Suala la shetani na uchawi limewapatia watu utajiri na mafanikio makubwa Afrika

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,893
47,875
Swala la shetani na uchawi limepelekea watu kujipatia utajiri na mafanikio makubwa huku Africa.

Watu wamekuwa wakifanya mambo pasipo kutumia Akili na mwisho zigo la lawama wanamtupia shetani.

Ukianza kuhisi shetani anakuzuia kufanikiwa fahamu tu utapigwa hela muda sio mrefu.

Pia ukianza kuona unasema wachawi wana-Andama maisha yako jua hutapigwa hela.

Shetani na uchawi ni miradi ya watu kufanikiwa na kupiga pesa.
 
Back
Top Bottom