uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hii ndiyo fursa pekee kwa wapinzani kuidai Tume mpya ya uchaguzi iliyo huru hadi ipatikane

    Wakati dunia nzima ikishuhudia uhuni wa hali ya juu, unaofanywa na serikali ya CCM katika kuekekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 24 mwezi huu, vyama vya upinzani nchini, wananchi walio wengi pamoja na viongozi wa dini, wameendelea kutoa mwito kwa Serikali...
  2. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuchaguliwa Desemba 18 mwaka 2019, fomu zaanza kuchukuliwa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambacho ndicho chama kikuu cha upinzani hapa nchini na mabingwa wa demokrasia kwa kuiiishi, leo kupitia Karibu Mkuu Vincent Mashinji, kimetangaza rasmi kufungua mchakato wa kupata wagombea watakaochuana kwa nafasi mbalimbali za uongozi wa chama hicho...
  3. barafu

    JamiiForums Tanzania Askofu Nyaisonga avishangaa Vyama vya Upinzani kususia uchaguzi. Ahimiza waumini kujitokeza kupiga kura na kuchagua viongozi

    Nimesikiliza mahubiri ya Askofu Mkuu na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tz,Mhashamu Askofu Nyaisonga, ameelekeza lawama zake katika vyama vya upinzani,akijenga hoja kuwa havikutumia busara na elimu katika kufikiri na kujitoa katika uchaguzi. Amehimiza kuwa kujitoa sio suluhu,wanapaswa kukaa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa vyama vya upinzani wako mubashara Channel ten wanazungumzia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani wako mubashara katika kipindi cha Baragumu studio za channel ten wakizungumzia ushiriki wao katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Viongozi hao nguli wa kisiasa nchini wanamwaga cheche zao muda huu. Karibu!
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Serikali za mitaa CCM, nchi yatikisika, watu wakanyagana

    Mwenye macho haambiwi tazama
  6. Ulimbo

    JamiiForums Tanzania Vyama 7 vilivyojitoa uchaguzi wa mitaa vyatoa tamko la pamoja

    Nimesikia viongozi wa vyama vya upinzani wakiwaambia watu watege masikio ili wasikie maamuzi yatakayotolewa na viongozi wao kuhusu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwani serikali ya CCM wamekuwa wakijiamulia kufanya wanayotaka. Sasa hapa si ajabu ukasikia viongozi hao wamekamatwa kwa...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iagize waliopita mgambo waanze mazoezi nchi nzima ili wawe tayari kuwapiga watanzania watakaoharibu uchaguzi serikali za mitaa

    Nashauri kwamba watu wote waliopita mgambo nchi nzima wawekwe tayari na siku mbili kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa, wafanye mazoezi makali kabisa mitaani kama ishara ya onyo kwa watanzania wanaojiandaa kuvuruga amani. Serikali iinunue makontena ya rungu mpya na kuwagawia watu hawa
  8. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Serikali imetangaza kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uko palepale licha ya malalamiko mengi kutaka usifanyike

    Waziri Mkuu akoleza uchaguzi serikali za mitaa Mwananchi, Ijumaa, November 15 2019, Dodoma. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa Hakuna kulala uchaguzi wa serikali za mitaa uko palepape. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kauli ya Waziri Mkuu wa Tanzania...
  9. Ulimbo

    JamiiForums Tanzania Walijitoa uchaguzi wa serikali za mitaa Kuishtakiwa?

    Tangia mwanzoni kulikuwepo na sintofahamu kwa wagombea wa upinzani kutotendewa haki. Jambo hili lilijitokeza pia kwenye kura za maoni ndani ya ccm ambapo uongozi wa juu ulimweka mtu waliomtaka na si yule aliyependekezwa na wananchi/wapiga kura wake. Kitendo hicho kilifanya zoezi la...
  10. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kenya wamfagilia Magufuli

    WABUNGE wa Kenya wamemfagilia Rais John Magufuli, kutokana na kusimamia vizuri mapato na matumizi na ujenzi wa miradi, ambayo thamani ya fedha inaonekana katika utekelezaji wake nchini. Wakizungumza katika ziara nchini ya kujifunza namna Mfuko wa Jimbo unavyofanya kazi na kutembelea miradi...
  11. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2019 :Watendaji Wa Kata Wapokea Maagizo Toka Juu, Hakuna kupokea Barua Za Kujitoa Za Wagombea Wa Upinzani.

    Taarifa zinasema kuwa watendaji wa kata kote nchini wameendelea kupokea maagizo toka juu, kwamba wasipokea barua za kujitoa wapinzani wote kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Huo ni mwendelezo wa hujuma kwa uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika November mwaka huu. Wapinzani wapata...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Siasa ya kujitoa: Hata CCM ilitakiwa kujitangaza kuwa imejitoa kwenye uchaguzi

    Jamii yoyote huongoza Kwa misingi ya Sheria na Sheria ya uchaguzi inasema Chama KAZI yake ni kuteuwa wagombea pekeyake . Vyama vyote vimefanya hivyo ni muda wa CCM kutangaza kujitoa ili WAIACHIE mifumo ifanye KAZI yake... KAZI kwako Polepole
  13. MEXICANA

    JamiiForums Tanzania Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi kutokulipwa posho yao, (is it a reverse reaction?)

    Nawasalimu kupitia ,Newton's third law of motion which states that, "To every action there is an equal action but opposite in direction" Kuna taarifa zimeanza kuvuma kuwa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi hawatapata chochote maana kazi waliyokuwa wametumwa kuifanya imefikia tamati,yaani the game...
  14. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wamekimbia aibu ya kushindwa uchaguzi s/mtaa

    Hapa ndio naonaga vyama vya upinzani ni vyakupigia dili tu. Sasa kuna sababu gani ya kukimbia uchaguzi ambayo utamweleza mgombea wa chama chako akakuelewa l baada ya kuwekeza kwa muda miaka yote hiyo. Jamani viongozi wa vyama vya upinzani ebu weken huruma mbele kwanza wafikilieni na hawa wa...
  15. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Wapinzani Chukueni Tahadhari, Njama Walizopanga CCM Kuelekea Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa 2019

    Chama cha mapinduzi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwezi huu, kimepanga yafuatayo baada ya mipango ya awali kufeli, mipango iliyohusisha maelekezo kwa Watendaji wa kata, makatibu tawala wa wilaya, maafisa usalama wa taifa wa wilaya na waziri waziri mwenye dhamana wa Tamisemi. Sina haja...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Katibu Mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Hai alalamikia uamuzi wa Halmashauri Kuu kujitoa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    KATIBU mwenezi wa chama cha demokrasia na maendeleo, ndugu humphrey Munisi akihojiwa na waandishi wa habari ametoa malalamiko yake ya kutoridhishwa na uamuzi uliofanya na halmashauri kuu ya chama, kujitoa na kuelekeza wagombea wote kujitoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa. Amedai kuwa...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Rais umefanya yote haya, kwanini unaogopa uchaguzi?

    Unajenga Reli ya Kisasa/SGR Unajenga Flyovers/Ubungo Unanunua ndege kibao Unajenga Barabara Njia 8 Unatoa Elimu bure Unajenga Hostel UDSM Unajenga Daraja Baharini! Unajenga Ukuta Mererani Unasema umefuta UFISADI Unasema CHADEMA imekufa! Unazuia Mikutano ya Hadhara 4 Years Unasema Unapendwa na...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania NLD nayo yajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Chama cha upinzani cha NLD nchini Tanzania kimetangaza kutoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa nchini humo utakaofanyika Novemba 24, 2019. NLD inaungana na vyama vingine sita kususia uchaguzi huo. Vyama hivyo ni; Chadema, ACT- Wazalendo, UPDP, CUF, Chaumma pamoja na NCCR-Mageuzi. Taarifa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Polepole amshukia Hashim Rungwe Sipunda kama mwewe, ashangaa wamejitoa wapi wakati hawakuwemo kwenye uchaguzi

    Mwenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole amesema anamshangaa sana mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda kwa kudai chama chake kimejitoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Polepole amesema CHAUMMA hakikuwepo kwenye uchaguzi kwa sababu hakuna mwanachama hata mmoja wa chama hicho...
  20. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Wasanii jitambueni msitumike kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 24

    Wasalaam, Nimesikia tangazo kutoka radioni linalomuhusu msanii wa bongo fleva Joe Makini Mwamba wa Kaskazini akihamasisha wananchi kupigia kura CCM Nov 24 kabla hata kampeni hazijaanza nikajiuliza amepewa shilingi ngapi na itamsaidie nini? Katika uchaguzi huu ambao mshindi ameshajulikana watu...
Back
Top Bottom