uchawi

  1. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu uchawi na uganga

    Wengi hufikiri haya mambo ni ya kufikirika ,hasa kizazi cha leo. Nimekuwa kwenye hii field kwa miaka kadhaa nimejifunza mengi sana na nimeshuhudia mambo ya kutisha sana,siyo mimi mtarimbo Bali ni jamaa mmoja wa shinyanga alikua akitoa ushuhuda , wa jinsi alivyomtumikia shetani kama mganga wa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uchawi na Ushirikiana unavyoathiri maendeleo ya taifa

    Kwa majina naitwa ramadhani selemani ramadhani ni kijana wa kitanzania. Leo nimependa kuzungumzia maswala ya imani ya kishirikina na uchawi zinavyo athiri maendeleo ya nchi kwa ujumla. Katika mchi kuna makabila mbalimbali zaidi ya 150 kila kabila lina utamaduni wake na imani zake. Katika...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Uchawi ni kosa la jinai, Mahakama ikikukuta na hatia unafungwa jela

    Kwa mujibu wa Sheria, mtu yeyote kwa kauli au matendo yake akitambulika kuwa ni mchawi au akitengeneza, kutumia au akimiliki zana za kichawi au akimpagtia mtu mwingine zana za uchawi au akimshauri mtu kutumia uchawi au zana za kichawi au akitishia kuloga au kutumia uchawi au zana za kichawi...
  4. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Nambari zinazorudiwa zinamaanisha nini? Nambari ya Uchawi, 222, 333, 666

    Jambo la 11:11 na maana yake Je, mara nyingi unaona nambari 11:11 kwenye saa za kielektroniki, anwani au sehemu zingine na kujisikia furaha? Wakati mwingine tunaona nambari zinazorudiwa au mfuatano wa nambari na kufikiria kuwa zina maana maalum kwetu. Mawazo yangu juu ya mada hii katika...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ahueni: Kumbe vlach magic uchawi wa serbia ni mkali kuliko voodoo

    Oh asante sana aisee , I hope kijana wetu Dejan anatumia hii Vlach magic ya huko nchini kwao unaambiwa ni uchawi hatari hata voodoo ya wa benin na wa haiti inasubiri Sasa ajaribu kinyago yoyote kumloga kama kombora halijamrudia apoooze mwili kabisa Hatari sana unaambiwa the story goes back...
  6. H

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Mafanikio kibiashara bila uchawi haiwezekani?

    "Oy babu Hauwezi shika milioni kumi au kutengeneza himaya Kubwa kibiashara bila kwenda KWA mganga kuchukua ndagu" Unamwona Fulani ako na kidonda kisichopona ... Mangi anae msukule ndani unaodondosha udenda ambao ni hela... Mpemba anayo majini ... Hizi ni baadhi ya kauli tinazokumbana nazo...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania “Aliyeko Juu Mngoje Chini!” Ni kauli ya kishetani iliyojaa uchawi ndani yake

    “Aliyeko Juu Mngoje Chini!” “Aliyeko juu mngoje chini”? Hii ni methali ya kipepo kabisa. Ambaye anaitendea kazi mithali hii ataendelea kubaki chini akiwasubiria walioko juu kiuchumi, walioko juu kielimu, walioko juu kiroho, walioko juu kiufahamu, washuke chini. Na wasiposhuka chini atafanya...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Aisee kumbe hata Ulaya wanatumia uchawi kwenye soka. Tazama hapa Astonvilla wakiwa kwa sangoma

  9. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Kijana awakata mapanga na kuua mke na mume akiwatuhumu kwa uchawi

    Kijana mmoja mkoani Kilimanjaro, kutoka kijiji cha Manushi kati anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kufanya mauaji ya baba yake mkubwa aitwae Mushi pamoja na mkewe. Mauaji hayo yametokea leo siku ya Jumanne majira ya saa kumi jioni baada ya kijana huyo kuvamia nyumbani kwa wanandoa...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watanzania kuendelea kumtukuza Hayati Magufuli kama si uchawi basi tuseme nini?

    Habari za usiku wazee! Hayati Magufuli kwa kipindi cha miaka 6 ya uongozi wake kazidiwa na mwaka mmoja wa Samia katika kutoa ajira rasmi tena serikalini. Ila cha ajabu bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia. Je, huu sio uchawi? Kwenye makusanyo ya fedha Magufuli pamoja na...
  11. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Hakika Uchawi Upo: Nimeutumia kwenye Kesi yangu mahakamani na Nimeshinda

    Eeh bwana eeh ni yule yule Mr. Liverpool A.K.A bingwa wa EPL na bingwa wa NBC PL (Mwananchi). NB:- Naleta uzi huu si kwa lengo la kutangaza biashara au vipi ila ni KUTOA USHUHUDA WA MAMBO YA DUNIA..!! FLACK BACK  Mwaka jana mwezi wa 4 nililetewa idea ya biashara na bosi fulani hivi wa huku...
  12. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Jambo la uchawi ni serious kabisa Rukwa/Katavi

    Habari zenu, Tokea mwaka huu uanze Niko katavi ni mji ambao ni manispaa, yaani kila mji una sifa zake. Yaani mpanda Ina vichaa wengi kuliko hata jiji la Mwanza jamani. Wenyeji wa huku acheni hizi Mambo. Yaani inasikitisha mno kila Kona ama kila mtaa lazima uwe na kichwa ujue. Kuna jamaa...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Sio Uchawi, hii ndio mbinu wanayotumia wakinga kuteka biashara kwa spidi kali na mfanikio makubwa, mbinu rahisi ambayo kabila lolote linaweza kutumia

    Ni jamii ambayo ilikuwa haijulikani lakini hivi karibuni kutoitambua ni sawa na kusema hakuna kitu kwenye chumba mlichomo na tembo, hata kwa wanaofunga mizigo yao soko kubwa kuliko yote nchini pale kariakoo ni mashuhuda, hawa watu ni kama wameimeza kariakoo, kuimeza kariakoo ni sawa na kuwa...
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Uchawi upo ndugu zangu. Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anagombea kiwanja cha babu yake yeye na mjomba wake, dogo babu yake alimkatia eneo kubwa tu na akafanikiwa kujenga. Mjomba wake akajiapiza wewe dogo si babu yako anakupenda sana sasa utaona. Hivi sasa dogo ni kichaa dah, yaani...
  15. sepema

    JamiiForums Tanzania Ni kujiamini au ni uchawi? Wauaji walizurura na maiti kwenye gari hadi walipoamua kuitupa porini

    Heshima yenu wakuu. Miaka mingi nyuma mtu wangu wakaribu alinieleza kitu ambacho kiliniacha mdomo wazi. Ni hivi, yeye nawenzake walitoka safari flani ambayo ilibidi wapande gari. Wakati wapo barabarani wakajaribu kusimamisha pickup flani ambayo ilikubali kuwachukua kwani walikua wanelekea...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha "ushahidi kuwa Mungu hayupo na uchawi haupo" kiko njiani

    Ndugu zangu wana JF, mimi ni mtanzania na ninapenda kuwafahamisha kuwa ninaandika kitabu chenye kutoa ushahidi juu ya kutokuwepo mungu wala uchawi katika dunia hii. Najua wengi wenu mkisia mada kama hii mnapuuza na kucheka. Yawezeka vicheko vinatokana na kuelewa sana juu ya chimbuko la dhana...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Story za Masau Bwire kuhusu uchawi wa taifa stars

    By Masau Bwire More by this Author USHIRIKINA na uchawi katika soka la Tanzania kama siyo Afrika unafanyika karibu timu zote - iwe klabu au timu za Taifa ni kawaida wote wanaamini bila kujishughulisha no ni vigumu kumshinda mpinzani. Imefikia hatua katika klabu za soka uwezo wa wachezaji...
  18. Ckeys

    JamiiForums Tanzania Sio uchawi ila ni vile uumbaji wa Mungu

    Kumbuka Milele Je! unajua kuwa kuna hali adimu inayoitwa hyperthymesia ambayo inaruhusu watu kukumbuka karibu kila undani moja ya maisha yao? Hiyo ni sawa…. kila mazungumzo, kila tarehe, kila mwingiliano... uliojikita katika kumbukumbu zao milele. Hivi sasa, kuna wastani wa watu 12-60...
  19. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Akifanya mzungu inaitwa 'Teknolojia', akifanya Mwafrika inaitwa 'Uchawi', kwanini inakuwa hivi lakini?

    Binafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'. Fikiria enzi za Yesu uende na smartphone uanze kupiga watu picha au uanze kupiga video call , hapo hapo utadakwa na kuchomwa moto na Kanisa kwa shutuma za uchawi. Ni kama wale waliosema Dunia haipo...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini wimbo wa Killy na Harmonize 'ni wewe' hautambi?

    Nawasalimu kwa jina la JMT! Nauzungumzia huu wimbo wa Killy aliyomshirikisha Harmonize uitwao 'ni wewe'. Jamani, huu wimbo unachosababisha usitambe ni nini haswaa kama sio uchawi tu?!!! Melody nzuri, Mashairi mazuri, Beat poa kabisa ya kizamani na kisasa iliyotulia, Shooting ni njema kabisa...
Back
Top Bottom