uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Mbowe somo hili lakuhusu: Jeremy Corbyn kashindwa uchaguzi, kujiuzulu muda wowote!

    Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye. Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa. Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake. SOMO Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tume ya uchaguzi kuvuka lengo la uandikishaji wapiga kura CCM kutoa semina elekezi kwa viongozi wake wa serikali za mitaa

    Mambo mawili makubwa yamejitokeza hivi karibuni kwanza CCM imeshinda uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kishindo, pili Tume ya taifa ya uchaguzi imevuka lengo kwa kuandikisha wapiga kura wengi kuliko ilivyotarajiwa. Hii maana yake ni kuwa uchaguzi mkuu wa 2020 utakuwa na wapiga kura zaidi ya...
  3. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Wakifanya uhuni 2020 kama waliyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 mpatanishi atakuwa Katibu wa UN

    Kama Rais Magufuli na vyombo vyake vya polisi wanadhani watatufanyia uhuni kama walivyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019, mpatanishi atakua Katibu wa Umoja wa Mataifa. #DevelopmentIsWoman #MaendeleoNiMwanamke #NoHateNoFear
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya CCM yakutana Mwanza: Yampongeza Rais Magufuli, Walio hama vyama vya Upinzani waongeza Ruzuku ya chama hadi Bil 13

    Kamati kuu ya CCM imekutana jijini Mwanza na kuongozwa na Mwenyekiti wake Dr Magufuli. Kamati kuu imempongeza Rais Magufuli na serikali yake kwa ujenzi wa miradi mikubwa inayoendelea nchini. Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kwa sasa hakuna kikwazo chochote kinachoweza kupunguza kasi ya...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Israel kufanya uchaguzi mkuu kwa mara ya tatu

    Baada ya vyama vya siasa nchini Israel kushindwa kuunda serikali hadi muda wa mwisho kumalizika Jumatano, sasa bunge limejivunja na nchi hiyo inaingia katika uchaguzi wa tatu mkuu katika kipindi cha mwaka mmoja. Hatua hii inampa matumaini Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anayepambana kuokoa...
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Israel kufanya uchaguzi mpya Machi 2

    Uchaguzi wa Israel unatarajiwa kufanyika Machi 2 mwakani, ikiwa ni wa tatu katika kipindi cha mwaka mmoja. Muswada wa kulivunja bunge, ambao pia unatangaza tarehe ya uchaguzi, utapitisha sehemu nne za mwisho, saa chache baada ya wabunge kushindwa kuunda serikali ya muungano baada ya muda wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano. Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
  8. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Je, nasi tutafika walipo Uingereza kwa sasa? Jengo la kanisa kuwa ukumbi wa kampeni za uchaguzi!

    Hakuna ubishi kuwa Mr Nigel Farage anafanya kampeni ya uchaguzi mkuu ambao utafanyika kesho - 12/12/2019 ndani ya jengo la kanisa. Architecture ya jengo hilo ni ya kanisa. Wamefikia hapo baada ya wengi kuelimika na tech kupanda na demokrasia kukuwa. Je, nasi tutafika huko na haya makanisa...
  9. Emmanuel J. Buyamba

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI BAVICHA: John Pambalu aibuka kidedea Uenyekiti. Nusrat Shaaban Hanje ateuliwa kuwa Katibu Mkuu

    Baraza la vijana (Bavicha) la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) linaendelea na uchaguzi wake leo kwa ngazi ya kitaifa. Muda mfupi uliopita katika ukumbi wa Mlimani City limewapata viongozi wake wakuu ambapo Diwani wa Butimba jijini Mwanza, Bwana John Pambalu ameshinda Uenyekiti kwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wapiga kura milioni 30 wanategemewa kushiriki uchaguzi mkuu mwaka 2020

    Tume ya uchaguzi NEC imesema inategemea ongezeko la wanaojiandikisha kupiga kura kutoka milioni 23 wa mwaka 2015 hadi milioni 30 mwaka 2020. Msemaji wa NEC ameyasema hayo jijini Dodoma ambako zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura linaendelea. Source ITV habari. Maendeleo hayana vyama!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dar es Salaam yawasili Moshi ikiwa na abiria 294, ni utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM

    Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dsm imewasili mjini Moshi saa 5 asubuhi na kupokelewa na maelfu ya wakazi wa Moshi. Treni hiyo imewasili ikiwa na abiria 294 ambao wameipongeza serikali kwa kutekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM baada ya usafiri huo kusimama kwa takribani miaka 21. Pia abiria...
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Burundi: Ushuru wa uchaguzi wafungua njia ya dhulma zaidi

    Shirika la Human Rights Watch limesema katika ripoti yake iliyotolewa leo kuwa maafisa wa serikali na wanachama wa kundi la vijana linaloogopwa la chama tawala wanaitisha pesa kwa lazima za uchaguzi mkuu unaokuja Dhulma zinazohusiana na ushuru wa uchaguzi wa mwaka 2020 nchini Burundi...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Fahmi Dovutwa apinga kuvuliwa Uenyekiti UPDP, awataka Wanachama kujiandaa na Uchaguzi. Katibu asisitiza Dovutwa kuvuliwa Uenyekiti na Uanachama

    Siku chache baada ya kuvuliwa uwenyekiti wa chama cha UPDP, Fahmi Dovutwa ameibuka na kupinga uamuzi huo huku akiwataka wanachama wa chama hicho kujiandaa na uchaguzi. Hata hivyo,kauli hiyo imepingwa vibaya na Katibu Mkuu wa UPDP, Hamad Ibrahim aliyesema chama hicho kimemwandikia barua, Fahmi...
  14. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kuna dhana inajengwa kwamba viongozi wa Chama chetu hawataki kupigania uwepo wa Tume Huru

    Kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi. Kuna dhana inajengwa kwamba viongozi wa Chama chetu hawataki kupigania uwepo wa Tume Huru. Kwamba tumeridhika na viubunge na viudiwani tunavyopata every five years, etc. Kwamba ili tuweze kushinda na kuchukua dola lazima tuache kushiriki uchaguzi hadi hapo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Vigogo waangushwa uchaguzi CHADEMA

    WanaJF, Nchi iko katika heka heka kubwa kutokana na chama kikuu cha upinzani CHADEMA kuendelea kufanya uchaguzi wake katika ngazi ya Kanda. Kwa idadi kubwa Watanzania wanafuatilia kwa karibu sana uchaguzi huu pengine kuliko ule uchaguzi wa serikali za mitaa uluosusiwa na upinzani. Kwa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Msajili: Nafuatilia kwa karibu sana Uchaguzi wa Viongozi CHADEMA kuhakikisha haki inatendeka na Katiba kufuatwa

    Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote. Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Halmashauri Kuu Taifa ya Chama cha (UPDP) imemvua uenyekiti Fahmi Dovutwa kwa kufanya kosa la kukisemea chama hicho kinyume na Katiba

    Chama cha UPDP kimemvua madaraka Mwenyekiti wake mzee Dovutwa baada ya kuvunja katiba ya chama hicho. Dovutwa aliungana na Mbowe wa Chadema kujitoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa ilhali katiba ya UPDP haina kipengere kinachoruhusu chama chao kujitoa kwenye uchaguzi wowote. Dovutwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ndicho kitakachofanyika 2020 ikiwa ni mpango wa Rais Magufuli kubadili Katiba kuondoa ukomo wa Urais

    Vitimbi na vituko vikivyotokea katika uchaguzi wa serikali za mitaa, mpaka kupelekea CCM kudai kushinda kwa asilimia mia moja serikali za mitaa na 99.8 vijiji. Hizo ni njama zilizopangwa kuwahadaa Watanzania na ulimwengu wa kimataifa ionekane kuwa CCM na Rais Magufuli wanakubalika sana hivyo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Cecil Mwambe ashindwa vibaya uchaguzi Kanda ya Kusini

    Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mwenyekiti wa Kanda ya Kusini Chadema Cecil Mwambe ameshindwa kutetea nafasi yake baada ya kuangushwa vibaya na mpinzani wake Suleiman Mathew. Nafasi ya Makamu Mwenyekiti imekwenda kwa Salum Baruhan ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Lindi mjini kupitia CUF...
  20. technically

    JamiiForums Tanzania Mbowe asitumie ukubwa wa jina lake kushinda uchaguzi CHADEMA

    Wanachama wengi wa chadema wanamwangalia mbowe kwenye mazuri aliyofanya tu bila kuangalia sehemu alikoshindwa kama 1: Kushindwa kuchukua hatua kali za kichama kupinga kuzuiwa kwa mikutano na mahandamano ya vyama vya siasa. 2: Kutokuwa na ofisi za kujenga majengo mengi wanapanga nilitegemea...
Back
Top Bottom