Uchaguzi 2020 NEC: Ni marufuku Wasimamizi wa Uchaguzi kufunga ofisi siku za kurudisha fomu na siku za uteuzi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,765
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi amesema ni marufuku kwa Wasimamizi na Maafisa Uchaguzi kufunga ofisi muda wa kazi wakati wa kuchukua na kurejesha fomu kadhalika siku ya uteuzi wa wagombea.

Mwenyekiti wa NEC amesisitiza kuwa ni kinyume cha Sheria wasimamizi kufunga ofisi muda wa kuhudumia wagombea na wadau wa Vyama vya Siasa.

Chanzo: ITV habari!
 
Hawa ndio walituaminisha kule Korogwe Vijijini (Kwa Marehemu Maji Marefu) kuwa wapinzani kama vyama 5 kwa masaa yasiyopungua 5 walishindwa kurudisha fomu zao kwa kuwa hawakujua fomu wapeleke wapi na wampe nani wakati walijua pakuzichukua.

Kwa kauli hii ina maana wanajua mchezo ambao huwa unachezwa zidi ya wapinzani huko. Shenzi kabisa.
 
Hawa ndio walituaminisha kule Korogwe Vijijini (Kwa Marehemu Maji Marefu) kuwa wapinzani kama vyama 5 kwa masaa yasiyopungua 5 walishindwa kurudisha fomu zao kwa kuwa hawakujua fomu wapeleke wapi na wampe nani wakati walijua pakuzichukua. Kwa kauli hii ina maana wanajua mchezo ambao huwa unachezwa zidi ya wapinzani huko. Shenzi kabisa.
Hahahaaaa.......!
 
Back
Top Bottom