Ninaingia kwenye maombi dakika 10 kuvunja matambiko na uchawi wa timu inayotumia mvua kubeba nyota yao . Huo uchawi haufanyi kazi leo

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,703
36,149
Hello!
Mimi nachukia sana uchawi na ushirikina makazini, kwenye siasa, kwenye soka, vyuoni, na mahali popote pale.
Nimeona kakikundi cha watu leo asubuhi Dar es salaam wakifurahia wakisema mchezo umeisha baada ya mvua kunyesha.
Niwahakikishie, kama Mungu aishivyo uchawi wowote leo hautafanya kazi. Kama kuna timu moja imefanya uchawi na nyingine haijafanya ninaamuru uchawi ukawageuke na ikawe kinyume chake.
Ikiwa team zote zimeroga ili zishinde ninauyeyusha huo uchawi kwa kila team.
Mambo ya uchawi, fitina na roho mbaya ndio yanayoirudisha nyuma Afrika.
Leo ndio naanza kazi rasmi za kuwapinga wachawi kwenye soka.
Siishii hapa tu hata ile team yetu iliyofungwa jana wakitaka safari yao iishie shimoni wajaribu matunguli yao. Najua bila tunguli hawawezi, kama hawawezi kuacha nitalala nao mbele
 
Hello!
Mimi nachukia sana uchawi na ushirikina makazini, kwenye siasa, kwenye soka, vyuoni, na mahali popote pale.
Nimeona kakukundi cha watu leo asubuhi Dar es salaam wakifurahia wakisema mchezo umeisha baada ya mvua kunyesha.
Niwahakikishie, kama Mungu aishivyo uchawi wowote leo hautafanya kazi. Kama kuna timu moja imefanya uchawi na nyingine haijafanya ninaamuru uchawi ukawageuke na ikawe kinyume chake.
Ikiwa team zote zimeroga ili zishinde ninauyeyusha huo uchawi kwa kila team.
Mambo ya uchawi, fitina na roho mbaya ndio yanayoirudisha nyuma Afrika.
Wewe ni mchungaji wa MASHIMO?
 
Wew huna tofauti na wale wagonjwa wa HIV wanaombewaga na mwamposa afu wakikaa wiki wanakimbilia kutoa ushuhuda wamepona HIV wanatupimbila mbali ARV wakiamini upupu wa Nabii mzee Mvua inyeshe Mvua isinyeshe yule mtoto leo lazima abakwe atake au asitake yani hiyo ni lazima kaaaa pale kwa kutulia
 
Itoshe kusema uchawi ni asili yetu...

Ni wapi mtanzania hatumii uchawi?

Sio kanisani sio msikitini, huko kote tunatumia uchawi kupata vyeo na mambo mengine...

Unashangaa uchawi kwenye mpira?

Tulia bhana...
 
Kiukweli jamaa hoja anayoisimamia iko sahihi. Pamoja na kuwa timu zinajitahidi kusajili vizuri ila kwenye uchawi hawajambo. Karibu kila timu ya mpira nchi hii. Mpaka UMITASHUMTA
Kiufupi uchawi ndio maisha yetu, sio kwenye soccer tu bali maisha yetu yote kwa ujumla.
Watu wanaenda kwa waganga ili ndoa zao zisivunjike.

Ikiwa muuza karanga tu anaenda kuroga, itakua soccer la pesa nyingi?

Lakini musicho jua watoto wa sasa, uchawi ni moja ya tamaduni zetu waafrika, kuroga ama kurogwa hakukuanza leo ni zama na zama, hivyo ni ngumu kwa mpuuzi mmoja tu anaejifanya kaelimika kuufuta utamaduni huu.
 
Mchungaji balansi shobo utabakwa unakua kama mwanafunzi alie toka bwen
 
Back
Top Bottom