uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wilfred Lwakatare arejea CUF baada ya kufutwa uanachama CHADEMA. Kutumika kuiangamiza CHADEMA

    Shamrashamra zimeshaanza hapa Manzese tawi la Kosovo. Inasemekana Mh Lwakatare yuko maeneo ya Kibaha kwa sasa. Watu wako kwenye ari kubwa sana. === CUF yaeleza itakavyomtumia Lwakatare kuiangamiza Chadema CHAMA cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania kimesema...
  2. JamiiForums Tanzania Msimamo wangu: Sitapiga kura Uchaguzi Mkuu

    Huu ndio msimamo wangu. Sababu ipo wazi kabisa, sioni namna hata dalili kipande kwamba uchaguzi mkuu utakuwa huru na haki.Kama unaiona nionyeshe. Kibaya zaidi serikali ya awamu ya tano imejipambanua kwa vitendo kutokufuata misingi ya kidemokrasia na hata sheria iliyojiwekea. Mnataka wafanye...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania LISSU: Muda ukifika nitaomba ridhaa kupeperusha bendera ya CHADEMA.

  4. JamiiForums Tanzania Wajuzi wa sheria, je kwa hukumu hii Mh. Zitto ataweza kugombea nafasi yoyote ya katika Uchaguzi Mkuu?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Je, uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu, ndugu Zitto sheria za uchaguzi zinamruhusu kugombea nafasi yoyote, mfano nafasi ya ubunge nk?
  5. JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2020 tujikumbushe mambo yalivyokuwa mwaka 1995 kwenye Uchaguzi Mkuu

    Kumbe JK alishinda kura za maoni ikabidi zipigwe tena👇👇👇👇
  6. JamiiForums Tanzania Tutawapata akina Musa au akina Joshua kwenye Uchaguzi Mkuu 2020; Rais sina shaka ila kwa Wabunge

    Tumebakiza muda mfupi sana bunge kuvunjwa na kwenda kwenye ungwe nyingine ya hiena hiena. Wengi tunajua Musa aliwavuja Israel bahari ya Shamu, na baadae Joshua akawavusha mto Jordan ili kuingia nchi ya ahadi. Sina shaka na ushindi wa Rais; ila kwa wabunge ambao baadhi yao ndiyo wanakuja kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mnyika: Rasmu ya uchaguzi iliyotolewa na vyama kulazimishwa kusaini haifai

    Akiongea na CHADEMA TV katibu mkuu wa chadema amekosoa vikali rasmu mpya ya uchaguzi iliyotolea kwa kuwa na mapungufu mengi ambayo hutakiwi kuyahoji bali tulitakiwa kusaini tu, na usiposaini hatutaruhusiwa kushiriki uchaguzi mkuu msikilize
  8. JamiiForums Tanzania Hongera Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa kuistukia Tume ya Uchaguzi (NEC)

    Leo hii NEC iliandaa kikao maalum na wawakilishi wa vyama vyote vya siasa ili kujadili na kupokea baadhi ya marekebisho ya sheria mbali mbali. Ktk kutekeleza hayo NEC walikwisha andaa documents tayari kwa kila mwakilishi wa chama azisome na kuzisaini hapo hapo. Mnyika akastukia mchezo wao kwani...
  9. JamiiForums Tanzania ‘Fair comments’ kuhusu CCM, Vyama mbadala na Uchaguzi wa Oktoba

    Kwenye siasa za Tanzania, kuna watu wanafanya wanachofanya kwa kuwa tu wanalipwa, kuna wengine kwa sababu ya ushabiki tu, wengine changamoto ya uelewa wa mambo, na wachache kwa sababu wanaelewa wanachokifanya na wanajua umuhimu wake kwao wenyewe, jamii na hatima ya Tanzania. Kwa bahati mbaya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnyika: Uchaguzi 2020 mawakala kutopewa fomu za matokeo

    Mnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo. Maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa...
  11. JamiiForums Tanzania Uchakachuaji wa uchaguzi unavyopikwa

    VITAMBULISHO ZAN ID PEMBA. Wajumbe wa Kamati Kuu na Umma wa Wazanzibar: Ni vyema mtambue hali mbaya mno inayoendelea kisiwani Pemba kuhusu UPATIKANAJI WA ZAN ID. Kuna baadhi ya watendaji waliopewa kazi hiyo, kwa Uzalendo wao na baada ya kuona wamelazimishwa kufanya yatakayowaingiza katika...
  12. JamiiForums Tanzania Burundi: Tume ya Uchaguzi yamtangaza Evariste Ndayishimiye kama mshindi wa urais

    Tume ya uchaguzi nchini Burundi imemtangaza mgombea wa chama tawala Evariste Ndayishimiye kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika juma lililopita. Jenerali mstaafu ameshinda kwa 68.72% ya kura zilizopigwa, wakati Agathon Rwasa, kutoka chama kikuu cha upinzani akipata 24.19% ,matokeo...
  13. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo msifanye makosa Uchaguzi 2020

    Wanabodi Kwanza nimshukuru Mungu kwa kumaliza mfungo ilihali nina afya njema na furaha tele kuliko kawaida.Kweli naamini hadithi ya Mtume Muhammad (S.A.W) "Funga ni Afya". Pia Eid Mubarak kwa Waislamu Wenzangu na Pia ambao sio Waislamu tuzide kudumisha upendo na ushirikiano kwani sisi si...
  14. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Unaweza usiaminiI CHADEMA kusumbua sana uchaguzi mkuu 2020 kuibuka kidedea

    Pamoja kuwa chama kikuu cha upanzani kiko katika hari mbaya sana kwa sasa ni kama mtu anapumulia mashine ya ugonjwa wa Korona katika chumba cha wagonjwa mauti uti lakini kinahistoria za ajabu kuibuka kidedea au kukimbiza dakika za majerui. Chadema kimepita katika misukosuko mikubwa huko nyuma na...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanataaluma Bi. Mwanahamisi Singano kuongoza Timu ya Ilani ya Uchaguzi ya ACT Wazalendo 2020

    Ndugu Wananchi ‪Katika kuhakikisha kuwa Chama chetu cha ACT Wazalendo kinakuwa na Ilani ya Uchaguzi yenye majawabu ya changamoto za nchi yetu, nimeunda timu yenye wanachama wa ACT Wazalendo na Wataalamu (Professionals) ili kuchambua maoni ya Wananchi yaliyokusanywa nchi nzima wakati wa...
  16. JamiiForums Tanzania Tunakumbushia na kufuatilia: Je, kuna mikakati gani ya uundwaji wa Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya Oktoba 2020?

    Watanzania wenzangu hili swali si kwa ajili ya wanasiasa au wanaharakati pekee - ni swali linalopaswa kuelekezwa kwetu sote Watanzania tunaotamani demokrasia, haki na utawala bora virejee na kutamalaki katika jamii yetu. Tusitegemee hata siku moja eti walio madarakani watakubali kirahisi uwepo...
  17. K

    JamiiForums Tanzania CCM wanaogopa Tume huru ya uchaguzi ya ukweli

    Tunakusudia tume huru ya ukweli iliyoridhiwa na wadau wote was uchaguzi vikiwemo vyama vya siasa. Hatukusudii hii ya Sasa ambayo mwenyekiti wa CCM ndio huwachagua mwenyekiti wa NEC na mkurugenzi wake. Hatukusudii tume huru hii ya Sasa ambapo serikali ya CCM inakataa rulling ya mahakama ya...
  18. JamiiForums Tanzania Wapinzani mtuchambulie uongo wote kabla ya uchaguzi

    GTs, Kuelekea 2020 sisi wapiga kura wa taifa huru la Tanzania tunawahimiza wapinzani mjitokeze mmoja baada ya mwingine mtuombe msamaha mambo yote mliyowahi kutudanganya. Moja ya vitu mlivyowahi kusema: 1. JK ni dhaifu? 2. Wizi wa 1.5 trioni? 3. Hela za Uswiss? 4.
  19. JamiiForums Tanzania Uchaguzi ulishaisha, kilichobakibaki ni kukamilisha ratiba tu

    Sioni wapi kitu cha kubadilisha ushindi wa CCM Sioni kipi cha kufanya CHADEMA kushinda zaidi ya viti vitano vya ubunge ukiacha labda Prof Jay kule Mikumi. Sijaona mtu wa kumtingisha JPM(Mungu Amweke Salama-M.A.S) Sijaona mtu wa kumtingisha Mama Tanzania kule Vunjo-Mhe Mrema keshaning'ata sikio...
  20. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnajipanga vipi kuzikabili hujuma kama za uchaguzi wa Serikali za mitaa, maana ndiyo nguzo ya CCM uchaguzi wa Oktoba

    Unaona wimbi kubwa la wana Chadema njaa kukimbia kwenda CCM. Si kwamba wanaipenda CCM, la hasha. Wanasoma trend kuwa wabunge wote walionunuliwa wame-retain nafasi zao bungeni. Na wanajua kuwa hata uchaguzi wa October mbinu hiyo itatumiwa na serikali/CCM kupora ushindi wa Chadema. Au mbinu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…