Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Chadema Mh Mnyika yatikisa Kibamba, awaasa wanahabari kupigania Tume huru ya uchaguzi, Kabendera na Magoti watajwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,617
218,040
Hii hapa video unaweza kuitazama mwenyewe, lakini kwa wasio na bando, Mh Mnyika leo amefika kwa mara ya kwanza kwenye jimbo analoliwakilisha la Kibamba tangu kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu na kupokelewa kwa kishindo na wapiga kura wake ambapo wamempongeza kwa kuaminiwa na kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama.

Katika Hotuba yake fupi lakini iliyojaa madini matupu aliyoitoa mbele ya umati wa wananchi hao amesisitiza kila mmoja wakiwemo wanahabari kuongeza juhudi za kupigania kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi ili kupata viongozi watakaoondoa Ombwe la uongozi.

Kati ya vitu tulivyo vikosa cdm kwa miaka 5 ni katibu mwenye weledi kama mh Mnyika
Hii hapa video unaweza kuitazama mwenyewe ,lakini kwa wasio na bando , Mh Mnyika leo amefika kwa mara ya kwanza kwenye jimbo analoliwakilisha la Kibamba tangu kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu na kupokelewa kwa kishindo na wapiga kura wake ambapo wamempongeza kwa kuaminiwa na kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama .

Katika Hotuba yake fupi lakini iliyojaa madini matupu aliyoitoa mbele ya umati wa wananchi hao amesisitiza kila mmoja wakiwemo wana habari kuongeza juhudi za kupigania kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi ili kupata viongozi watakaoondoa Ombwe la uongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hapa video unaweza kuitazama mwenyewe, lakini kwa wasio na bando, Mh Mnyika leo amefika kwa mara ya kwanza kwenye jimbo analoliwakilisha la Kibamba tangu kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu na kupokelewa kwa kishindo na wapiga kura wake ambapo wamempongeza kwa kuaminiwa na kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama.

Katika Hotuba yake fupi lakini iliyojaa madini matupu aliyoitoa mbele ya umati wa wananchi hao amesisitiza kila mmoja wakiwemo wanahabari kuongeza juhudi za kupigania kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi ili kupata viongozi watakaoondoa Ombwe la uongozi.

View attachment 1320971
Anaaga kabisa na ubunge!
 
Back
Top Bottom