Kumbe wenzetu ngozi nyeupe wanaendesha teknolojia kwa uchawi, leo nimeshuhudia kwa macho yangu

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,789
5,105
Hapa mahali ninapofanyia kazi kwenye kampuni kuna ujenzi mkubwa unaendelea wanasimika mitungi mikubwa ile ya ardhini.

Sasa kampuni inayofanya kazi hiyo ni ya wahindi aisee nimeona kwa macho yangu kabla kazi haijaanza wameenda katikati ya uwanja wakapasua nazi yaani bila hata kificho wamefanya laivu.

Wamepasua nazi ndio wakaanza rasmi kufanya shughuli.

Leo nimejua kumbe uchawi upo kila sehemu tatizo waafrika badala ya kuutumia kwa maendeleo wao wanalogana.
 
Hapa mahali ninapofanyia kazi kwenye kampuni kuna ujenzi mkubwa unaendelea wanasimika mitungi mikubwa ile ya ardhini...
Bado hujafanya kazi na engineering companies za Italy 🇮🇹 😍 kule kwenye mji wa wanaume watupu. Huwa kondoo mweusi tiiiiiii huzikwa mzima mzima akiwa amesindikizwa ma majogooo meusi tiiiiii na huswaliwa dua ambayo huambatana na matambiko ya kucheza uchi
 
Bado hujafanya kazi na engineering companies za Italy kule kwenye mji wa wanaume watupu. Huwa kondoo mweusi tiiiiiii huzikwa mzima mzima akiwa amesindikizwa ma majogooo meusi tiiiiii na huswaliwa dua ambayo huambatana na matambiko ya kucheza uchi
Kucheza uchi kunakoambatana na kuonana mizigo laivu tiiiiiiiiii
 
Mihindi/miarabu/mizungu/michina sio wenzenu ila nyie kila siku "kwa wenzetu" si bungeni hadi mitaani. Hao watu hawawaoni nyie kama wenzao let alone kuwaita nyie wenzenu hata kwa bahati mbaya ila nyie hamchoki kujikomba.

Secondly, mitanganyika itaamini hii story kama inavyoamini story zingine zote za kishirikina bila kufanya any reasoning. Mimi naweza kuanzisha uzi kwamba nilikufa nikafufuka kichawi na mitanganyika ilivyo mizwazwa na kuamini ushrikina itaamini kila kitu na kwenda kusimulia wengine. Story zote za kishirikina zipo hivi- hearsay.

Scars Mr. Sound ndege JOHN
 
Ungetuwekea ma ka clip kafupi ka kusaport taarifa.
Hata hivyo kwa wahindi, waarabu ni kawaida, kufanya matambiko kabla ya kazi,
Humwaga mchele, ulezi, kupasua nazi, au kumwaga chumvi za mawe.
 
Hapa mahali ninapofanyia kazi kwenye kampuni kuna ujenzi mkubwa unaendelea wanasimika mitungi mikubwa ile ya ardhini.

Sasa kampuni inayofanya kazi hiyo ni ya wahindi aisee nimeona kwa macho yangu kabla kazi haijaanza wameenda katikati ya uwanja wakapasua nazi yaani bila hata kificho wamefanya laivu.

Wamepaaua nazi ndio wakaanza rasmi kufanya shughuli

Leo nimejua kumbe uchawi upo kila sehemu tatizo waafrika badala ya kuutumia kwa maendeleo wao wanalogana
Sasa wao walivyopasua nazi kisha wakaendelea na kazi zao nini kilichofanya uwaone kuwa ni wachawi?? Mbona hata majumbani kwetu tunapotaka kula vyakula vya nazi hilo ni jambo la kawaida tu? Tunapasua, tunakuna kisha tunaichuja na kutumia tui lake kwenye mapishi yetu kila siku!!

Kingine, Mkuu hivi toka lini wahindi wakawa watu weupe??
 
Mihindi/miarabu/mizungu/michina sio wenzenu ila nyie kila siku "kwa wenzetu" si bungeni hadi mitaani. Hao watu hawawaoni nyie kama wenzao let alone kuwaita nyie wenzenu hata kwa bahati mbaya ila nyie hamchoki kujikomba.

Secondly, mitanganyika itaamini hii story kama inavyoamini story zingine zote za kishirikina bila kufanya any reasoning. Mimi naweza kuanzisha uzi kwamba nilikufa nikafufuka kichawi na mitanganyika ilivyo mizwazwa na kuamini ushrikina itaamini kila kitu na kwenda kusimulia wengine. Story zote za kishirikina zipo hivi- hearsay.

Scars Mr. Sound ndege JOHN
Mpemba mweusi tiii naye hujiita mwarabu
 
Pale Mto wami darajani tumezika vichwa vya Nguruwe, na Paka vya kutosha tukiwa na Mchina mmoja ambaye ni mkubwa wa ile site.
 
Mihindi/miarabu/mizungu/michina sio wenzenu ila nyie kila siku "kwa wenzetu" si bungeni hadi mitaani. Hao watu hawawaoni nyie kama wenzao let alone kuwaita nyie wenzenu hata kwa bahati mbaya ila nyie hamchoki kujikomba.

Secondly, mitanganyika itaamini hii story kama inavyoamini story zingine zote za kishirikina bila kufanya any reasoning. Mimi naweza kuanzisha uzi kwamba nilikufa nikafufuka kichawi na mitanganyika ilivyo mizwazwa na kuamini ushrikina itaamini kila kitu na kwenda kusimulia wengine. Story zote za kishirikina zipo hivi- hearsay.

Scars Mr. Sound ndege JOHN
Sijaelewa mechanism ya kuvunja nazi ina relate vipi na uchawi

Afu watu wanashindwa kuelewa miongoni mwa nchi zenye watu wajinga wa fikra india inaweza kushika nafasi za juu.

India ndio inaongoza kwa idadi kubwa ya miungu ambayo hata waafrika wanaipinga na kusema kwamba ni ujinga kuamini nyoka ni mungu

Miezi kadhaa iliyopita tulipata kusikia kiongozi mmoja huko india alikula mavi ya ng'ombe huku yeye akiya treat kama mavi ya upako

Si umeona? Utofauti wa mhindi na muafrika ni rangi tu ila fikra ni zile zile, huku tunauziwa mafuta ya alizeti kwa jina la upako na kule india mtu anakula kinyesi cha ng'ombe anaita upako.

Prime minister wa india alikunywa mkojo wa ng'ombe na akashawishi wengine wanywe kwa kile alichodai kwamba inaweza kuwaepusha watu wasiambukizwe corona.

Mkuu Thanks kwa tag
 
We mshamba sana , wahindi unawaita ngozi nyeupe? Wenzio wazungu na waarabu wanawatumikisha na kuwabagua ujue.
Hapa mahali ninapofanyia kazi kwenye kampuni kuna ujenzi mkubwa unaendelea wanasimika mitungi mikubwa ile ya ardhini.

Sasa kampuni inayofanya kazi hiyo ni ya wahindi aisee nimeona kwa macho yangu kabla kazi haijaanza wameenda katikati ya uwanja wakapasua nazi yaani bila hata kificho wamefanya laivu.

Wamepaaua nazi ndio wakaanza rasmi kufanya shughuli.

Leo nimejua kumbe uchawi upo kila sehemu tatizo waafrika badala ya kuutumia kwa maendeleo wao wanalogana.
 
na sio kutumia kwa maendeleo tu, waafirika uchawi wao ni wausiku wakati wenzetu wanauaply mchana kweupe. ila swala la uchawi upo huwez tengeneza ndege ipae kama si uchawi kwa kivuli cha sayansi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom