uchawi

  1. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Je, hili gonjwa lililompata mshikaji wetu ni karma au uchawi?

    Habari zenu wana JF wenzangu, Ama baada ya salam naomba nijielekeze kwenye mada husika. Kuna rafiki yang mmoja anaitwa J (nimekatiza jina lake kwa sababu ya heshima na usalama wake). Sasa huyo J na yeye anamshikaji wake ambae walipanga nae nyumba 1 mitaa fulani (jina kapuni) J aliowa mwaka...
  2. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Hoja za waenda kwa waganga na wanaoutumaini uchawi

    Kwa kawaida Huwezi Kumlazimisha mtu kuamini kile unachokiamini au kuiacha njia anayoiona yeye ni sahihi alafu wewe umuambie amepote! Kwa muda mrefu tumekuwa tukiwasikia wanaoenda kwa waganga na kutumainia nguvu za giza. Tukiwauliza wengi wao kwamba wanasema: 1. Mungu amesema nisaidie...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tamthilia za Kibongo-Kugomba, Matusi, Uchawi & Kunyonyana

    Nikiwa home jioni unakuta familia inaangalia tamthilia za kibongo sijui "JUA KALI", LA FAMILIA" n.k yaan dakika 2 nyingi lazima usikie TUSI Kama sio KUNYONYANA NDIMI au mtu kageuka mbuzi (uchawi) hizo tamthilia hamnaga wahariri?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wimbi la watoto kutoa shuhuda za kutisha zinazohusu uchawi wa kuua na kula nyama za watu

    Wanapendwa, Watoto wadogo kuanzia umri wa miaka 6 mpaka 12 asilimia kubwa wasichana kwa nyakati tofauti wamekuwa wakitoa shuhuda za kujishughulisha na uchawi katika kanisa maarufu lilipo Dar es Salaam. Katika shuhuda hizo watoto hao hukiri kujihusisha katika vitendo vya kichawi vya kuua watu na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Video: Uchawi haupandi ndege, juju la Simba halikuzaa matunda Johanesburg

  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Simba; sawa tunajua mnapenda uchawi, ila ndio muufanye bila kificho hata ugenini? ni aibu sasa hii

    Ni nini huu upuuzi?
  7. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Siri ya Uchawi

    Maisha ya bindamu yamebakia kuwa siri na kama ilivyo matendo ya kibinadamu mengine hufanywa kwenye ulimwengu ambao sisi binadamu wengine hatuuwezi kuona kwa macho ya kawaida ila wapo baadhi ambao wanaidiwa na majini pamoja na wengine nguvu zao za asili walizobarikiwa. UCHAWI ni imani ya...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nyumba nyingi hutumia mlango wa jikoni kuingia ndani badala ya mlango wa sebuleni, ni uchawi au ni nini?

    Kuna nyumba nyingi sana nilizowahi kutembelea, unakuta unakaribishwa ndani kwa kupitia mlango wa jikoni, na ule wa sebuleni unakuta haujawahi kutumika tangu nyumba ijengwe. Hii husababishwa na nini, chanzo au lengo la tabia hii, ni nini?
  9. Aizi Azma

    JamiiForums Tanzania Benki zina kinga gani dhidi ya uchawi?

    Hakuna asiependa pesa (Hapo sasa nimekuwa semaji la binadamu wote), na kama yupo basi ana raha sana. Tutakubaliana pia, hakuna asiependa njia za mkato (shortcuts) za kurahisisha mambo. Njia mojawapo ya mkato ni kutumia uchawi kupata kile unachokitaka.... nimekua katika jamii ambayo inaamini ili...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo mkali akiendesha basi la Tilisho

  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania VIDEO:- Waafrika tuna mila za ajabu sana, huu ni uchawi au ni nini?

    Video nimeiba kwenye mikoba ya Mshana Jr
  12. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji, Jumaa Aweso: Wachawi kikwazo maji kufika vijijini

    Hello JF Hii habari imenichekesha sana ---- Waziri wa Maji, Jumaa_Aweso ameeleza kupitia alipokuwa katika ziara ya kukagua miradi ya maji Vijijini moja ya kituko alichokutana nacho kwenye kijiji kimoja alipomuuliza mkandarasi sababu ya maji kutokuwepo kwenye kijiji hicho licha ya kujengwa tank...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna watu najua tu vigingi hivi vitatu vitawaacha vichwa chini, watagombana na hadi kutafutana uchawi

    1. Kwa Simba SC anaziacha Alama 3 2. Kwa Namungo FC anaziacha Alama 3 3. Kwa Azam FC anaziacha Alama 3 4. Kwa Mbeya City FC anaziacha Alama 2 5. Kwa Biashara United FC anaziacha Alama 2 6. Kwa Coastal Union FC anaziacha Alama 2 7. Kwa Polisi Tanzania anaziacha Alama 2 Na katika ASFC dhidi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kutegemea uchawi na figisu kwa Mkapa ili kushinda mechi ni upuuzi

    Mechi ya Leo imetufundisha jambo, hwa Asec mimosas simba haiwafikii kwa ubora walionao, walivyowafunga kwa Mkapa ni kwasababu za nje ya uwanja zaidi na sio kwamba simba iliwazidi ubora. Mambo ya kishirikina yanayofanyikaga pale kwa mkapa ili simba ashinde tunayajua vizuri sana, ndiyo maana...
  15. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa Biashara ni Wateja, tumia gharama zozote kulinda "ulio nao"

    Katika maisha ya biashara na Ujasiriamali hakuna kitu kizuri kama ukiwa na uhakika wa wateja kila siku, kuna furaha flani amaizing sana isiyoweza simulika. Mtu ana simu ya ofisi ipo busy kila wakati,wateja wanapga kuuliza bidhaa zimefika au zipo au lah,raha sana ukiwa mfanyabiashara halafu...
  16. Mwanakulipata

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini uchawi hautumiki kwenye Uwanja wa Vita?

    Ndugu zangu mshawahi kujiuliza kwanini uchawi hautumiki kwenye uwanja wa medani (vitani), nadhani kuna vitu vingi tumeshuhudia vya kichawi ambavyo ki uhalisia au ki fikra za kawaida tu vinaweza kuwekwa kwenye vita na vikafanya kazi.. Lakini cha ajabu Uchawi hautumiki kabisaaa ani tena nasikia...
  17. RWANTANG

    JamiiForums Tanzania Nina amani kuwa uchawi upo; je, na uganga wa kweli bado upo?

    Habari za usiku huu wana jamvi. Kama bandiko linavyojieleza, Uchawi upo na matukio ya kichawi baadhi yetu tumekuwa tukiyashuhudia. Swali langi je, kuna uganga wa kweli katika kutibu uchawi? Au kumnyoosha anae kutendea visivyo?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Uganga na uchawi uliotumika miaka ya nyuma kudhibidi dhuluma na uonevu umeondoka tuombe Mungu urudi ili tudhibiti uonevu.

    Miaka ya nyuma huko Zamani za miaka ya kupata uhuru mpaka miaka tisini ukiua mtu hana hatia ilikuwa lazima uwe chizi au ufe kifo kibaya sana. Polisi alikuwa akibambikia mtu kesi lazima afukuzwe kazi au kupata ajali. Ilikuwa ukidhulumu mali ya mtu lazima ufirisike na kuwa masikini. Leo hii...
  19. Mdudu Mende

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kujifunza naye uchawi

    Natafuta mtu wa kujifunza naye uchawi Sifa Awe mwanamke Awe anajua kusoma na kuandika kiingereza(Tutatumia vitabu vya kizungu kujifunza) Awe ndani ya Dar es Salaam Awe na umri wa kufanya maamuzi binafsi preferably 25+ Akiwa na elimu kuanzia Bachelor itakuwa poa zaidi Hit my inbox
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa kukatwa na vitu vyenye ncha kali bila kujeruhika

    Uchawi huu uko sana Kigoma, pia majambazi wengi huutumia
Back
Top Bottom