uchawi

  1. G

    JamiiForums Tanzania BBC kwanini mmecha kuzungumzia matukio muhimu ya Uchaguzi wa Tanzania?

    Leo jioni katika matangazo yao, wamerusha kipindi kinachozungumzia matukio muhimu ya 2024 hapa Tanzania. Katika matukio ya kisiasa wamekwepa kabisa kuzungumzia kilichtokea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa! Hivi kweli unaweza kuzungumzia hali ya kisiasa Tanganyika 2024 bila kugusia hilo...
  2. kyagata

    JamiiForums Tanzania Nimeamini uchawi ni story za kusadikika tu.

    Niko mapumzikoni kijijini kwetu huku kwenye moja ya mikoa ya kanda ya ziwa. Sasa kuna sehemu hapa kijijini kwetu pana mti mkubwa watu wanapaogopa sana,wenyeji wanasema ikifika saa 1 jioni ndio mwisho wa kupita hapo vinginevyo tegemea kukutana na mambo ya ajabu. Sasa mimi hivi ninavyoandika saa...
  3. Ibun Sirin

    JamiiForums Tanzania Karibu nikutafsirie Ndoto yako kama umeota leo Desemba 21, 2024

    Ndoto zimekuwa na maana maalum au tafsiri zinazohusiana na imani za kiroho. Ndoto zinachukuliwa kama ishara au ujumbe kutoka kwa nguvu za kiroho au kutoka kwa ulimwengu wa roho. Ndoto ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya binadamu. Karibu nikutafsirie ndoto yako. Hakikisha unaweka tarehe...
  4. Mbabani

    JamiiForums Tanzania Uchawi unaichelewesha Simba.

    Habari wanasports. Katika mambo ambayo yanaikwamisha simba kupiga hatua hasa ndani ya uwanja ni UCHAWI. Wachezaji wanarogana sana hivyo timu inakua ngumu kufikia malengo yake kwa wakati. Kramo, Fraga, Kwassi, Mugalu, Ngoma(alienda kwao kurekebisha mambo, sasa mambo yanakaa poa na anataka...
  5. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Sheikh: Uchawi umeletwa na Allah, ukiutumia vizuri sio dhambi

    https://www.youtube.com/watch?v=3_umentdZoo
  6. B

    JamiiForums Tanzania Swali: Siku hizi kuna uchawi ambao unafanya mwanaume asiweze pata mwanamke?

    Habarini, Kuna issue moja nimeona among most men, comment ya Daniel mwasi na tit 4 tat wa JF, imefanya niandike huu uzi. Mwanaume unakuwa kimuonekano huna kasoro yoyote, pesa unayo, ila hutapata mwanamke hata mmoja wa kukuvulia nguo, labda ununue wadada wanaojiuza barabarani. Cha ajabu...
  7. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Uchawi live

    Now nimeshangaa kuona wachawi wapo live kabisa hakuna wanachokiogopa tena yaani hakuna kabisa af wajinga wachache wanaingia king mm japi najua kusoma nyota ila kamwe siwezi ingia live na ili nikusomee nyota uwe umenishawishi sana ila wamachofanya hawa ni aibu sana
  8. B

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo 6 niliojifunza nikiwa kwenye biashara kwa miaka 12

    1 👉Usiweke ndugu kwenye biashara ndugu wanaweza kuwa chanzo cha kukumaliza na kama utaweka ndugu basi fungua kampuni in form(active partnership) Kila mtu awajibike kwa loss za kampuni Kila mtu awe na share zake il nidhamu iwepo maana mtu ukimuajiri hawezi kujua uchungu wa wewe Kula hasara au...
  9. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Biashara ni uchawi

    Mambo vipi wakuu. Wewe umeweka mtaji wako wa milion 10 dukani kwako. Jirani yako ameweka mtaji WA milion 30. Unaamua kwenda Kwa mganga alafu mganga baada ya kukuchekia Ramli yako anakwambia njoo na jogoo mwekundu na Nazi Saba kwajili ya kufungua. Mwenzio anaenda Kwa mganga anaambiwa inabidi...
  10. kwisha

    JamiiForums Tanzania Imani yangu juu ya uchawi inanipa mashaka

    Katika akili yangu sijawahi kuamini uwepo wa uchawi Lakini kila nikijaribu kukumbuka baadhi ya matukio mbali mbali ambayo nimewahi kushuudia na kuona katika maisha yangu kunanifanya niwe na maswali mengi juu ya imani hii Mwaka 2014 kuna brother fulani ambaye tulikuwa tunaishi naye village moja...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Usaliti, uchawi vingekuwa uhai wangu, vijana kiweni makini vyuoni

    Vijana vyuoni hii inaweza kuwa funzo kubwa sana kwenu, lakini pia hata raia wengine kuna cha kujifunza hapa. Ni stori ya kweli ni mkusanyiko wa visa vilivotaka kuchukua uhai kama siyo akili yangu. Nianzie mwaka 2017 nilipojiunga na chuo kikuu maarufu sana hapa nchini. First year semester ya...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano kilichomtoa Gamondi pale Yanga ni kutoamini katika Uchawi na Majini, Inahuzunisha sana

    Wazungu huamini sana katika uwezo wa wachezaji, lakini huku africa hasa Pale ambapo inasemekana wenye akili ni wachache sana wanaamini katika Uchawi. Inasikitisha sana unafukuza kocha huku mbeleni una mechi za CAF.
  13. Utajua wewe

    JamiiForums Tanzania Meditisha na Taamuli ni uchawi mkubwa

    Habari zenu, Nimekuja hapa kuomba msaada wa haraka. Ni miaka miwili nipokwenye hizi ibada za meditisha na Taamuli . Nilizoea na kupata utulivu mkumbwa sana wa akili ila sasa navuka mipaka na inaniletea madhara makubwa. Nimekuwa na uwezo wa kuongea na roho nyingi na uwezo wa kutabiri na...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa 500 matumizi ya madawa ama vitabu maalum

    Wakuu habari za usiku huu.Pasipokuchosha nijikite katika mada.Tuongeleapo uchawi twalenga matumizi ya madawa ama vitabu maalum(grimoires) ikihusisha manuizo na kudhuru watu wengine kimiujiza. Tabia hii haukubaliki katika jamii nyingi,zipo jamii zilifanikiwa kukemea tabia hii kwa nguvu na hivyo...
  15. nipo online

    JamiiForums Tanzania Hivi ukipewa masharti ya utajiri ufanye mapenzi na ndugu yako utakubali?

    Haki ya nani, utajiri una siri kubwa sana wakuu, imagine unapewa masharti ya aina hii, serious? Kumbe hizi v8, harrier, prado, Toyota, jeep ndo zinapatikana kwa haya madudu?
  16. Mushi_plus

    JamiiForums Tanzania Huu uchawi wa mondesta una asili ya wapi?

    Habari za Muda huu wanaJF, Kuna kitu napenda kufahamu kuhusu UCHAWI WA MONDESTA. Origin yake niwapi na pia unatumia majini ya chuma ulete au? Nauliza hivyo maana huku mtaani kwetu asilimia 70 ya kaya wamejiunga na hiyo kitu na wanaitangaza kabisaa wazi wazi na imekua kama fashion mitaani...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Swali la Kizushi; WanajamiiForums wa sasa mbona hatuchangii mada fikirishi/Mada ngumu na tu Wepesi Kuchangia Mapenzi, Mipira, Uchawi na ushirikina

    Moja kwa moja kwenye mada husika Mimi nilichogundua hii jamii forums ya sasa siyo ile niliyokuwa ninaijua kipindi ilipoanzishwa. Nina uhakika mada fikirishi, mada makini zingepata machangio/reactions lukuki na hoja mbadala za kupinga au kusupport hoja. Nakwambia kwenye mada fikirishi zilikua...
  18. co fm

    JamiiForums Tanzania Ndo maana watu wanakimbilia uchawi

    Haya maisha bana, ukiamua kufuata vitu kwa njia ya haki unakuta unapoteza muda na hao ambao wko responsible kuhakikisha mambo yanaenda vizur hajisogez hata kidogo. Just imagine nina msala mahakamani halafu kila siku napigwa calender tu na wakati huo msala nimesababishiwa, yaani mimi ni ndo...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Watu wanaendekeza Uchawi na Majungu

    Ndugu zangu Watanzania, Maneno hayo yamesemwa na Mwamba wa kaskazini Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.siku ya jana ya jumapili pale alipopewa nafasi ya kuzungumza na kusalimu katika kanisa la kiinjili la Kilutheli Tanzania Dayosisi ya kaskazini kati.katika...
  20. nipo online

    JamiiForums Tanzania Hapana Uchawi kwa Walokole kindakindaki. Haina haja ya ndumba

    Hapa siwazungumziii walokole wa kusali bora liende la hasha. Kwa wale walio badilishwa maisha yao na kumfata YESU KRISTO na kumwamini ushirikina hauwezi kufua dafu hapana nazungumia hirizi, kuvunjiwa nazi mlangoni, kuchinjiwa ndege sijui vyote hivi haviwapati kamwe.
Back
Top Bottom