Kwa sasa hakuna Mpinzani wa kuipigania Tume Huru ya Uchaguzi waliopo wanategemea huruma ya CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,505
141,226
Kiukweli kwa hawa wapinzani tulionao Tume Huru ya Uchaguzi itaendelea kuwa ndoto hadi pale CCM itakapotupa JK mwingine wa kuanzisha mchakato wa kutengeneza Katiba mpya.

Hakuna namna vyama vya upinzani vitaweza kushinda uchaguzi bila kuwa na Tume huru.

Sidhani kama CCM bado ina huruma au bado inaogopa Wafadhili kwani nijuavyo ni kwamba kwa sasa taifa letu linajitegemea.

Kwa NEC hii sitashangaa kuona Wapinzani wakikosa mbunge na diwani hata mmoja katika uchaguzi mkuu wa mwezi Octoba.

Na hapa asitafutwe mchawi bali wachawini wapinzani wenyewe.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kupigania tume huru unamaana gani?Washike silaha za jadi watangaze vita?Kwa njia ya kidemokrasia,tume huru kupatikana chini ya utawala huu ni ndoto za mchana!
Kuna tofauti kati ya KuIpigania na kupigania bwashee!
 
Kiukweli kwa hawa wapinzani tulionao Tume Huru ya Uchaguzi itaendelea kuwa ndoto hadi pale CCM itakapotupa JK mwingine wa kuanzisha mchakato wa kutengeneza Katiba mpya.

Hakuna namna vyama vya upinzani vitaweza kushinda uchaguzi bila kuwa na Tume huru.

Sidhani kama CCM bado ina huruma au bado inaogopa Wafadhili kwani nijuavyo ni kwamba kwa sasa taifa letu linajitegemea.

Kwa NEC hii sitashangaa kuona wapinzani wakikosa mbunge na diwani hata mmoja katika uchaguzi mkuu wa mwezi Octoba.
Na hapa asitafutwe mchawi bali wachawini wapinzani wenyewe.

Maendeleo hayana vyama!
Mie nauliza tu,tume huru ya uchaguzi ni kwa faida ya nani na why ipiganiwe kwanza?
 
Endelea kukariri bwashee!
Nakuelewa sana,kwamba watanzania wengi including watawala either kwa kupata elimu mbovu au umasikini wa mali na akili au njaa au ujinga tunaamini tume huru ya uchaguzi ni kwa ajiri ya chadema na wapinzani wengine, wachache sana ndo wanaweza kujua kuwa tume huru ya uchaguzi ni kwa faida yao na nchi yao
 
Kiongozi wewe kwa ufupi hujielewi

Tunapoongelea Tume huru, Tunaongelea maisha ya watoto na wajukuu zetu baadae

Tunaongelea siku ukiwa haupo hapa duniani ungependa watoto wako waishi vipi kisiasa na kiuchumi

Hili la Tume huru ni la kila mtu,

Kiukweli kwa hawa wapinzani tulionao Tume Huru ya Uchaguzi itaendelea kuwa ndoto hadi pale CCM itakapotupa JK mwingine wa kuanzisha mchakato wa kutengeneza Katiba mpya.

Hakuna namna vyama vya upinzani vitaweza kushinda uchaguzi bila kuwa na Tume huru.

Sidhani kama CCM bado ina huruma au bado inaogopa Wafadhili kwani nijuavyo ni kwamba kwa sasa taifa letu linajitegemea.

Kwa NEC hii sitashangaa kuona Wapinzani wakikosa mbunge na diwani hata mmoja katika uchaguzi mkuu wa mwezi Octoba.

Na hapa asitafutwe mchawi bali wachawini wapinzani wenyewe.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kiukweli kwa hawa wapinzani tulionao Tume Huru ya Uchaguzi itaendelea kuwa ndoto hadi pale CCM itakapotupa JK mwingine wa kuanzisha mchakato wa kutengeneza Katiba mpya.

Hakuna namna vyama vya upinzani vitaweza kushinda uchaguzi bila kuwa na Tume huru.

Sidhani kama CCM bado ina huruma au bado inaogopa Wafadhili kwani nijuavyo ni kwamba kwa sasa taifa letu linajitegemea.

Kwa NEC hii sitashangaa kuona Wapinzani wakikosa mbunge na diwani hata mmoja katika uchaguzi mkuu wa mwezi Octoba.

Na hapa asitafutwe mchawi bali wachawini wapinzani wenyewe.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa akili yako unazani tume huru ni ya Wapinzani!! Nikitegemea useme Tume huru ni ya watanzania wote na tuipiganie
 
Kwani hiyo tume ni kwa ajili ya wapinzania au kwa ajili ya watanzania? Kwanini tuwaachie viongozi wa upinzani peke yao?
 
Kiukweli kwa hawa wapinzani tulionao Tume Huru ya Uchaguzi itaendelea kuwa ndoto hadi pale CCM itakapotupa JK mwingine wa kuanzisha mchakato wa kutengeneza Katiba mpya.

Hakuna namna vyama vya upinzani vitaweza kushinda uchaguzi bila kuwa na Tume huru.

Sidhani kama CCM bado ina huruma au bado inaogopa Wafadhili kwani nijuavyo ni kwamba kwa sasa taifa letu linajitegemea.

Kwa NEC hii sitashangaa kuona Wapinzani wakikosa mbunge na diwani hata mmoja katika uchaguzi mkuu wa mwezi Octoba.

Na hapa asitafutwe mchawi bali wachawini wapinzani wenyewe.

Maendeleo hayana vyama!
Watapata Wabunge na Madiwani hapa JF huko mitaani hawapo tena! Ulifikiri Mbowe alipokimbilia Mwanza kwenda kujisalimisha alikuwa anamaanisha kwamba Saccos iko ICU mkuu!
 
Back
Top Bottom