uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. M

    JamiiForums Tanzania NEC yakabidhiwa magari 12 maandalizi Uchaguzi Mkuu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama amekabidhi magari 12 kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ambayo ni sehemu ya magari 20 yalionunuliwa na tume ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu...
  2. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Mjadala mpana kuhusu 'madai' ya tume huru ya uchaguzi

    Wakuu, Mjadala huu unawahusu wale ambao 'in a serious note' wanafikiri Tanzania tunahitaji 'tume huru' ya uchaguzi tofauti na hii tuliyo nayo. Kama wewe ni miongoni mwao, fuatilia mjadala huu kwa karibu, utakujengea uelewa ambao haukuwa nao hapo kabla.Kama pia wewe unadhani ndio unatakiwa...
  3. technically

    JamiiForums Tanzania Bunge letu ni bunge la ajabu kweli! Je wanawakilisha wananchi gani? ni wabaguzi na wabinafsi wasiludi uchaguzi ujao

    Sijui ni utoto na mzaha wa Ndungai? Au ni kibri cha Tulia Akson? Wamejipunguzia masaa ya kufanya kazi wakati mshahara wao na posho zikiwa vile vile, baada wakate pesa zao ziende kwenye kupambana na corona wao wanajipunguzia masaa ya kazi! Wanapitisha kujipunguzia masaa ya kazi kisa corona...
  4. Saint Ivuga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli: Uchaguzi utafanyika, wapo wanaofikiri kwamba tutaahirisha. Nani anataka kukaa kwenye maofisi haya muda wote huo?

    Rais Magufuli akipokea ripoti ya Takukuru na ya CAG amesema kwamba uchaguzi hautaahirishwa kutokana na uwepo wa ugonjwa wa Corona. NUKUU "Sisi tunaendelea kukutana, ndiyo maana hata Bunge linaendelea na vikao vyake, hata huko kwenye nchi zilizoathirika kabisa, mamilioni ya watu wamekufa kwa...
  5. DITOPILE WAPILI

    JamiiForums Tanzania Kujipanga kwa uchaguzi mkuu 2020

    Sasa ni muda muafaka kwa vyama vya siasa, kupitia kwa hatua ya mwisho kabla ya kwenda kunadi SERA NA ILANI ZA UCHAGUZI 2020 za vyama zao. Hii itasaidia wananchi kupata SERA ZILIZO SHIBA, hivyo kutakuwa na wigo mpana wa kuchagua sera bora kutoka vyama mbalimbali vya siasa, Kuliko sera na ilani...
  6. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi Mkuu 2020

    Habarini za asubuhi wanajamvi? Kama ambavyo vyama vya upinzani viliungana 2015 na kutengeneza neno UKAWA na hatimaye kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2015 basi kwenye uchaguzi wa 2020 wafanye hivyo hivyo. Mwanachama aliyefukuzwa Kule CCM basi awe mgombea wao 2020 bila...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Israel: Mahakama yaamuru Bunge lifanye uchaguzi wa Spika mpya bila kisingizio cha Corona

    Mahakama ya juu nchini Israel imeamuru spika wa bunge aandae uchaguzi wa mrithi wake kufikia Jumatano ijayo, amri inayoongeza mkwamo uliopo kati ya wapinzani na wanaomuunga mkono waziri mkuu Benjamin Netanyahu. Spika wa sasa Yuli Edelstein wa chama cha Likud cha Netanyahu alikuwa amepuuzilia...
  8. mkamanga original

    JamiiForums Tanzania Membe anaweza saidia sana katika mchakato wa kudai Tume Huru ya Uchaguzi

    Vyama vya siasa vinavyo jitambua ambavyo vimeanzisha mchakato wa kudai Tume Huru ya uchaguzi vinaweza kucheza vizuri karata kama watamtumia Bernard Membe. Namshauri Membe kutojiunga na chama chochote cha siasa ili kile anachokiamini kiweze kufanikiwa, apigane hii vita akiwa kama mwanaharakati...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaanza kutumia mbinu za kisasa kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Kalamu na Mask zenye maneno "TUME HURU" zaanza kusambazwa mitaani

    Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa , Tuendelee kutega sikio kwa Taarifa zaidi . Mungu ibariki Chadema
  10. Kigogo2020

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uchaguzi Tanzania kusogezwa mbele

    Zilizovuja ni kuwa Meko amecopy kwa dikteka mwenzake Museveni kusogeza uchaguzi mbele. Ila tunawakumbusha mataga, tutadai tume huru mpaka itakapopatikana
  11. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM, John Magufuli (kulia) USULI Maaskofu Katoliki Tanzania wametoa waraka wa Kwarezima ya 2020. Katika makala hii nafupisha, kutafsiri na kutumia hoja yao yenye madokezo makuu saba, katika kuonyesha kwamba Tanzania inayo Katiba...
  12. Kizinga mpemba

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Naomba Uchaguzi Mkuu mwaka 2020 hili liwe Baraza la Mawaziri

    Naomba uchaguzi Mkuu mwaka 2020 ili liwe baraza la Mawaziri kwa maoni yangu, lakini pia unaweza kukosoa na kupendekeza manaibu wao. Rais - Lissu (Chadema) Waziri Mkuu - Juma Assad (Hana chama) Makamo wa Rais - Bernard Membe (Hana chama) Uchukuzi na Mawasiliano Bashe (CCM) Waziri wa Mambo ya...
  13. simplemind

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yatazamwa kwa umakini kuelekea Uchaguzi Mkuu

    As Tanzania prepares for a general election this year, Zanzibar, a hotbed of opposition politics, seems to be receiving attention from both development partners and the government in Dar es Salaam. Last week, President John Magufuli held a closed-door meeting with three Zanzibari opposition...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Nyakati: Mbatia, Prof Lipumba, Maalim Seif na Mrema watarejea CCM kabla ya Uchaguzi Mkuu. CHADEMA itabaki kwa mzee Mtei

    Ukizisoma vizuri hizi nyakati utagundua hakuna fursa tena ya Upinzani mamboleo ule unaotegemea " hisani" ya ruzuku ili chama na viongozi wake waweze kuishi. Unaweza kujiuliza kwanini maalimu Seif alialikwa Ikulu na yeye siyo kiongozi wa ACT wazalendo? Halafu iangalie vizuri historia ya Prof...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla: NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama lilivyo bunge na mahakama kwa sababu vyote hivi msingi wake ni Rais

    Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge. Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba. Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipanya: uhusiano wa karibu uliopo kati ya Corona Virus na Tume Huru ya Uchaguzi

  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa 2020, Kukumbuka shuka kumekucha, is it too little too late kwa CHADEMA or better late than never?

    Wanabodi, Unapotoa ushauri fulani ukapuuzwa, katika ushauri huo ukashauri the right thing to do na matokeo ya kutofuatwa kwa ushauri huo, halafu baada ya kupata matokeo, sasa ndio wanaamka, wanakumbuka shuka kumekucha, na sasa ndio kuanza kujipanga, japo ni kwa kuchelewa lakini ile kujitambua...
  18. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yajutia kupokea waliokatwa CCM na kudai haitapokea tena katika uchaguzi mkuu

    Chadema yajutia kupokea waliokatwa majina CCM CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kinajutia uamuzi kiliochukua wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, kuchukua wale waliokatwa kutoka CCM ambao sasa wamerejea katika chama chao cha zamani. Akizungumza ofisi za Makao...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama wapinzani wanaohamia CCM wanaahidiwa kugombea, Je CCM asilia hawatagombea uchaguzi ujao?

    Kulingana upepo wa kisiasa ulivyo kwa Sasa Ni dhahiri Sasa wapinzani wengi Wana hofu ya kukosa ubunge kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, na ndio maana wengi wao wameamua kukimbilia Chama Cha Mapinduzi ili kuweza kuona kama wanaweza kurudi bungeni. Nimekuwa nikijiuliza Sana hili swali kwamba...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli heshimu maamuzi ya wananchi kupitia sanduku la kura kwenye Uchaguzi Mkuu mwishoni mwa mwaka huu

    Miongoni mwa mambo yanayowatia sana wasiwasi wananchi katika kipindi hiki ni Uchaguzi Mkuu unaotegemewa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu. Ingawa Rais Magufuli umetoa uhakikikisho kwa Jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na haki, lakini maneno na vitendo vya viongozi...
Back
Top Bottom