Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.
Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.
Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.
Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
Unajinadi kutetea haki, kusema kweli, CCM mpya na mapambio mengi tu kutoka kwenye kinywa chako na kwako kwa ujumla! Nimekusikiliza sana!
Leo mbona ume -mute kama vile nothing is going on on your side, as if all is clean!
Kweli unafiki, uzandiki and all sorts of filth ndio mwendo wa maisha ya...
Serikali imewataka watu ambao hawaridhiki na mwenendo wa shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, bado wanayo fursa ya kufungua kesi kwenye Mahakama za Afrika Mashariki au kushtaki katika Bunge la Afrika Mashariki.
Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Damas Ndumbaro leo...
Najiuliza, je ni mpango maridhawa wa baadhi ya wanao muogopa? Maana majina yaliyokuwa yanahusishwa na kumrithi JPM ni huyu bwana. Mh Majaliwa na Mh Lukuuvi hawa wajanja wawili kukiwa na jambo la kuboronga sana huwa wanakaa kimya si kwa bahati mbaya wanacheza bila kuharibu taswira yao kwa...
Ibara ya 74 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 inatamka kwamba,
“Kutakuwa na Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano ambayo itakuwa na wajumbe wafuatao watakaoteuliwa na Rais:
(a) Jaji wa Mahakama Kuu au Jaji wa Mahakama ya Rufani, ambaye atakuwa mwenyekiti;
(b)...
Hayo yamebainishwa leo na Mh Fahmi Dovutwa alipokuwa anaongea na waandishi wa habari , ambapo amewaagiza wagombea wote wa chama hicho nchi nzima kutoshiriki uchafu huo
MSIMAMO WA ACT-WAZALENDO;
“HAKUNA TUME HURU, HAKUNA UCHAGUZI UTAKAOKUBALIKA NCHINI” WAZIRI SELEMANI JAFO AWAJIBIKE KWA KUHARIBU UCHAGUZI.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Imetolewa leo Tarehe 11/11/2019
1. Mchakato wote wa Uchaguzi uanze upya: Lazima yote yaliyofanyika chini ya utaratibu wa...
Diwani wa Kata ya Gwarama wilayani Kakonko na MwanaJF Ndugu Elia F Michael aliyekuwa mgombea wa ubunge kwenye uchaguzi mdogo mwaka 2018 jimbo la Buyungu ameamua kuachana na Chadema na kujiunga na CCM.
Pia soma...
Waziri wa Tamisemi, Seleman Jafo amesema hakuna atakayejitoa uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wote waliochukua fomu na kurejesha watashiriki uchaguzi huo kasoro wenye makosa ya uraia, kutojiandikisha katika mtaa husika, kujiandikisha mara mbili, kutodhaminiwa na chama chake #MwananchiUpdates...
November 10, 2019
La Paz, Bolivia
Jeshi lamlazimisha Rais kujiuzulu Bolivia
Rais wa Bolivia Mhe. camarade Evo Morales ameachia ngazi bila kutegemea leo jumapili na kutangaza kujiuzulu kufuatia mbinyo wa kisiasa baada ya kudai kuwa ameshinda uchaguzi kwa kipindi cha nne, uchaguzi na matokeo yake...
watanzania ni wagumu kupambanunuwa mambo kwelikweli. Nimekuwa nikisikia watanzania wengi wakiwemo wanasiasa wakilaumu wasimamizi wa uchaguzi kwa kuharibu uchaguzi.
Na wengine wakitaka raisi Magufuli atowe tamko la kukemea uchafuzi huo na kuchukuwa hatua dhidi ya walio husika na uhalibifu wa...
Baada ya CCM na Serikali yake kusalimu amri. Kilichobaki kwa upinzani sasa hivi ni kutoshiriki uchaguzi wa aina yoyote ile mpaka Serikali ikubali mchakato wa kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Kama Wapinzani sio wasaliti wa watanzania mtayazingatia haya.
Nikimnukuu kada wa CCM na Gwiji wa siku nyingi humu JamiiForums, Pascal Mayalla...
"We have nothing to loose rais Magufuli akiruhusu demokrasia ikashamiri, akatoa haki sawa kwa vyama vyote kufanya siasa ikiwemo kuondoa zuio la mikutano ya siasa, bado rais Magufuli anaweza kuyaleta maendeleo...
Bila ya CCM kukubali kukaa nanyi mezani na kukubaliana kuunda taratibu mpya na namna bora ya kuendesha uchaguzi, wapinzani kamwe msikubali kurejea kwenye uchaguzi.
Mkisha kaa mezani tarehe mpya ya uchaguzi itangazwe ili kutoa muda wa kutosha kwa vyama vya upinzani kurejesha kuweka mipango sawa...
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
ccm
chadema
haki
jafo
katiba
katiba ya tanzania
matokeo
mawazo
miti
nyumba
serikali
serikali za mitaa
sheria
tamisemi
tanzania
uchaguzi
upinzani
vyama
wote
Hizi tetesi juu ya vyama/chama cha siasa kitakachojiondoa Kwenye uchaguzi automatically kitakuwa kimejifuta moja Kwa moja kuwa chama halali cha siasa.
Baadhi ya wapambe ambao wanajifanya wanaijuwa Sana Sheria wamepekeka proposal Kwa jiwe huku wakimpa na vifungu vya kuongezea(Sheria ya...
Chama cha NCCR-Mageuzi kimetangaza kujitoa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24. Msimamo huo umetolewa leo na Mwenyekiti James Mbatia jijini Dodoma.
====
Chama cha NCCR-Mageuzi kimetangaza kujitoa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24...
Leo ni jumapili, akili inapata muda mzuri wa kutulia na kuwaza mambo mengi. Hivi ikitokea kwa mgongano huu uliotokea wa serikali za mitaa na serikali ikaona kuna haja ya kuzungumza na vyama vya siasa vyote na kwenye mazungumzo hayo Serikali na vyama vya upinzani wakaondoa tofauti zao na kuamua...
Halo JF siasa.
Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya...
MATOKEO YA RUFAA ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTOLEWA NOVEMBA 10.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI SELEMANI JAFO akizungumza Jijini Dodoma amesema katika zoezi la kuchukua fomu kuna makosa mbalimbali yalifanyika katika kujaza fomu nyingi ikiwa ni pamoja na kaukosea majina ya eneo...
Huu uchaguzi mdogo umefungua mengi na wale ambao wanafanya mikakati ya Chama au strategist wa CCM wamekosea sana. Wamecheza karata kwa kuonyesha kadi zao na kwa msingi huu wapinzani siku zijazo chache watatangaza kutokushiriki uchaguzi wa 2020 mpaka kuundwe tume huru ya uchaguzi. Wale ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.