Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,015
- 156,372
JE UNAJUA??
Mashariki mwa nchi ya Siberia wanaume wanabadilishana wake zao ili kuepuka mambo ya imani ya kishirikina??
Kwa imani yao wanaamini Ukifanya hivyo una mchanganya mtu mwenye nia ya uchawi au kufanyiwa vitendo vya kishirikina
Je wewe unaweza kubadilishana mke na mwanaume mwenzio kwa sababu yoyote ile??