Ukitaka uchumi upande fuata nyayo za wakoloni

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,293
12,593
Demokrasia imeshindwa kukuza uchumi duniani kote.

Hivyo kama tunataka uchumi wetu ukue silaha kubwa ni:
1. Kulipa kodi hata ikibidi kwa nguvu.
2. Kuondoa huduma za bure kwa watu wote. Hii italazimisha watu wafanyekazi kwa bidii
3. Kuondoa chakula cha njaa, watu wakifa njaa msimu mmoja msimu utakaofuata watalima hata mazao ya njaa.
4. Kufunga gerezani na kunyonga wahalifu, wala rushwa, wakwepa kodi na wahujumu uchumi.
5. kuacha kupangiana bei za bidhaa, wacha nguvu ya soko ifanyekazi.
6. Kutafuta na Kuimarisha masoko ya ndani na nje
7. Kusimamia uzalishaji na ubora wa huduma na bidhaa
8. Kutanua wigo wa kodi, ikibidi tutoze kodi hata wanaosinsia bungeni, kazini, na kwenye mikutano. Tutoze kodi kwenye ardhi zote zinazoshikiliwa na taasisi za kidini na kazi zao zote.
9. kuimarisha sekta ya mahakama, utawala wa sheria.
10. Kupambana na wasaliti na vibaraka

Dunia inakoelekea ni DO or DIE
 
Wanasema nchi inayojaribu kuendelea kwa kutoza raia wake kodi kubwa ni sawa na mtu aliye simama ndani ya ndoo halafu anajaribu kujiinua.
 
Mbona bado tuko pale pale, au naongopa wazee?
 
Mbona hayo yote Korea kaskazini wamefanya lakini bado wanakula minyoo
Wale pale kinachowakwamisha ni vikwazo vya Muamerika otherwise wengekuepo very far. Angalia Korea kusini valivyo matajiri asilimia kubwa hayo ndio masheria wanayotumia. Kule mpaka rais akikosea anafungwa gerezani kwahiyo nidhamu ni kubwa mno
 
Demokrasia imeshindwa kukuza uchumi duniani kote.

Hivyo kama tunataka uchumi wetu ukue silaha kubwa ni:
1. Kulipa kodi hata ikibidi kwa nguvu.
2. Kuondoa huduma za bure kwa watu wote. Hii italazimisha watu wafanyekazi kwa bidii
3. Kuondoa chakula cha njaa, watu wakifa njaa msimu mmoja msimu utakaofuata watalima hata mazao ya njaa.
4. Kufunga gerezani na kunyonga wahalifu, wala rushwa, wakwepa kodi na wahujumu uchumi.
5. kuacha kupangiana bei za bidhaa, wacha nguvu ya soko ifanyekazi.
6. Kutafuta na Kuimarisha masoko ya ndani na nje
7. Kusimamia uzalishaji na ubora wa huduma na bidhaa
8. Kutanua wigo wa kodi, ikibidi tutoze kodi hata wanaosinsia bungeni, kazini, na kwenye mikutano. Tutoze kodi kwenye ardhi zote zinazoshikiliwa na taasisi za kidini na kazi zao zote.
9. kuimarisha sekta ya mahakama, utawala wa sheria.
10. Kupambana na wasaliti na vibaraka

Dunia inakoelekea ni DO or DIE
Hasara kubwa za mfumo huo ni mbili.

1. Wala rushwa, wakwepa kodi na walanguzi wao nduo watakuwa watoa hukumu huku wao wakineemeka na kodi za walalahoi.

2. Watawala watapinduliwa maana kila mmoja akilipa kodi kibabe na kwa nguvu halafu asione matunda ya kazi yake, kitawaka.
( Hivi vijihuduma bure ni hadaa ili kuwanyamazisha Wanyongwe )
 
Ukimkamua maziwa ng'ombe usiyemlisha mwisho wa siku utabaki na zizi tupu
 
Wanasema nchi inayojaribu kuendelea kwa kutoza raia wake kodi kubwa ni sawa na mtu aliye simama ndani ya ndoo halafu anajaribu kujiinua.
ili upate kodi nyingi na haraka lazima kwanza
1. Watu wawe na kazi za kufanya zenye tija kubwa
2. Kodi lazima iwe ndogo sana inayolipika
3. Kusiwe na msamaha wa kodi, labda kwa watu walifanyakazi ya kuisaidia jamii kama vile kujenga barabara, kujenga shule/darasa, kituo cha polisi, wodi ya wagonjwa, nk kwa hela zake mwenyewe.
 
Kila mtu afe na kwake au kila mtu aneemeke kivyake. Survival of the fittest ndio UBEPARI KAMILI
Hatari ya hivyo ni Afrika kuvamiwa upya na wazungu. Kama ikitokea siku Tanzania na Afrika wakajitegemea wenyewe kwa vitu vingi kama sio vyote, wazungu watatuvamia tena na kututawala. Hii migogoro unayoiona ndani ya nchi za kiafrika sio ya bahati mbaya, imetengenezwa ili tusipate muda wa kufikiria mambo yetu wenyewe. Kama viongozi wa Afrika wangelifahamu hili wasinge wabagua wapinzani badala yake wangeunda serikali za umoja zinazojumuisha watu wote ili kazi iwe moja ya kujenga mataifa yao. Hapo tungepunguza kama sio kumaliza hila za mabeberu.

Wazungu wanafurahia sana tena sana kuona Lissu ni mkimbizi. Maana yake wamekubaliana nae pasipokuwa na mashaka kuwa anastahili kupewa hadhi ya ukimbizi maana ni kweli kuwa nchini kwake kuna shida.
 
Mkuu alcohol uliyotumia ina % ngap
watu wanatumia uncommon sense kupata common outcomes. Mzee Magufuli is one of the presidents using their uncommon sense to get very common outcomes. Marais wetu wengi wanatumia akili ya kawaida iliyozoeleka kuongoza mataifa yao. Akili ya kawaida itakwambia hatuwezi kuendelea bila misaada, kukopa na kupewa (wahisani). Akili ya kawaida haiwezi kumtumbua mtu kama waziri, katibu, mtumishi hadharani mchana kweupe. Akili ya kawaida haiwezi kuwakorofisha wakopeshaji na wahisani, akili ya kawaida haikusanyi kodi kwa watu wote bila kujali rangi, dini na utaifa.

Sema tu watu wanaotumia uncommon sense zao huwa hawakubaliki kwenye jamii na kwa watu wenye nia mbaya na wewe. Mfano, jamii haimuelewi mwanakijiji anayetumia mbaramwezi au taa kulima na kupalilia usiku. Lakini mtu anayefanyakazi usiku na mchana shambani kwake lazima atakuwa na mazao mengi sana kuliko yule anaelima mchana tu, tena asubuhi na kulikimbia jua kali la mchana.
 
Back
Top Bottom