Kikristo, uchawi haupo

Jul 23, 2023
84
208
Kibongo bongo wakristo wengi wanaamini kwenye uchawi.

Ndio wanauchukulia kama kitu kibaya, lakini kwa vile wanakubali uwepo wake basi inamaanisha wanaamini upo.

Lakini cha kushangaza, kimantiki, bibilia haiongelei kabisa kuhusu uchawi.

Nikimaanisha kwamba hakuna mahali ilipoandikwa kwamba mungu au shetani wana uhusiano wowote na uchawi.

Vimekatazwa kwasababu ni njia za ibada za mataifa mengine kama canaanites, romans nk, ni kutoka nje ya misingi ya dini...

Bibilia imelaani vitu kama kuabudu sanamu, kuongea na wafu, foreseeing(kutumia uchawi kutabiri nyakati) lakini haijasema kwamba hivyo vitu vinahusiana na shetani.

Na hata hadithi zote za mapepo, hakuna mahali ulozi umetajwa kama chanzo, na imesemwa mapepo ni wale malaika waasi.

Ninachokiona ni kwamba haya mambo ya uchawi ni ya kwetu sisi, ukristo uliyakuta, tukayachanganya na ukristo.

Mambo kama irizi, matambiko, misukule nk ni imani za jadi kabisa.

Na ndio maana wakristo wa nchi zilizoendelea hawaamini kwenye uchawi, wanaamini kwenye mapepo.

Hata mambo ya nyota, sijui nyayo, anga, viganja hayapo kwenye bibilia, ni mistari inatafsiriwa kitofauti.

Kwahiyo kikristo kweye upande wa mwanga kuna Yahweh na malaika wake, kwenye giza kuna shetani na mapepo yake.

Kimantiki mkristo ukiamini uchawi maana yake unahama dini/unachanganya dini tofauti.
 
Sema nini umejitahidi sana na hivo vifungu ulivoweka vya ushahidi ndipo nilipokukubali.
Umejitahidi sana.
Umeweka vifungu vingi sana anaebisha akubishie kwa hoja na vifungu kama ulivoweka.
 
Kibongo bongo wakristo wengi wanaamini kwenye uchawi.

Ndio wanauchukulia kama kitu kibaya, lakini kwa vile wanakubali uwepo wake basi inamaanisha wanaamini upo.

Lakini cha kushangaza, kimantiki, bibilia haiongelei kabisa kuhusu uchawi.

Nikimaanisha kwamba hakuna mahali ilipoandikwa kwamba mungu au shetani wana uhusiano wowote na uchawi.

Vimekatazwa kwasababu ni njia za ibada za mataifa mengine kama canaanites, romans nk, ni kutoka nje ya misingi ya dini...

Bibilia imelaani vitu kama kuabudu sanamu, kuongea na wafu, foreseeing(kutumia uchawi kutabiri nyakati) lakini haijasema kwamba hivyo vitu vinahusiana na shetani.

Na hata hadithi zote za mapepo, hakuna mahali ulozi umetajwa kama chanzo, na imesemwa mapepo ni wale malaika waasi.

Ninachokiona ni kwamba haya mambo ya uchawi ni ya kwetu sisi, ukristo uliyakuta, tukayachanganya na ukristo.

Mambo kama irizi, matambiko, misukule nk ni imani za jadi kabisa.

Na ndio maana wakristo wa nchi zilizoendelea hawaamini kwenye uchawi, wanaamini kwenye mapepo.

Hata mambo ya nyota, sijui nyayo, anga, viganja hayapo kwenye bibilia, ni mistari inatafsiriwa kitofauti.

Kwahiyo kikristo kweye upande wa mwanga kuna Yahweh na malaika wake, kwenye giza kuna shetani na mapepo yake.

Kimantiki mkristo ukiamini uchawi maana yake unahama dini/unachanganya dini tofauti.
Dogo,
Umri wako tafadhali?
 
UKRISTO UMECHANGIA SANA IMANI ZA USHIRIKINA NA UCHAWI KUENEA DUNIANI

BILA IMANI JUU YA UKRISTO KUWEPO NA IMANI JUU YA UCHAWI ISINGEKUWEPO

madhehebu ya dini ndiyo yanachochea kuziamini imani hizo za uchawi na ushirikina

watu ambao hawaamini dini wala uwepo wa Mungu Atheist huwa pia hawaamini uwepo wa uchawi

maana uchawi na dini ni Simba na Yanga
 
UKRISTO UMECHANGIA SANA IMANI ZA USHIRIKINA NA UCHAWI KUENEA DUNIANI

BILA IMANI JUU YA UKRISTO KUWEPO NA IMANI JUU YA UCHAWI ISINGEKUWEPO
Napinga.

Uchawi upo kwenye dini zingine ila sio ukristo

Najikita kwenye mantiki

Hakuna mahali popote kwenye bibilia shetani au mungu amehusishwa na uchawi

Ni kama majini, wao ni wahusika wa kiislamu tu, wanatumika kwenye misaafu ya kiislamu tu

Huwezi bibilia inazungumzia majini

Kila dini ina Lore(Simulizi) yake ya kipekee juu ya mungu, nguvu za giza na viumbe wasioonekana. Haziingiliani.
 
Kibongo bongo wakristo wengi wanaamini kwenye uchawi.

Ndio wanauchukulia kama kitu kibaya, lakini kwa vile wanakubali uwepo wake basi inamaanisha wanaamini upo.

Lakini cha kushangaza, kimantiki, bibilia haiongelei kabisa kuhusu uchawi.

Nikimaanisha kwamba hakuna mahali ilipoandikwa kwamba mungu au shetani wana uhusiano wowote na uchawi.

Vimekatazwa kwasababu ni njia za ibada za mataifa mengine kama canaanites, romans nk, ni kutoka nje ya misingi ya dini...

Bibilia imelaani vitu kama kuabudu sanamu, kuongea na wafu, foreseeing(kutumia uchawi kutabiri nyakati) lakini haijasema kwamba hivyo vitu vinahusiana na shetani.

Na hata hadithi zote za mapepo, hakuna mahali ulozi umetajwa kama chanzo, na imesemwa mapepo ni wale malaika waasi.

Ninachokiona ni kwamba haya mambo ya uchawi ni ya kwetu sisi, ukristo uliyakuta, tukayachanganya na ukristo.

Mambo kama irizi, matambiko, misukule nk ni imani za jadi kabisa.

Na ndio maana wakristo wa nchi zilizoendelea hawaamini kwenye uchawi, wanaamini kwenye mapepo.

Hata mambo ya nyota, sijui nyayo, anga, viganja hayapo kwenye bibilia, ni mistari inatafsiriwa kitofauti.

Kwahiyo kikristo kweye upande wa mwanga kuna Yahweh na malaika wake, kwenye giza kuna shetani na mapepo yake.

Kimantiki mkristo ukiamini uchawi maana yake unahama dini/unachanganya dini tofauti.
Kuamini Mungu kwenyewe ni kuamini uchawi, ila huo uchawi wa kuamini Mungu umeupitisha na kuufanya mtakatifu, umeupa ukiritimba, monopoly ya uchawi, uwepo huo peke yake mzuri, mwingine wowote uwe mbaya.

Ukishaamini mambo ya miujiza miujiza tu, ushaamini uchawi.

Na huwezi kuamini Mungu bila kuamini miujiza.
 
Kuamini Mungu kwenyewe ni kuamini uchawi, ila huo uchawi wa kuamini Mungu umeupitisha na kuufanya mtakatifu, umeupa ukiritimba, monopoly, ya uchawi, uwepo huo peke yake mzuri, mwingine wowote uwe mbaya.
Upo sahihi kabisa

Zote ni nguvu zisizofafanulika ila zinavikwa sifa tofauti

Just bear with me, I'm trying to prove a point to these theists

Sorcery in its literal meaning, isn't part of christian lore/mythology
 
Uchawi una nguvu na wala hautokani ma binadamu ,hakuna binadamu ana uwezo huo kwa sababu hata nguvu za Mussa pamoja na miujiza ya Yesu imetokana na uwezo wa Mungu..

Hata uchawi ni sehemu ya nguvu za viumbe vyenge Mungu kama hata mashetani ,ambao walifukuzwa mbinguni kwenye mamlaka ya Mungu.
 
Napinga.

Uchawi upo kwenye dini zingine ila sio ukristo

Najikita kwenye mantiki

Hakuna mahali popote kwenye bibilia shetani au mungu amehusishwa na uchawi

Ni kama majini, wao ni wahusika wa kiislamu tu, wanatumika kwenye misaafu ya kiislamu tu

Huwezi bibilia inazungumzia majini

Kila dini ina Lore(Simulizi) yake ya kipekee juu ya mungu, nguvu za giza na viumbe wasioonekana. Haziingiliani.

mbona uhahamisha mada, hapa hatuongelei majini

hapa tunaongelea uchawi, yaani imani juu ya uchawi, jiulize je bibilia ama kanisani Uchawi ama wachawi hawazungumziwi kwenye ibada ama maombi ?

mfano mimi ni Atheist siamini dini yoyote, na wala siamini uwepo wa Mungu, naanzia wapi kuamini uwepo wa Uchawi ama wachawi ? maana biblia iliyotaja kuhusu wachawi sina imani nayo, quran iliyotaja kuhusu wachawi sina imani nayo.

Ukiona unaamini Ukristo maana yake unaamini uchawi upo pia, maana mafundisho ya ukristo yanatambua uchawi upo
 
Uchawi una nguvu na wala hautokani ma binadamu ,hakuna binadamu ana uwezo huo kwa sababu hata nguvu za Mussa pamoja ni miujiza ya Yesu imetokana na uwezo wa Mungu..

Hata uchawi ni sehemu ya nguvu za viumbe vyenge Mungu kama hata mashetani ,ambao walifukuzwa mbinguni kwenye mamlaka ya Mungu.
Kwahiyo Mungu akimponya mtu huo ni uchawi?

Chochote kisichoelezeka ni uchawi?
 
Back
Top Bottom