uchawi

  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Katika jambo kubwa ninalojivunia, ni kutambua kuwa hakunaga UCHAWI

    Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo.. kuamini...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watendaji wa Serikalini na Madereva wa Wakubwa huko Serikalini tafadhali acheni 'Kurogana' kwa 'Uchawi wa Ajali' mnakosea Mungu pakubwa sana

    Unaacha Kufanya Kazi kwa bidii huku ukimshirikisha Mwenyezi Mungu Wewe unachowaza ni Kumroga fulani ili Afe Ajalini ili uchukue nafasi yake. Na ninachofurahi Warogaji wengi wa Wenzao ili Wafe ( hasa Ajalini ) ikitokea kweli waliowalenga Wamekufa huko Ajalini baadae wala hawazipati hizo Nafasi...
  3. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Uliishawahi kuusikia uchawi au ushirikina huu?

    Mwanzoni wakati nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa siamini kabisa haya mambo lakini kadiri nilivyokuwa nakuwa ndio nikaanza kufahamu kuwa kweli uchawi upo, Na mtu akiamua kukuharibia au kukuchafua ndio imeisha hiyoo..uliishawahi kukutana Na mtu ambae Kila janga lazima yumo tena kwa babati mbaya...
  4. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Uchawi unaweza kuonekana kupitia CCTV?

    Inasemekana tukio hili la UCHAWI limenaswa huko Zanzibar kupitia CCTV. Kumbe Teknolojia inaweza tumika kubaini uchawi
  5. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi inawaza uchawi haina hata viwanja 10 vya mpira. Ina weakness nyingi. Mwenyekiti anawaza uchawi

    tanzania ina watu wa ajabu sana . Yani ana matatizo kibao anawaza uchawi . List ya matatizo bodi ya ligi 1. Viwanja 2. Majukwaa 3. Wafadhili 4. 4k or hd coverage 5. App 6. Media coverage ya team zote 7. Match fixing 8.referees 9. Utilities. 10. Technology (var ) 11. Laws on foreign players...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dr. Dorothy Gwajima amepatwa na nini tena? Kweli Uchawi upo

    Kweli uchawi upo. CCM hawaaminiki kabisa. Huyu Wazir juzi juz hapa tumetoka mpa maua yake. Haujapita mwezi amefanya kituko Bungeni. Hapa ukiuliza shida nini huwezi elewa. Alikuwa amelewa? Alikuwa anafanya masikhara? Mbona haeleweki?
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Suala la shetani na uchawi limewapatia watu utajiri na mafanikio makubwa Afrika

    Swala la shetani na uchawi limepelekea watu kujipatia utajiri na mafanikio makubwa huku Africa. Watu wamekuwa wakifanya mambo pasipo kutumia Akili na mwisho zigo la lawama wanamtupia shetani. Ukianza kuhisi shetani anakuzuia kufanikiwa fahamu tu utapigwa hela muda sio mrefu. Pia ukianza kuona...
  8. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kutoboa Tanzania hakikisha uchawi na ushirikina

    Hizi sehemu zenye kugombania gori kuanzia madukani, michezo, sanaa, mziki, ajira, siasa, sokoni, madini, uvuvi n.k bila uchawi na ushirikina kutoboa labda umeshika dini sana au kwenu ukoo uko vizuri. Naeleza ili nilikuwa halmashauri moja yani swala la chai hakuna mtu anayetaka kupewa chai...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ijue mila ya kubadilishana wake ili kuukwepa uchawi

    JE UNAJUA?? Mashariki mwa nchi ya Siberia wanaume wanabadilishana wake zao ili kuepuka mambo ya imani ya kishirikina?? Kwa imani yao wanaamini Ukifanya hivyo una mchanganya mtu mwenye nia ya uchawi au kufanyiwa vitendo vya kishirikina Je wewe unaweza kubadilishana mke na mwanaume mwenzio kwa...
  10. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Mambo mengine sio uchawi, ni kukosa maarifa tu

    Hii ni kwa mujibu Chama cha Madaktari Nchini Canada
  11. G

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kwenda kwa mganga kujitibu bila mafanikio lakini tatizo nililozoea la kuamka asubuhi na mikwaruzo liliisha, Je mikwaruzo ni uchawi?

    Muhimu: Nilipelekwa huko ikiwa ni siri ya mimi na ndugu yangu ambae alishafariki, sehem tuliyofikia siikumbuki wala sina mawasiliano yoyote ya huko. Kuna kipindi mwaka 2014 niliamini nina mikosi na nuksi kwa kuonaa maisha yangu yana utata, ndugu yangu wa karibu niliekuwa nikimshirikisha kwenye...
  12. Kigoma Region Tanzania

    JamiiForums Tanzania Imetajwa kwamba uchawi ni mdudu ambaye ameitafuna sana Kigoma na watu wake, ndio sababu ya watu wengi kutokurudi nyumbani

    Imetajwa kwamba uchawi ni mdudu ambaye ameitafuna sana Kigoma na watu wake, ndio sababu ya watu wengi kutokurudi nyumbani, point ya 1. Watu wa Kigoma hawana tofauti na Mayahudi wa Israel, tofauti yao ni kwamba watu wa Kigoma wana ardhi ila mayahudi walikosa ardhi. Kigoma ina watu makini sana...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Sio Poa, Ukisikia Uchawi ndio huu sasa!

  14. M

    JamiiForums Tanzania Kinachosababisha watu wengi kuharibu maisha ya watu makazini ni wivu, uchawi na kufuatilia maisha ya mtu ambayo hayana mahusiano na kazi mnayofanya

    Utasikia huyu jamaa anakunywa kila siku. Wewe inakuhusu nini? Utasikia jamaa huwa haishiwi hata katikati ya mwezi. Shida yako nini? Utasikia jamaa mtaani anamdemu kibao. Tatizo nini? Dili na masuala yanayokuunganisha na mtu kwenye kazi sio maisha yake binafsi kiasi cha kumuonea wivu na kumroga.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    Habari wadau Binafsi nashangaa sana watu hasa wasomi wenye smartphone wanaoamini story za ushirikina zama hizi Ukweli ni kwamba ukijipa muda wako kujifunza zaidi kuhusu cognitive science and psychology, Human psychology na Science of Emotion ilivyo. watajua ukweli mwingi sana wa ubongo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya pili Afrika kuamini uchawi na ushirikina. Elimu duni, kuamini dini sababu kuu za kuamini uchawi sana

    Nchi zinazoongoza kwa kuamini ushirikina (uchawi) barani Afrika. 1. Cameroon 2. Tanzania. DINI NI SABABU YA WATANZANIA KUAMINI SANA UCHAWI NA USHIRIKINA Ukiamini dini za ukristo na uislamu ni lazima pia uamini na ushirikina maana imani hizo zinategemana. Quran imeongelea ushirikina na ina...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ni lini serikali itaanzisha masomo ya uchawi mashuleni?

    Afríka ínasifika sana kwa uchawi lkn hatujaitumia vema fursa hii. Nadhani sababu kubwa ni kwamba wazungu walituvuruga sana walipokuja Afrika kama wakoloni. Kuna haja ya kuifufua taaluma yetu asilia ya uchawi kwa kuanzisha Somo la uchawi (witchcraft knowledge) mashuleni. Halafu A level kuwe na...
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa imani wana uthubutu mdogo kwenye mambo ya maendeleo kuliko wapagani na wanaoamini Uchawi?

    Tukiangalia kwenye vitabu, watu wa imani wanamsitu wa ushahidi wa taarifa za kijasiri za watu kufanya mambo makubwa wakiwa na Mungu. Cha ajabu katika uhalisia, hasa kwenye maendeleo tunaona no asilimia ndogo sana ya watu wanaotumia imani yako kuleta maendeleo ya kusisimua. Leo ukienda...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji apigwa na wananchi wa Kigoma kwa kuzuia waganga wa kienyeji "Kamchape" wasiingie eneo la kanisa kutafuta uchawi

    Mchungaji avamiwa na wananchi na kupigwa vikali baada ya kugoma kukubali watu wenye imani potofu kuingia kwenye viwanja vya kanisa kutoa uchawi. waganga hao wa kienyeji wanakusanya 5,000/ kwa kila nyumba, kama malipo ya kuwatoa wachawi wote. Mchungaji aligoma kuwapa hela na aligoma kuwaruhusu...
  20. demigod

    JamiiForums Tanzania Bila Kutumia Uchawi Chama Hawezi Kucheza Vizuri Kwenye Mechi Ngumu.

    Kuna ule msemo kuwa Chama ni mchezaji wa mechi ndogo, leo umeanza kuniingia kichwani. Inafika kipindi unawaza, hivi huenda labda kwenye mechi hizi za Ligi huwa hawatumii Uchawi ndio maana Chama anaonekana wa kawaida. Kwenye mechi kama hizi mchezaji tegemeo wa timu ndipo unapaswa kutokea na...
Back
Top Bottom