Uchawi waiponza Simba

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,838
38,729
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imeipiga faini ya milioni 1 klabu ya Simba SC kwa kosa la mashabiki wake kumwaga vitu vyenye asili ya unga katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kabla ya wachezaji hawajaanza kufanya mazoezi siku moja kabla ya mchezo.

Tukio hilo limetafsiriwa kama vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina jambo ambalo ni kinyume na matakwa ya kanuni ya 47:1 ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti wa klabu. #EastAfricaTV
 
Hapa hafi Gamondi ikabidi atumike kumwaga vidusko

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imeipiga faini ya milioni 1 klabu ya Simba SC kwa kosa la mashabiki wake kumwaga vitu vyenye asili ya unga katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kabla ya wachezaji hawajaanza kufanya mazoezi siku moja kabla ya mchezo.

Tukio hilo limetafsiriwa kama vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina jambo ambalo ni kinyume na matakwa ya kanuni ya 47:1 ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti wa klabu. #EastAfricaTV
ujima, ushamba na imani potofu dhidi ya mafunzo na mazoea ya kisasa football hauna maana yeyote 🐒

Ni kujiabisha na kujidhalilisha tu...

R I P laigwanani comrade ENL
 
Mbona unaruka ruka habar vipi shomari kapewa adhabu ya nini?
Clement mzinze kapewa adhabu ya nini?
Punguzen ujinga
 
ujima, ushamba na imani potofu dhidi ya mafunzo na mazoea ya kisasa football hauna maana yeyote

Ni kujiabisha na kujidhalilisha tu...

R I P laigwanani comrade ENL
Nakubaliana wewe Kwa hoja yako. Ushamba na uzamani unaziponza hizi timu.
 
TFF Wana Shida mahali Fulani, Simba inafanya makosa ya aina hii karibu misimu yote na adhabu zinakua ndogo.

Ilitakiwa waje na adhabu ya kupunguza point Moja au goli Moja na faini.
Simba walishawahi kulitia Taifa aibu kwa vitendo vya namna hii.
 
Sio kweli kilichofanyika ni siasa ili kuwapaka simba matope ..hiyo bodi yote wanafxrw hamna mwenye akili hapo..ni mikxnd tu wote..Huo unga wamepima kwa kipimo gani inayothibitisha ni uchawi?na Je wanauwakika gani kama ni washabiki wa Simba sc kwasababu washabiki wayanga wenye nia ovu wanaweza kuvaa jezi za Simba sc..
 
TFF Wana Shida mahali Fulani, Simba inafanya makosa ya aina hii karibu misimu yote na adhabu zinakua ndogo.

Ilitakiwa waje na adhabu ya kupunguza point Moja au goli Moja na faini.
Simba walishawahi kulitia Taifa aibu kwa vitendo vya namna hii.
Screenshot_20240215-185606.png
Screenshot_20240215-185542.png
 
TFF Wana Shida mahali Fulani, Simba inafanya makosa ya aina hii karibu misimu yote na adhabu zinakua ndogo.

Ilitakiwa waje na adhabu ya kupunguza point Moja au goli Moja na faini.
Simba walishawahi kulitia Taifa aibu kwa vitendo vya namna hii.
Mzize na kibwana shomari?
Au misimu yote mnapocheza na simba lazima mtumie mlango tofauti na wa uwanja unaojulikana?
Msikilize semaji lako likiongelea majini yenu
 
Attachments

  • SportsarenatzTz_20240213__1757397002285941156_1_17573969338264780800.mp4
    1 MB

Similar Discussions

Back
Top Bottom