Kwanini Tanzania watu huhusisha paka, bundi na fisi na uchawi tofauti na Ulaya?

CreativityCode

Senior Member
Aug 8, 2020
158
653
Kwanini Tanzania watu wengi huhusisha viumbe mfano wa paka, bundi na fisi na uchawi? Ulaya viumbe hawa ni marafiki wa karibu sana wa binadamu.

Naomba jibu.
 
Ni kwasababu viumbe hao ni kweli huwa vinatumika na wachawi na kwenye uchawi. usidharau. ulaya ni ulaya, africa ni africa.
 
Hao viumbe ukiwaangalia tuu wamekaa kichawi chawi
Ila wazungu wanaamua kuwatumia kizungu
 
1. .BUNDI ANATUMIKA KWA ZINDIKO LA NYUMBA ,SHAMBA N.K
BUNDI..NI NDEGE WA AJABU SANA ANAUWEZO WAKUONA USIKU KULIKO MCHANA. NA UJITAFUTIA KITOWEO USIKU .
... BUNDI UTUMIWA NA WANGA ,KWA MWONEKANO WAKE..WATU ULETA DHANA YA KWAMBA BUNDI NI NDEGE HATARI NA MBAYA KWA MAISHA YA MWANADAMU. SIO KWELI WABAYA WANADAMU WANAOMTUMIA.
........... ASANTE KWA LEO.....
 
Ajabu hata ndege wenzake hawamtaki !!. Nimewahi kuona mara mbili akishambuliwa na ndege jamii nyingine . Yawezekana ni muanga
 
1. .BUNDI ANATUMIKA KWA ZINDIKO LA NYUMBA ,SHAMBA N.K
BUNDI..NI NDEGE WA AJABU SANA ANAUWEZO WAKUONA USIKU KULIKO MCHANA. NA UJITAFUTIA KITOWEO USIKU .
... BUNDI UTUMIWA NA WANGA ,KWA MWONEKANO WAKE..WATU ULETA DHANA YA KWAMBA BUNDI NI NDEGE HATARI NA MBAYA KWA MAISHA YA MWANADAMU. SIO KWELI WABAYA WANADAMU WANAOMTUMIA.
........... ASANTE KWA LEO.....

Bundi analiwa??
 
primitive societies
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom