri mojawapo ya kukufanya ubaki kwenye kutokwenda mbele kiuchumi ni mazoea ya kutumia kitu au fedha ambayo huna! Yaani, kwa kuwa una uhakika kwamba mwisho wa mwezi fedha itaingia, basi unashindwa kuzuia matumizi ambayo usingekuwa na uhakika...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, mimi ni mwalimu wa hesabu na uchumi

    Jina: Alfred Yohanis Msunza Umri: Miaka 23 Natafuta kazi ya ualimu wa hesabu na uchumi(mathematics and economics), yeyote mwenye uhitaji naomba msaada. Elimu yangu ni shahada nimemaliza chuo kikuu cha Dar es Salaam 2020 katika ndaki ya sayansi asilia na tumizi yaani pale makao makuu ya chuo...
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta kuhusu Corona: Unaweza kufufua uchumi lakini huwezi kufufua mtu aliyekufa

    Katika hali inayoashiria kuwa ni 'dongo' kwa nchi zinazopuuzia kujilinda na Corona, Rais Kenyatta amesema kama taifa waliamua kunusuru uhai wa raia badala ya uchumi kwa sababu unaweza kufufua uchumi lakini huwezi kufufua mtu aliyekufa. Ndiyo sababu walichukua hatua hizo tangu mwanzo kupambana na...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania Ulikua kwa Kasi Zaidi Mwaka 2020 Kuliko Chumi Zote Afrika Mashariki na Afrika kwa Ujumla: Citi Researchers

    Tanzania's economy grew the fastest in Africa, 2020-Citi Tanzania is likely to emerge in the coming months as the fastest growing economy in Africa in 2020. This projection is based on data collected by Citi Researchers for Q3, 2020 which puts Tanzania’s Gross Domestic Product(GDP)...
  6. JamiiForums Tanzania Uchumi wa kati huku hamna "stable electricity"?

    Naomba tusidanganyane, ni uchumi upi wa kati ambao umeme unakatika katika ovyo. Hakuna umeme wa uhakika. Mkiniunguzia FLAT SCREEN YANGU inchi 52 SUPER LED SAMSUNG mtaweza kuilipa? Mkiniunguzia FRIJI YANGU ya milango miwili ile kubwa kabisa, mtaweza kulipa? Nawauliza. Multi systems zangu...
  7. JamiiForums Tanzania Hili tatizo la umeme linashusha uchumi wa nchi kwa kasi

    Hapo vip! Hili tatizo laumeme tunaomba wahusika waliangalie kwa jicho la kiuchumi. Uchumi wa watanzania wengi unategemea umeme, sasa kama umeme unakatwa kirahisi rahisi tu. Tafsiri yake nikwamba serikali na Tenesco mmekuwa chanzo cha umaskini kwa Watanzania. Tunaomba serikali iwe sereous na...
  8. JamiiForums Tanzania Ijue SGR, mwarobaini wa uchumi wa Tanzania

    SGR NDIO MWAROBAINI KATIKA KASI YA UCHUMI WA TANZANIA. Na Elius Ndabila 0768239284 Standard Geuge Railway (SGR) ni reli ya kisasa ambayo hutumia umeme. Ujenzi wa reli hii ya kisasa ya SGR tunaweza kusema inakuja kama mbadala iliyoachwa na Wakoloni. Historia inasema kuwa treni tunazotumia sasa...
  9. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kati : Naibu Waziri Tamisemi Mhe. Silinde akikagua Vyoo vya Shule ya Msingi Namalombe iliyoko Nanyumbu Mkoani Mtwara

    Sina cha kuongeza ili kukwepa mkono wa TCRA, nimeweka vielelezo tu baasii.
  10. JamiiForums Tanzania Kubadilisha noti kutamsaidia sana Magufuli kwa sasa katika vita dhidi ya ufisadi

    Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana. I advise him to do the same wakati...
  11. JamiiForums Tanzania Tujiulize, vita ya uchumi tunapigana na nani?

    Asilimia 80% ya hotuba za Rais John Pombe Magufuli huzungumzia jinsi tulivyo katika vita ya kiuchumi. Lakini mpaka anamaliza awamu yake ya kwanza, hajawai kutueleza hii vita tunapigana na Taifa gani. Katika maongezi yake, ni kama vile kuna nchi kubwa haitaki Tanzania tuendelee kiuchumi. Hii...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Korona. Sijazuia matumizi ya Barakoa!

    Ameyasema hayo akiwa St. Peters katika Ibada alipopewa nafasi ya kutoa neno. VIDEO:
  13. JamiiForums Tanzania Tabora: Wafanyakazi wa TANESCO wafikishwa Mahakamani kwa uhujumu Uchumi

    Aliyekuwa Meneja wa Tanesco Mkoa wa Tabora, Mohamed Abdallah D’Souza na aliyekuwa Mhandisi Mwandamizi wa Tanesco, Melkiad Msigwa wamepandishwa kizimbani kwa makosa saba, likiwemo la ujuhumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya Sh 60,066,382.40. Wamefikishwa mahakamani na Taasisi ya Kuzuia...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuweka vituo vya kufundisha Kiswahili kwenye Balozi zake

    Serikali nchini imeagiza uwepo wa vituo rasmi ya kujifunzia lugha ya Kiswahili katika nchi zenye balozi lengo likiwa ni kupanua matumizi ya lugha hiyo kimataifa. Akizungumza leo bungeni jijini Dodoma, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hatua hiyo itasaidia kufungua fursa za kiuchumi ikiwemo...
  15. JamiiForums Tanzania Salome Makamba: Uchumi wa Tanzania umesimama tu tangu 2001. Rais haambiwi ukweli na wateule wake

    Dodoma. Mbunge wa Viti Maalum Salome Makamba aliyefukuzwa Chadema amesema itachukua zaidi ya miaka 60 ili kufikia pato la dola 1,500 kwa mtu mmoja kwa mwaka. Makamba alisema tatizo hilo linatokana na uchumi wa Tanzania kusimama tangu mwaka 2001 na kudai wateule wanashindwa kumwambia ukweli Rais...
  16. JamiiForums Tanzania Ukuaji wa uchumi kwa kasi

  17. B

    JamiiForums Tanzania Wasomi wenye PhD Tanzania wametupa supplimentary ya Biashara na uchumi: soon Taifa litadisco

    Tulipoanza awamu ya tano nakukusanya wasomi wote mashauri nakuwaingiza wizarani na mashirika ya umma niliamini taasisi wanazoongoza zinakwenda kupiga hatua hasa yakimkakati endapo tu wasomi hao wataacha mentality za lecturers kwenye biashara na uchumi. Miaka michache baadaye walioteuliwa hasa...
  18. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Tunatengeneza vijana wa kucheza Pool table, wakikaa na simu wanaperuzi tu

    Kutoka Dodoma. "Tunatengeneza vijana wa kucheza Pool table, ambao wakikaa na simu wanaperuzi mitandaoni tu". "Nafikiri labda tuongeze kodi labda itapunguza hata sijui, hivi tufanye kitu gani ili tuhakikishe kila mtu anafanya kazi, maafisa maendeleo ya jamii hawafanyi kazi" -Job Ndugai. Nini...
  19. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hali halisi katika uchumi wa kati

  20. JamiiForums Tanzania Naomba majibu ya swali hili la Uchumi

    What are the main types of production function and what are their application in economic problem?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…