Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.
Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.
Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.
Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
Bismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
WARAKA [MWONGOZO]
UCHAGUZI MKUU WA TAIFA
OKTOBA 2020 TANZANIA
Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020.
UTANGULIZI
Ugonjwa wa Korona – COVID-19
Sote Tunafahamu kuwa nchini mwetu na Dunia kwa ujumla kumekuwepo na taharuki kubwa ya Ugonjwa wa...
Ni miezi michache tu imesalia kwa Tanzania kushuhudia wananchi wake wakijitosa kwenda kwenye vituo vya kupiga kura na kutumia demkorasia yao halali ya kuwachagua viongozi wanaowataka. Kwa wananchi wengi, uchaguzi ni hatua moja kubwa ya kuchagua viongozi ambao watakuja kulijenga au kuliporomosha...
Kuna kila sababu ya wabunge na watia nia hawa, kutopitishwa na vyama vyao vya siasa kugombea .
1. Wabunge wote wa CHADEMA sababu wameonesha kuwa siasa zao ni za kujinufaisha wao bila kujali wananchi! Hasa kipindi cha corona walisikika wakitaka nchi iwe lockdown.
2. Zitto - Kigoma Mjini
3...
Kwa mujibu wa serikali ya awamu ya tano ,imefanya mambo makubwa sana , ununuzi wa ndege ,ujenzi reli ya kisasa SGR, Stiegersgorge , rais aliyepo amefanya makubwa kuliko marais wote waliopita ikiwrmo ujenzi wa viwanda 100 kila mkoa ,kama hivyo ndivyo kwanini wanaogopa tume Huru ya uchaguzi? Ili...
Ninajiuliza ni sheria zipi zinazosimamia na kuzuia matusi wakati wa Uchaguzi ujao wa Udiwani, Ubunge au Urais hapo Oktoba 2020. Tafsiri ya tusi/matusi ni nini? Je,hawa watakaotuhumiwa kuwa wametukana watawezaje kuthibitishwa?
Je, haiwezekani mtu akamtuhumu mshindani wake katukana ili asiwe...
Hivi karibuni Mwanasiasa BM amekuwa akitumia uwingi pale anapoeleza azma au nia yake kwa jamii. Mara kadhaa amesikika akitumia maneno kama vile Tutagombea, Tutachukua fomu, Tutashinda, nk.
Watu wengi na hasa wachambuzi wa mambo ya siasa wamekuwa wakijiuliza maana halisi ya matumizi hayo ya...
Habari waungwana?
Mara zote ukweli haupendwi na wapinzani na wanaCCM pia hawaupendi.
Ukweli ni kwamba CCM haiwezi kuondolewa kwenye dola kwa kutumia tume huru ya uchaguzi.
Simaanishi kuwa Tume huru ya Uchaguzi haina maana hapa nchini.
Nitaelezea hili kwa njia ya swali kisha msomaji utajibu...
Watia nia na wote wanaotaka kutumia haki yao ya Kikatiba, kugombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA wataanza kuchukua fomu leo Julai 4, 2020, Ofisi za Makao Makuu ya Chama, Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Kwa Urais wa Zanzibar, watachukulia Makao Makuu, Kisiwandui, Unguja-Tumaini Makene on...
Wapo baadhi ya wanaccm waliokuwa wanajiona ni wanamtandao na wakiamua kuleta taharuki ndani ya chama katika ngazi mbalimbali hasa nyakati za uchaguzi.
Zama hizo zimeshapita kwani CCM ilishaonesha Umma kuwa inaweza kumshughulikia mwanaCCM yoyote iwapo hatozingatia maadili ya Chama.
Wapo baadhi...
Sijui nini kinaendelea kati ya CHADEMA na ACT juu ya kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa baadae mwaka huu, ila napenda tu kuwatahadharisha kuwa wakishindwa kukaa pamoja na kuja na mpango mkakati wa pamoja juu ya namna bora ya kushirikiana katika uchaguzi huu,basi watakaofaidika na hali hii...
Mwaka huu wa 2020 kuna uchaguzi mkuu, kumekuwa na heka heka kila kona ya nchi, katika vyama mbali mbali watu wakipigana vikumbo kuomba kugombea nafasi mbali mbali, hususani viti vya ubunge. Kwa leo hapa nitajikita kuchambua heka heka hizo kwa nafasi ya ubunge hasa kwa chama cha mapinduzi (CCM)...
Kutokana na maongezi ya vigogo wa chama fulani kuvujishwa mitandaoni kwa siku za karibuni huku wahusika wakipeta utadhani hawajavunja sheria, nawashauri sana kuepuka kujadili mipango yenu yoyote inayohusu uchaguzi kwa njia ya simu kwani inaweza kuvujishwa kwa lengo la kutoa siri zenu na hata...
Kichwa cha uzi huu ni synonymous na ujumbe mujarab kutoka kwa baba wa kupigania haki za Wamarekani weusi huko US, Dr Martin Luther King, Jr.
Hadi Barak Obama kuja kukubaliana kuwa rais wa taifa kubwa kama hilo haikuwa lelemama kabisa. Ama kina Condoleezza Rice na Collin Powell kushika nafasi...
Mwenyekiti wenu alitamka maneno kadhaa akiashiria kuwa ili mtia Nia yeyote kupitishwa kuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya chama Cha mapinduzi itategemea siku hiyo ameamkaje"
Sasa kwa sentence hiyo nawashangaa wale ambao wametangaza Nia ya kugombea ubunge kupitia chama hicho lakini wao moja...
Wote ambao mmekuwa mkifutilia rallies za vyama vya upinzani (hapa "upinzani" strictly ninamaanisha ACT & Chadema) hapana shaka mtaafikiana nami kuwa mwamko wa wananchi ku support kambi hii ni mkubwa sana pamoja na uwepo wa vitisho kutoka vyombo vya dola. Imagine kusingekuwa na ukandamizaji huo...
Kuelekeaa uchaguzi mkuu 2020, kama mtanzania wa leo, nimekuwa pia nikifuatilia harakati hizi na kwa nionavyo huu hapa ndiyo ulio ukweli mchungu:
Pana watu wamejivika kuwa washauri wa upande wa upinzani kuwaasa hatari kuhusu uwezekano wa kwenda na Membe.
Ukiangalia ushauri wao na maonyo yao...
Tume ya uchaguzi ya Zanzibar imetangaza kufuta majimbo manne ya uchaguzi na hivyo kubaki majimbo 50 pekee, ambapo Unguja yatakuwa 32 huku Pemba yakibaki 18.
Haijafahamika kama Tume imejituma yenyewe kufanya jambo hilo au imetumwa ili kuwaokoa watu fulani na wala hakuna sababu zozote za maana...
Dada na kaka zangu mlio nchi za nje, mtapoteza haki yenu ya kuchagua viongozi hadi lini, jitahidini mrudi nyumbani Tanzania October hii mpige kura ili muache kulalamika kwa kuchaguliwa viongozi msiowataka.
Mkija msitusahau kuja na zawadi ya Pizza na baga,pia mje na wajomba na shangazi wetu...
Askofu Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na leo amefika kwenye ofisi za chama hicho kupewa utaratibu.
Kuhusu kuunga mkono UKAWA mwaka 2015, amesema hajawahi kuwa Mwanachama wa CHADEMA, ila hutetea haki wakati wote.
===
Aliingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.