uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi imepita vizuri sana! Manyanyaso kwa wafanyakazi yataongezeka zaidi baada ya Uchaguzi!

    Hapo zamani na pengine hata sasa jamii nyingi za Kiafrika watoto walikuwa wakizuiwa kula nyama ya ubongo - wanaopaswa kula ni watu wazima tu - yaani katika familia ni baba tu. Kwa kweli mpaka sasa naona ndivyo ilivyo sehemu nyingi - uhakika kabisa baadhi ya wazee kijijini kwangu Idukilo baada ya...
  2. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Asante DED kutufumbua macho: Alichofanya DED wa Ubungo Beatrice Rest Dominic ndicho kitakachofanyika wakati wa uchaguzi Mkuu

    Ni kwamba kutakuwa na barua zinazodaiwa za chadema zinazoonyesha uteuzi wa wagombea, na wagombea halisi kukataliwa kuchukua fomu. Mfano: Chadema inampitisha John Mnyika kugombea kibamba, anaenda kwa DED kuchukua fomu, anaambiwa kuna mwanachama alikuja na barua ya uteuzi ya chama anaitwa Asha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tukutane kwenye uchaguzi au tuongeze muda viongozi waliopo

    Makatibu Tawala wapya walioteuliwa ni kama ifuatavyo; 1.Arusha - Richard Kwitega 2.Geita - Selestine Muhochi Gesimba 3.Kagera - Armatus C. Msole 4.Kilimanjaro - Eng. Aisha Amour 5.Pwani - Zuberi Mhina Samataba 6.Shinyanga - Albert Gabriel Msovela...
  4. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametangaza Ongezeko la Wagonjwa Wapya wa Corona Nchini 196. Tanzania Bara Wagonjwa 174 na Zanzibar 22. Amesema kuwa visa vya maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Tanzania vimeongezeka na kufikia 480. Vifo vingine 6 vya wagonjwa COVID-19 vimeongezeka na kufanya...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Burundi: Kampeni za uchaguzi zaanza rasmi nchini

    Kampeni za uchaguzi wa urais utakaofanyika Mei 20 zimeanza leo, Aprili 28 nchini Burundi. Mgombea urais kupitia chama tawala CNND-FDD, Evariste Ndayishimiyena na Agathon Rwasa wa chama cha upinzani, CNL wamezindua kampeni zao Mkuu wa Tume ya Uchaguzi (CEN), Pierre Claver Kazihise, amewaonya...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Waraka namba moja wa NCCR-Mageuzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020. NCCR Mpya inakuja!

    Wakuu, Huu ni Waraka namba moja wa chama. Bado ntaweka hapa namba mbili. Na nitakuwa na-update kila kinachojiri. Sisi tunahukumiwa kwa lipi? - Ndugu James Mbatia “Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu” Methali hii inajidhihirisha, kumezuka shutuma kubwa dhidi yetu ya kile wanachokiita...
  7. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania GE2020 TLS kuvamiwa na AG: Uchaguzi wa Rais wao wazua sintofahamu

    Katika hali isiyo ya kawaida , tangu mwaka 1928 TLS ilipoanzishwa, by the ikiitwa Tanganyika na mpaka leo inaitwa Tanganyika Law Society[huwezi kuita Tanzania law society kwakuwa kuna Zanzibar Law Socity] walikuwa na chaguzi za marais na ilikuwa ni kubembelezwa kuongoza chama. Mwaka 2012 CCM...
  8. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tokea Tanzania ianzishe mfumo wa vyama vingi, uchaguzi wa mwaka huu utakuwa rahisi kwa CCM na itashinda kwa 100% ngazi ya urais

    Ukilinganisha na uchaguzi wa kwanza nchi yetu ikiwa inafuata mfumo wa vyama vingi mwaka 1995 chama cha upinzani kikubwa wakati huo kilileta upinzani na hata CCM iliogopa maana Nccr mageuzi ilikuwa almanusra wachukue nchi. Ukaja uchaguzi wa mwaka 2000 CCM walijipanga kivingine hivyo walishinda...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mimi Ni Mtanzania ila Trump akishindwa uchaguzi wa November, nitafurahi na kushangilia kuliko hata Wamarekani wenyewe

    Kwa kweli Huyu Trump tokea aingie madarakani amekuwa tishio kwenye mradi unafadhiliwa na Marekani katika Taasisi ninayofanyia kazi kwa Sasa, na Mara kadhaa ametishia kusitisha mradi huo ingawa tumekuwa tukiponea chupuchupu Tena kwa kudra za Mwenyezi Mungu. Mimi Ni miongoni mwa watu...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi Upinzani utakavyoongezeka nguvu katika Uchaguzi ujao

    Mimi ni MCCM damu damu - na hata Idukilo wananijua. Tena wananijua sana - kuanzia wafanyakazi na hata wasio wafanyakazi. Nimejulikana sana kutokana kufanya biashara ya mazao na kukopesha watu wenye shida mbalimbali kwa riba nafuu. Kadri siku zinavyoenda naona dalili hata mimi mwenyewe naweza...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Korea Kusini: Chama tawala chashinda uchaguzi tena

    Tume ya uchaguzi ya Korea Kusini imetangaza kuwa chama Rais Moon Jae, Democratic Party kimepata viti 180 kati ya viti 300 kwenye bunge, upinzani, United Future Party wamepata viti 103 Huu umekuwa ni ushindi wa 66.2% zaidi ya chaguzi zote za bunge tangu mwaka 1992. Miezi kadhaa iliyopita Rais...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Mbatia ni silaha ya mwisho ya CCM katika Uchaguzi wa Oktoba 2020

    Uliwahi kujiuliza ni kwanini kila anaehama chama pinzani kwa sasa hivi anajiunga na NCCR- Mageuzi? Hiyo sio bahati mbaya bali ni mbinu mathubuti ya CCM kununua viongozi wa upinzani na na kuwasukumia NCCR- Mageuzi (upinzani). Malengo makuu ya mbinu hizi ni: Kuhakikisha NCCR- Mageuzi haiungani...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kufanya uchaguzi wa Rais katika kipindi hiki cha COVID 19

    Dunia nzima inapita katika kipindi kigumu sana kisiasa, kiuchumi na kijamii. Shughuli zote za kijamii, kiuchumi na kisiasa zinafanyika kwa ugumu sana. Tumeshuhudia shule zikifungwa, ndege haziingii wala kutoka, utalii ukisimama mabisa, biashara zikidorola, hofu ya ugonjwa na matumaini ya maisha...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Corona isififishe juhudi za kudai Tume huru ya uchaguzi

    Kichwa cha habari chahusika . Natambua juhudi zote za kila mmoja ikiwa ni pamoja na serikali na Taasisi mbalimbali , zinazofanyika kwenye kuzuia na kupunguza na bila shaka kuondoa kabisa ugonjwa wa hatari wa virusi vya COVID - 19 , naunga mkono juhudi hizo kwa vitendo baada ya mimi pia kugawa...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo asisitiza NEC kusimamia uchaguzi huru, wa haki na wenye ukweli

    Moshi/Mwanza. Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limeisihi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kusimamia mchakato mzima wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kwa uaminifu, uhuru na haki. Kanisa hilo limesema haki na kweli ikitamalaki katika taasisi au taifa lolote, umoja...
  16. chamilo nicolous

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi CWT: Wakuu wa Shule na Ma-MEK hawafai

    -Wengi wao ni vibaraka wa Wakurugenzi na Maafisa Elimu (DEO);Wametumwa --Wakuu wa shule, Waratibu Elimu Kata (MEK) hawafai kuchaguliwa Siku na Tarehe ya kufanya uchaguzi wa kupata viongozi wa Chama Cha Walimu (CWT) utatangazwa muda wowote, hii ikiwa ni baada ya tarehe ya awali kuhairishwa...
  17. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania GE2020 Anguko la upinzani na hoja pofu ya Tume Huru ya Uchaguzi

    Kuna usemi maarufu wa Kiswahili unasema, ¨siku ya kifo cha nyani, miti yote huteleza ¨ usemi huu una anza kuakisi ukweli wa siasa za vyama vya upinzani Tanzania na anguko lake kuelekea uchaguzi mkuu 2020. Ni wazi kuwa Tanzania ina vyama vinne pinzani vyenye nguvu na ushawishi katika medani ya...
  18. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Corona virus: Uchaguzi 2020 kuahirishwa?

    Kwanza tuombe Mungu hii homa isitufikie. Pili Ulaya wameshaanza kuzungumzia baadhi ya match kuchezwa bila mashabiki kwa hofu ya kuambukizwa hii homa. Kwa jinsi ninavyoona kitakuwa kisingizio valid kwa serikali kubakia madarakani na kuchelewesha uchaguzi. Au uchaguzi utafanyika bila campaign...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Hili la kutoteua bodi na kutowapandisha vyeo watumishi litawagharimu Selikali ya CCM uchaguzi huu

    Basi sometime huwa natoka huku Idukilo naenda hadi jijini Mwanza na siku zingine naenda Shinyanga hata Simiyu. Kwa kabiashara kangu ka kukopesha vihela na kununua mazao na biashara nyingine sometime na madini ya Mwadui basi wafanyakazi wa Selikali wamekuwa marafiki zangu sana. Basi juzi nikiwa...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dar: Meya Boniface Jacob atangaza kutogombea Udiwani katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob ametangaza kutogombea tena nafasi ya udiwani wa kata ya Ubungo katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2020 nchini Tanzania. Boniface Jacob ametangaza uamuzi huo kupitia mtandao wake wa Twitter unaotumia jina la @MayorUbungo ambapo...
Back
Top Bottom