Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.
Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.
Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.
Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
Jaji Kaijage na team yake ya Tume ya uchaguzi kama si busara zao za kukubali kufanya uhakiki wa wadhamini wa mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Tundu Lissu jambo ambalo kikanuni lilipaswa kufanyika kwenye ofisi za majimbo za Tume ya Uchaguzi basi ni dhahiri Lissu...
Kushinda uchaguzi bila kuchaguliwa kwa kisingizio cha kupita bila kupingwa ni jipu ambalo yafaa litumbuliwe haraka ili kuleta usawa na kushamirisha amani ya Nchi yetu.
Haiingii akilini kuwa mtu anaweza kutumia mbinu wazi au fiche kudhibiti washindani wenzake na kisha aonekane kuwa ni chaguo la...
CHADEMA nawaasa kuanzia leo saa 10 jioni mna saa 24 tu za kupinga uteuzi kwa maeneo yote ambayo viongozi wenu wamekatwa kwa hila za CCM.
Hakuna muda wa kupoteza shughuli ianze usiku huu huu sasa kama mtalala shauri yenu, wenzenu CCM hawalali.
Mapambano bado yanaendelea!
KATIKA hali isiyo ya kawaida, Mkurugenzi wa uchaguzi Moshi vijijini na Vujo Bw. Castory Msigala aliingia katika mgogoro na wanachama wa Chadema chanzo kikiwa ni fomu ya wagombea wa Chadema.
Mgogoro huo umesababisha mkurugenzi huyo kuondolewa katika nafasi hiyo ya kusimamia uchaguzi Moshi na...
NEC leo inatarajiwa kutangaza waombaji walioteuliwa kugombea urais wakati wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Wagombea hao walitakiwa kupata wadhamini 200 kila mkoa kutoka mikoa 10 na kati ya hiyo miwili ya Zanzibar
Tanzania ina vyama 19 vya siasa vyenye usajili, viwili...
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI ISITISHE ZOEZI LA UTEUZI WA WAGOMBEA KATIKA MAJIMBO YALIYO NA KASORO.
Kanuni ya Dhahabu (golden principle) inasema: "Siyo tu kuwa Haki itendeke, bali Haki ionekane kuwa imetendeka"! Katika mchakato wa Urudishaji fomu kuna vituko na shida mbalimbali ikiwemo baadhi ya...
Abdulazizi Abood (CCM) amepitishwa kama mgombea pekee katika Jimbo hilo baada ya wagombea wa upinzani kukatwa kwasababu ya makosa yaliyobainika kwenye ujazaji wa fomu
Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Morogoro mjini amewafutilia mbali wagombea wote wa vyama vya upinzani akiwemo Devotha Minja wa...
Wanabodi
Declaration of Interest
Naomba kuanza na ku declare interest kuwa mimi ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM ambaye ni muumini wa haki na demokrasia ya kweli ndani ya Bunge. Nautoa ushauri huu kwa dhati ya moyo wangu, licha ya ukada wangu kwa chama changu, CCM.
Asiyekubali Kushindwa Sio...
Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania
Updates
----
Tayari Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye ni mgombea Urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form
UPDATE:-...
Tume Ya Uchaguzi (NEC) Leo Itafanya Uteuzi Wa Wagombea Nafasi Mbalimbali Kwenye Uchaguzi Ujao:-
Nafasi Ya Rais, Makamu Wa Rais, Wabunge, Madiwani
Vyama Vyenye Usajili Ni Kumi Na Saba (17)
Wananchi Wengi Masikio Na Macho Yao yatakuwa Dodoma Kujua Hatua Kwa Hatua ya tukio lote.
Vyombo Vingi...
24 Agosti 2020
Katika mahojiano maalum Mwanzuoni wa masuala ya binadamu, mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha UDSM mwalimu Dr. Azavery Lwaitama amesema anaufuatilia michakato uchaguzi wa Oktoba 2020 kwa ukaribu
Tukio la uchaguzi wa 2020 ni kuthibitisha wananchi ndiyo watawala halisi wa nchi...
Wagombea wa CHADEMA Moshi wakataliwa kupokelewa fomu zao na Mkurugenzi.
======
Mkurugenzi amegoma kupokea fomu baada ya tuhuma za awali kwamba sio halisi na kutaka kabla wahusika hawajazirudisha wakathibitishe polisi kama ni halisi ama La.
Baada ya katibu wa CHADEMA kuhoji iwapo vyama vyote...
Wagombea ubunge wa CHADEMA, Lucy Owenya na Grace Kihwelu wamedai kupewa fomu fake na Tume ya Uchaguzi.
Tatizo hilo limegundulika leo walipoenda NEC kuzihakiki.
Chanzo: ITV habari
My take: Nilisema Membe ameenda kuhakiki fomu ni jambo jema
Maendeleo hayana vyama
UCHAGUZI MKUU
au
UTEKAJI MKUU
au
UJAZAJI FOMU MKUU
Kutokana na vyombo vingi vya habari kuwa likizo katika msimu huu, jamii inakosa habari muhimu. Magazeti mengi, TV na Redio vimepelekwa likizo kwa muda mpaka mwezi Novemba. Vyombo vichache vilivyobaki vina matatizo makubwa shingoni...
Hili hapa andiko lake
Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.
Mgombea Urais wa ACT Wazalendo Bernard Membe leo amekwenda kwenye ofisi za Tume ya Uchaguzi Jijini Dodoma kuhakiki fomu zake kama ziko sawasawa kabla ya kuziwasilisha rasmi hapo kesho 25/08/2020.
Membe aliongozana na viongozi mbalimbali wa chama hicho akiwemo mkuu wa ngome ya vijana Abdul...
CCM wamekuwa na hofu kubwa sana juu ya huyu mgombea wa CHADEMA. Mgombea wa CCM huyo siku zote amejawa hofu na ndiyo sababu kwenye chama chake hakuruhusu mtu hata mmoja kuchukua form ya kugombea urais.
Tundu Lissu akienda Mahakamani Kisutu na kusomewa mashtaka mapya kama walivyopanga hawa watesi...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, hutoa zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", Watanzania tunajiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani hapo Oktoba 28, Watanzania tunakwenda kuingia kwenye uchaguzi uchaguzi wa 2020 ambao ni uchaguzi wa mashindano kati ya...
Kufuatana na Ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi tarehe 25 Agosti, 2020 ni siku ya UTEUZI. Ushauri wangu ni wa bure kwenu.
Hakikisheni Wasimamizi wa Uchaguzi ngazi ya Majimbo Tarehe 25 Agosti, 2020 wanakaa kwenye vituo vyao bila kukosa na isije ikajirudia mapungufu yaliyotokea katika uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.