uchawi

  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ni Uchawi tu huo! Benard Morrison kimbia haraka kwa Mwamposa au kwa Kuhani Mussa Richard Mwacha ukaponywe hiyo ngiri ya kichawi

    " Benard Morrison yupo mbioni kufanyiwa upasuaji wa ngiri ambao utamfanya akae nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita" . Vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania. Ukitazama maradhi ya Benard Morrison kwa jicho la Mshana Jr unaweza kusema kwamba Benard Morrison...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Amekuta Uchawi wa Kiarabu Nyumbani Kwake

    Wakuu; Jumapii ya leo imenoga Niko na rafiki yangu hapa tuko na karatasi imeandikwa Jina lake mara nyingi sana pamoja na maneno ya kiarabu halafu ikachomwa sindano.Ilikuwa imehifadhiwa ndani ya nyumba yake.Kwenye nyumba yake wanaishi watu wawili tu.Mama yake na Mke wake pamoja na watoto...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Huu ni uchambuzi wa michezo au uchawi na husda?

    Huyu Kitenge Hapa akajibiwa na Haji Huyu naona hafai hata kuchambua rede. Akachambue tembele
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi wabantu tunavyoamini uchawi, naamini kuwa Kinjekitile alijua dawa yake itafanya kazi

    Vitabu shuleni tuliaminishww kuwa Kinjekitile alifanya vile ili kuwapa wanajeshi moyo wa kupigana. Mi natilia shaka hili jambo. Limepotoshwa tu kumfichia aibu yule mzee. Kwa jinsi tunavyoamini ushirikina naona kuwa Kinjekitile aliamini dawa yake itafanya kazi. Hadi leo watu wanajikinga kwa...
  5. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Wazungu wana uchawi wa "small scale"?

    Habari zenu wakuu. Moja kwa moja naomba niende moja moja kwenye mada. Naomba kuuliza hivi wazungu nao hurogana katika small scale yani man to man? Diasporas naomba mtusaidie hili. Habari zao za Ushirikiana tunazozile kubwa kubwa kama Freemason, Blue Order nk. Maana kinachoonekana nikuwa...
  6. I AM NO ONE

    JamiiForums Tanzania Kuna Uchawi au Uganga unaweza kufanya ukaongezwa mshahara au kupandishwa cheo kazini?

    Habari, Aise mimi kuna mahali nafanya kazi ila sasa kuna mtu nafanya nae kazi ananiambia we kaa hivyo hivyo usihangaike. Sasa huyo anaenimbia hivyo ni mtu alikuwa kitengo kingine akahamishwa akapelekwa kingine chenye nafuu kidogo Halafu sasa ananiambia kashapewa barua ya kuongezewa mshahara...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

    Muwe mnasikia tu fulani karogwa, anasumbuliwa na wachawi usiku, n.k haya mambo yakiwakuta ndo mtaijua anaeisimulia mvua basi iliwahi kumnyeshea, Nguvu za giza haziwezi kuonekana kwa macho yetu ya kawaida wala kupimwa na vifaa vya kisayansi, Aliedhuriwa na haya mambo kumbishia ni sawa na...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kupenda vya gizani ni dalili ya uchawi!

    04.11.2020, Saa nne usiku: Kwani uchaguzi si umeisha? Kwani ushindi wa ‘kishindo’ si tayari? Kwani ‘watu wengi’ si wanawakubali? Kwani maandamano si yameshadhibitiwa kwa nguvu kubwa? Sasa nini sababu ya kuendelea kuminya minya mitandao ya kijamii na ‘kutupimia kwenye vijiko’? Hivi wanajua...
  9. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kuamini Sana uchawi huwa kunaambatana na ujinga

    Ukikaa na watu wanaoamini uchawi na kupiga stori za uchawi huwa Kuna mambo ya kushangaza Sana. 1. Mmoja anasimulia eti Kuna mzee alikamatwa na radi ameiweka kwenye mfuko wa salfeti. polisi kumuuliza akasema huwa anaiuza. 2.Mwingine anasema eti radi ikipiga sehemu huwa inataga yai . Basi...
  10. fungi06

    JamiiForums Tanzania Maana ya kauli ‘Uchawi hauendi kwa mentally’ ni ipi?

    Nimeskia huu msemo kwenye mwimbo wa professa j... Zali la mentally, rejea ukauskilize... Sasa nataka nijue je huu msemo (uchawi hauendi kwa mentally) unamaanisha nini? Cc Mshana Jr
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mmewahi kukumbana na uchawi wa kusahaulishwa

    Yani jamaa anakuroga usahau au uwe unahairisha kila ukitaka kuchukua hatua. Nilikutana na mganga flani akawa ananipa story yaani hata kama mtu anakesi ya kuua anaweza kumfanya hata Mahakama au ndugu wanaomshtaki wasifuatilie kesi. Nimesikia kuna maeneo pwani ukilima Shamba ukikaribia kuvuna...
  12. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa kimapenzi mkali kabisa yaani ni balaa

    Katika masuala ambayo uchawi una ishi na kutawala basi ni suala la mapenzi. Asilimia kubwa ya watu wanao enda kwa waganga, huenda huko kwa sababu ya mapenzi au kwa sababu ya mambo yanayo sababishwa na mapenzi. Uchawi wa mapenzi upo wa aina nyingi sana. Nikisema nianze kutaja na kuelezea kwa...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Propaganda za uchawi na ushirikina

    PROPAGANDA ZA UCHAWI NA USHIRIKINA. Na, Robert Heriel Je, uliwahi kuuona uchawi kwa macho? Je, uliwahi kupatwa na uchawi? Ulijuaje huo ni uchawi? Je, uliwahi kumuona ndugu yako au jirani aliyelogwa? Je, ulijuaje amelogwa? Je, uliwahi kusikia habari za uchawi? Je, ulijuaje huo ni uchawi pale...
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa Mahusiano ni pesa

    Nimeamini uchawi wa mahusiano ni pesa. Yaani ukiwa nazo, utabembelezwa kama mtoto mchanga; ila ukiishiwa usishangae mpenzi wako kukuita majina ya ajabu ajabu kama vile, wee mbuzi, mbwa, paka n.k Tutafute vyanzo vya pesa wakuu, tule mema ya dunia
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa tano sasa, sijwahi kusikia wala kuona mtu anaumwa malaria, uchawi gani huu?

    Miaka ya 2015 kurudi nyuma, binafsi ilikuwa haipiti mwaka sijumwa malaria, na haipiti wiki lazima nisikie habari za mtu wangu wa karibu au rafiki au jirani au ndugu wa mbali kaumwa malaria. Lakini toka 2015 kuja mbele hali imekuwa ya miujiza kabisa, sisikii wala kuona mtu anaumwa, si mimi wala...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ni uchawi ama hisia! Mahusiano kati ya baba na binti yametamalaki Jijiji Dar es Salaam

    Kuna watu wanajiulizaga huko mitaani hivi hivi vibinti huwa vinabikiriwa na nani? Kademu tunakaona kuanzia kapo darasa la kwanza, kanamaliza Darasa la Saba kana miaka kumi na mbili au kumi na tatu dogo (15yrs) anakatokea kanamkubalia kanampa tunda, wanasanukiwa, kesi inafika Kwa wazazi...
  17. Determinantor

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vimbwanga Chaguzi za CCM: Baada ya Rushwa wahamia kwenye uchawi

    Chama dola kilichoshindwa kudhibiti rushwa hata kwa Wajumbe wake kimeibuka na mpango mkakati mpya wa kupata kura za Wajumbe kwa kutumia ndumba! Maelezo kamili haya haya kwenye attachment. Eti ndio CCM wanapiga kelele kudhibiti rushwa, wameshindwa rushwa wamehamia kwenye nyumba baada ya miaka...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kuondoa uchawi na majini

    Wadau, if you didn't believe uchawi is real, I've been a victim. What I've seen, and has been done to me by malicious people would anger any sane person. The good thing is that I got to realize who actually intended to hurt and destroy me. The problem ni how to replicate kitu nilifanyiwa. I'm...
  19. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Mkiambiwa Uchawi (Ushirikina) Makao Makuu yake ni Barani Afrika muwe mnaelewa tafadhali

    Kirinyaga: 8 family members develop ‘strange illness’, sing loudly after stealing food. Kirinyaga: Watu Wanane wa Familia moja wamejikuta wakiugua Ugonjwa wa ajabu huku wakiimba kwa Sauti ya juu kabisa nyimbo mbalimbali za Wasanii tofauti tofauti barani Afrika na Marekani baada ya Kuiba Chakula...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kinondoni, Dar: TAKUKURU inawashikilia viongozi wanne wa Jimbo la Ubungo(CCM) kwa tuhuma za rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Wilaya ya Kinondoni, inawashikilia viongozi wanne wa Jimbo la Ubungo(CCM) kwa tuhuma za rushwa pamoja na kuanza kampeni za uchaguzi mkuu kabla ya muda.
Back
Top Bottom