uchawi

  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ninaingia kwenye maombi dakika 10 kuvunja matambiko na uchawi wa timu inayotumia mvua kubeba nyota yao . Huo uchawi haufanyi kazi leo

    Hello! Mimi nachukia sana uchawi na ushirikina makazini, kwenye siasa, kwenye soka, vyuoni, na mahali popote pale. Nimeona kakikundi cha watu leo asubuhi Dar es salaam wakifurahia wakisema mchezo umeisha baada ya mvua kunyesha. Niwahakikishie, kama Mungu aishivyo uchawi wowote leo hautafanya...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kijana analala kwenye jeneza zaidi ya miaka 15

    Kiranga Unazungumziqje hiki kisa TOA mtazamo wako. --- Dunia ina mengi ya kushangaza ukiachana na maajabu saba ya ulimwengu lakini pia kuna maajabu ya walimwengu wenyewe, Najua umewahi kushuhudia na kusikia habari za watu kujinunulia Jeneza kwa ajili ya maandalizi ifikapo siku ya mwisho, Leo...
  3. Cetshwayo Kampande

    JamiiForums Tanzania FT: Medeama 0 - 1 Al ahly | CAF CL | 23/02/2024

    Game kali Sana,mwarabu bado kidogo apelekewe moto. Mechi iishe draw,yanga --- Mchezaji wa Al Ahly El Shahat aisaidia timu yake kushinda bao 1-0 ugenini dhidi ya Mabingwa wa Ghana Madeama baada ya kufunga bao pekee la ushindi katika dakika ya 48 ya mchezo. Kwa ushindi huu Al Ahly...
  4. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Uchawi waiponza Simba

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imeipiga faini ya milioni 1 klabu ya Simba SC kwa kosa la mashabiki wake kumwaga vitu vyenye asili ya unga katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kabla ya wachezaji hawajaanza kufanya mazoezi siku moja kabla ya mchezo. Tukio hilo limetafsiriwa kama vitendo...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa wanawake ni gari, sitosahau gari yangu ya kwanza ilivyogeuka kuwa sumaku ya kuwatumia hadi kuwakinai, Gari! Gari! Gari!

    Haijalishi ni Ist, Passo, Carina, Teza, n.k. dada zetu wengi hasa wanaotembea kwa miguu wanachojua gari ni gari, japo ukiwa na mkoko wa maana inakuwa fresh zaidi kupata kuwapata wazoefu wanaomiliki magari ya kawaida. Binafsi Nakumbuka takribani miaka 10 iliyopita nilipomaliza chuo nikiwa na 24...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo nilivyotapeliwa mwaka 2005 na matapeli wanaokutemesha nywele mdomoni au kukutoa moshi kitovuni, siwezi kuja kusahau!!

    Enzi hizo tulilizwa wengi kwa hii staili sababu hata mtu akipigwa inakuwa siri hakuna mitandao ya kuelimishana. Mwaka 2005 nipo nakaribia kuvuka barabara ghafla mzee mwenye koti lake anaulizia hospitali nikamwelekeza ilipo maana haipo mbali ila yeye akasema ni mgeni, akaja mtu mwengine nae...
  7. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania Dah! Nimeamini Kwenye Mpira uchawi upo, Sio kwa Alichokifanya Ivory Coast leo!

    ***** yaani Mali akanifanya nijione leo namkalisha kanji kipindi chote cha kwanza mpaka cha pili baada ya goli nikajiona nimemaliza kazi! ***** alooo Ivory coast walinishangaza kama mtu kavamiwa na nyuki, sio kwa boli lile jamani ule ni uchawi, yaani timu iko pungufu baada ya red card halafu...
  8. Nkaburu

    JamiiForums Tanzania Kuvuja kwa video ya vijana wanaotuhumiwa kujihusisha na uchawi ni kinyume na sheria

    Watanzania wenzangu poleni na mihangaiko na Shughuli zenu. Jana katika peruzi zangu nilikutana na Thread ya Mjanja M1 ikionyesha Video ya watoto/vijana wadogo wakihojiwa na Polisi. Nilishangaa, na nikahuzunika, awali ya yote issue hiyo ikaibua maswali. Sasa najua hapa ni kwa wabobezi wa masuala...
  9. kali linux

    JamiiForums Tanzania Je, Taoism ni uchawi? Je, unaweza kutumia Taoism kutabiri mambo ya mbeleni? Nitajaribu kukuelewesha

    Hello bosses and roses. Nimekua napokea maswali mengi kiasi kutokana na maandiko yangu kadhaa nioandika hapa siku za nyuma. Lakini maswali mengi yanajikita kwenye haya mawili, Je Taoism ni uchawi? Na je unaweza kutumia Taoism kutabiri yatakayotokea mbeleni? Kabla ya kujibu hayo maswali labda...
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Vijana wakamatwa kwa uchawi

    Kuna msemo niliwahi kuusikia unasema "Siku hizi wachawi sio wazee". Nadhani huo msemo unaendana na hili tukio la vijana hawa kushikiliwa na jeshi la Polisi kwa Uchawi. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1
  11. Anonymous77

    JamiiForums Tanzania Nombeni ushauri niko njia panda. Huu ni uchawi au kiini macho?

    Kwanza kabisa nianze na salamu kwenu wote wana JF asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh, ndugu zangu kaka zangu dada zangu naombeni ushauri wenu, kuna tukio ambalo limekuwa linanisumbua sijui ni uchawi ama kiini macho sijui niseme lipi ndugu zanguni. Ila hivi sasa miezi zaidi ya 5 nimekuwa...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Afrika tupo bize na kuamini uchawi, bado hatustuki tu kwamba uchawi ni adui wa maendeleo?

    uchawi upo na hutuwezi kuuepuka kwa kuamini kwamba haupo, Kama wewe ni Mkristo au Muislam lazima uamini uwepo wa uchawi lakini hupaswi kuuamini kwa matumizi. Hapa nazungumzia uchawi sio matambiko maana matambiko mengi yana lengo positive kuondoa tatizo japo kuna baadhi ya matambiko yapo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uchawi: Aliyefariki kwa ajali miaka 3 iliyopita aonekena hai mkoani Geita

  14. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wananchi Wagongwa Mihuri Kichawi Migongoni

    𝗪akazi wa wilaya ya ludewa mkoa wa njombe wamelalamika kugongwa 𝗠IHURI kimiujiza katika Maeneo ya mgongoni, huku wakielekeza tuhuma hizo kwa baadhi ya wazee wa kijiji cha kilima hewa. Wamelazimika kuitisha mkutano maalumu ili kujadili suala hilo ambapo wamesema, awali tatizo hilo liliripotiwa...
  15. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Wasioamini juu ya uwepo wa Mungu wanasemaje kuhusu mchawi aliyedondoshwa na nguvu za Mungu?

    Walitaka "kumshughulikia" Mchungaji aliyekuwa akikwamisha kazi zao, lakini wakaishia kukutana na nguvu za Mungu na hatimaye kiongozi wao kudondoka na ungo. "Atheist" atalichukuliaje tukio hilo? Mungu Yupo, na watu wanaomwamini si wa kuchezewa na wachawi. Video hiyo hapo. Sheria inasemaje...
  16. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ufahamu uchawi

    Chakushangaza: #CHAKUSHANGAZA 📣📣📣📣📣📣📣 🗣️Wengi ukiwauliza uchawi ni nini watakuwa na tafsiri tofauti tofauti lakini hauna maana moja ya kuuelezea, 🫵uchawi umebeba maana nzima ya kuumbwa binadamu na ulimwengu kwa ujumla na ndio lango kuu linalotumika kuwaunganisha binadamu,mungu,majini,na hata...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Vision Board inaweza kufanya upate kila kunachokiweka, 90% niliyoyaandika mwaka huu yametimia

    Vision board ni nini? Vision board ni mkusanyiko wa picha na michoro inayo represent dreams zako au mipango yako. Kwa mfano una ndoto za kwenda kusoma Havard,basi utachukua picha ya Havard utachukua na picha yako utafanya Photoshop inayo depict picha yako ukiwa Havard au unaweza kutumia...
  18. Kigoma Region Tanzania

    JamiiForums Tanzania Utofauti kati ya Kombora na Kipapai katika tasnia ya uchawi

    Dondoo kadhaa kuhusu nadharia ya KOMBORA na KIPAPAI kwa yale yanayotendeka katika ulimwengu mpana wa giza. Ni kazi kubwa kushindana na mchawi na ukashinda, mchawi na uchawi ni taasisi kubwa, ambayo huanzia ngazi ya kitongoji, mtaaa/Kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, kanda, kitaifa na...
  19. Day 1 gongs

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO unaamini katika uchawi au utendaji kazi?

    Habari members, Huyu Mhandisi Nyamo-Hanga tangu amepokea kijiti toka kwa Maharage ameshindwa kuhaminisha umma wa Tanzania ya kwamba anafaa kuendelea kuikalia nafasi hiyo adhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya Taifa licha ya kupewa kipindi cha uangalizi cha miezi sita na Mh. Raisi Samia...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa Serikali za Kiafrika wanaabudu ni wafuasi wa shetani ndio maana hawana utu na ubinadamu

    Ujumbe wangu ni huo fanyeni utafiti, wachawi na wafuasi wa mashetani hawana utu na ubinadamu na mioyo yao haina huruma. Mbele ya mchawi binadamu yeyote ni chakula chao. Wenye macho ya rohoni na utambuzi mtaongezea mengine. Ni hayo tu
Back
Top Bottom