uchawi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Simba SC kwa Uchawi nilihakikishiwa Mvua ikinyesha Asubuhi leo Yanga SC anafungwa na inanyesha kweli sasa

    Asante CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah 'Try Again' kwa Kusikiliza Ushauri wa Wanachama na Kazi imeshamalizika hivyo leo wana Simba SC tunaenda kupata Furaha ya Ushindi. Kwa Uchawi uliofanyika, Umakini mkubwa wa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe wenzetu ngozi nyeupe wanaendesha teknolojia kwa uchawi, leo nimeshuhudia kwa macho yangu

    Hapa mahali ninapofanyia kazi kwenye kampuni kuna ujenzi mkubwa unaendelea wanasimika mitungi mikubwa ile ya ardhini. Sasa kampuni inayofanya kazi hiyo ni ya wahindi aisee nimeona kwa macho yangu kabla kazi haijaanza wameenda katikati ya uwanja wakapasua nazi yaani bila hata kificho...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hivi tukio hili tunaweza kuliweka kundi la Uchawi? Niliyoyaona live siku ile

    Kwema Wakuu! Leo nitasimulia tukio lililoniacha mdomo wazi mpaka leo nisielewe nini kilitokea. Tukio hili ni halisi, sio Stori ya kubuni. STORI KAMILI! Mimi ni jamii ya watu ambao usiku tunaona mambo mengi, waotaji WA ndoto, waonaji na wakati mwingine watu tunaolala lakini tunahangaika usiku...
  4. Song of Solomon

    JamiiForums Tanzania Musoma: Ahama nyumba kutokana na visa vya wanyama kama nyoka, Simba, Chui na moto wa ajabu

    FAMILIA moja ya Mwalimu Mstaafu katika mtaa wa Morembe kata ya Bweri, Musoma mjini imelazimika kuhama katika nyumba iliyokuwa ikiishi kutokana na visa mfululizo vya wanyama wakali kama nyoka, Simba, Chui na hata moto wa ajabu unaoteketeza vitu vya ndani. Mwalimu Mary Warioba alistaafu utumishi...
  5. Jumong S

    JamiiForums Tanzania Je, Uchawi una mchango wowote katika kukuza Biashara?

    Wiki iliyopita nilitoka Moshi nikaenda kumtembelea classmate wangu pale Arusha. Jamaa ni engineer wa computer. Jumapili baada ya kula Ibada Safi na kwaya kali pale St. Theresa tuli-mount XR 250 na tukaenda kufunga Camera za usalama kwa nyumba mpya ya Tajiri mmoja wa Kanda ya Ziwa. Huyu mjuba...
  6. Mayova

    JamiiForums Tanzania Ni kweli biashara ya duka haisongi bila ushirikina?

    Jamani naombeni mniambie ukweli kwa wale wazoefu. Hivi ni kweli huwezi kufanya biashara ya duka bila uchawi au biashara yeyote bila kuhusisha waganga wakienyeji?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania watu huhusisha paka, bundi na fisi na uchawi tofauti na Ulaya?

    Kwanini Tanzania watu wengi huhusisha viumbe mfano wa paka, bundi na fisi na uchawi? Ulaya viumbe hawa ni marafiki wa karibu sana wa binadamu. Naomba jibu.
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya, nilifanyiwa uchawi, naona heri nihamie Tanzania

    Nishawai posti hapa kutafuta ushauri wa kuondoa uchawi Hivi juzi baada ya mimi kudhani mambo yangu yanaenda shwari, nimefungua duka la branding, nikalipa miezi sita na kuleta machines kadhaa, sasa baada ya kutumia sarafu zangu zote nikaanza kazi ningojee matokeo, nirefeshe mtaji, washenzi...
  9. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Uchawi 101: Madini kutoka kwa magenius wa Quora na namna ya kuudhibiti

    Naandika kwa jinsi nilivoelewa baada ya kusoma comment za watu wa Quora kuhusu dhana nzima ya uchawi, ulozi, na laana. Ki ufupi kabisa, wadau wamezungumzia uchawi kama aina fulani ya nguvu ' energy' kama ilivo energy nyingine unazozifahamu kama nishati ya jua, umeme n.k. Na wamezungumzia...
  10. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Gambosi (Gamboshi) na Nadharia ya uchawi

    Gamboshi/Gambosi na Nadharia ya uchawi. Kijiji cha Gambosi(Gamboshi) ni moja wapo ya kijiji ndani ya kata ya Gambosi wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu. Jina halisi la kijiji hicho ni Gambosi wala si Gamboshi kama wengi ambavyo hutamka hivyo kiuhalisia kijiji hicho si GAMBOSHI Bali ni GAMBOSI...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Acharangwa Mapanga akituhumiwa kumuua Baba Mkwe kwa Uchawi

    Mwanamke aitwaye Limi Kulwa (30) ameuawa kwa kukatwa na panga sehemu za kichwani, usoni, na mikono yote miwili katika kijiji cha Ilunga, kata ya Iyenze, Manispaa ya Kahama mkoa wa Shinyanga akituhumiwa kumuua kwa kumroga baba mkwe wake aitwaye Lusana Kulwa (60). Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli

    Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina. Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine yenye ushirikina kama Tanga,Pwani au Zanzibar. Kigoma maeneo ambayo yanasifika sana kwa Uchawi ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia baada ya Kuukubali na Kuutambua Uchifu Tanzania basi nakuomba uyakubali na yafuatayo

    1. Matambiko ya Kimila 2. Uchawi / Ushirikina 3. Utani wa Makabila MATAMBIKO YA KIMILA Kuna Makabila mengine yakiamua kufanya Tamaduni zao Jamii huwaona kama vile hamnazo ( Kipa Katoka ) Kwa mfano Kabila langu ukiona uko Mjini na Maisha hayaendi yakupasa kurejea kwa Wazee kisha unakogeshwa...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukiona panya, popo, mende, mijusi wanazoea ndani mwako usipuuze. Huenda ni uchawi na chuma ulete umewekewa ndani

    Uchawi ni roho kamili, roho huwa haifi kirahisi. Hivyo mchawi akifa hata kama alipokuwa hai hakumrithisha mtu ofisi yake, usitegemee ule uchawi utapotea. Automatically uchawi utamtafuta mrithi atafundishwa katika ulimwengu wa Roho naye atakuwa mkubwa kuliko hata muasisi wake. Muhimu: Huwezi...
  15. Molleli

    JamiiForums Tanzania Kwa Video Hii Nimeamini Kuwa Ukiwa Mtumishi Wa Serikali Uchawi Muhimu Aiseh!!!

    Zambia hii wajameni
  16. JASUSI LA MBINGUNI

    JamiiForums Tanzania Kwanini wachawi hutupia watu majini?

    Wachawi wanaporoga sio lazima wakutumie majini ama mapepo. Wanaweza kukuloga kwa laana za kichawi, ama kukulisha uchafu nk Je, ni kwa wakati gani wachawi wanalazimika kutumia majini kumloga mtu? Kwanini watumie jini na sio uchawi wa kawaida? cc Mshana Jr Rakims
  17. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Mafunzo rasmi ya uchawi:Je hirizi na tunguri zinatoaje taarifa kwa mmiliki wake?

    Mshana Jr tusaisidie majibu mujarabu
  18. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Katika ulimwengu wa kishirikina, nguo yako ni wewe

    Habari zenu wakuu natumahi mu wazima wa afya. Leo nimekuja na hili baada ya kuona matukio yakufanana yahusishayo Nguo. TUKIO LA KWANZA (1): Kuna jamaa yangu tulifahamiana nae yeye ni ndugu yake na binamu yangu. Yeye ni Upanga Boy (Mzaliwa wa kata ya Upanga wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Matunguli au uchawi uliocha ofisini na mtangulizi wako unautoaje kuitakasa ofisi?

    Kuna watu wanapokea ofisi binafsi au ya umma kutoka mikononi mwa watu waliokuwa wanaamini ushirikina na ambao walikuwa wanapeleka wachawi na waaguzi kufanyia ibada zao ofisini. Ofisi kama hizi kiimani inaaminika hata Mwenye ofisi akiondok aidha kwa kuamishwa, kustaafu au kufa mizimu ile ubaki...
  20. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Unaamini katika uchawi? Tushirikishe uliyowahi kukumbana nayo

    Do you believe In Witchcraft? Share you Experiences Wasalaam, Years ago in life movements, huko Songea katika harakati za msaka tonge, kama ilivyo silka ya Mwanaume kula kwa kutafuta Japo hata Tunda huliwa kimasihara lakini hutafutwa. Binafsi yangu sijawahi kukumbana na Kioja chochote wala...
Back
Top Bottom