Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.
Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.
Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.
Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa serikali ya Tanzania kulipa gharama zote za Uchaguzi Mkuu tokea tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.
Ieleweke kuwa Mwaka 2015, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilitumia jumla ya Shilingi 534,499,415,599/= katika zoezi zima la Uchaguzi Mkuu. Pesa kati ya...
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dr. Kizza Besigye amewaambia wafuasi wake kwamba hatagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2021.
Alikuwa akizungumza katika ofisi za chama cha Forum for Democratic Change katika siku za mwisho za uteuzi wa wale wanaogombea urais katika chama hicho .
Besigye...
Ikiwa imebaki miezi michache kufikia mwezi Oktoba, mwezi ambao uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 utafanyika nchini, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, Inspekta Jenerali, Simon Sirro, leo Agosti 19, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa vyama vya siasa, pamoja na Tume ya Taifa ya...
Niseme tu ukweli kwamba CHADEMA ni wepesi sana.
Ni chama cha msimu kinachoamini katika umaarufu wa kukusanya binadamu wengi kwenye mikutano yao badala ya kujenga ushawishi wa kisera kwa " wapiga kura "
Binafsi sioni sababu ya CCM kuwa na hofu na CHADEMA na wala hakuna sababu za kuwafanyia...
HABARI Mgombea Ubunge Jimbo la Ilala kupitia CUF, mhe. Rashid Mwinyishehe Ilala amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Ilala
Nimekumbuka Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015 wazee wetu walivyotutahadharisha kukisaidia chama tawala, sipendezwi binafsi kuwatumia wazee wetu kwenye kampeni kwa ajili ya kuokoa jahazi mkifanikiwa mnawatelekeza hata mafao yao yanakuwa Ni hisani yenu Wala siyo sheria.
Nakumbuka jinsi Mama Maria Nyerere...
TRA ni chombo cha ukusanyaji kodi ambacho pia kinapaswa kufanya kazi vizuri na wafanyabiashara ili kuwapa ari ya kuendeleza uchumi wetu. Cha kushangaza ni kwamba wafanyabiashara sasa wanaiona TRA kama chombo cha ukandamizaji.
Kwa kuwa serikali ya sasa imefeli kuisimamia TRA kuimarisha mazingira...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ( NEC) mh Jaji Kaijage amesema baada ya kuhakiki daftari na kuondoa majina yanayojirudia sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347
Source East africa radio
My take; Kumbe nyomi ya Tundu Lisu si chochote si lolote.
Maendeleo hayana vyama!
======
Daftari la wapiga...
Iko hivii: kuna tetesi kuwa Bosi hataki matumizi makubwa kwenye Uchaguzi huu, hataki chama kitumie pesa nyingi kuwanadi wagombea wake wa ubunge na badala yake nguvu unaelekezwa zaidi kwe Urais ambapo kunaonekana changamoto ni kubwa kuikabili nguvu ya Tundu Lissu ambaye si kwamba ataungwa mkono...
Sio Siri VIONGOZi na wanachama wa CCM mahala popote walipo huwa Kuna kitu wanajivuni kabla ya Uchaguzi. Hata kuwe na dalili za Uchaguzi kuwa mgumu namna gani CCM huwa hawana hofu. Na ndio maana mwaka huu wamejitokeza watia nia wengi sana kwa upande wa CCM kuliko chama chochote.
Kitu pekee...
Ndugu zangu,
Tutambue kuwa wapinzani wasiofunzwa na Magufuli watafunzwa na watanzania kwenye sanduku la kura.
Wakati wapinzani wakianza kampeni kabla ya wakati kwa kisingizio kuwa hakuna sheria wala kanuni inayokataza huku wakitukana na kubeza serikali ya awamu ya tano kuwa haijafanya kitu...
MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia
Haya endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!
Miaka yote Chadema imekuwa ikijijenga kwenye miji michache mno Tanzania
Ilichagua vimiji vichache tu kwa mikoa michache tu ya Tanzania na kujijenga na kuacha miji mingine ya mikoa.
Ukienda baadhi ya mikoa wanakosema Wana nguvu unakuta mkoa una miji mfano minne wanachagua mji mmoja wanajijenga...
Wanabodi,
Najua wengi wenu mtakuwa mmesahau ule mchezo wa Kenya unaitwa "Kivuitu system".
Pamoja na kwamba mfumo wetu uchaguzi kikatiba na kitume haupo huru bado ni jukumu la wapenda haki na wanamageuzi kuhoji na kujua mbinu za kimfumo kama hizi za kucheza takwimu za kura.
Sijasikia chama...
Hii MIKUTANO ambayo anaifanya Tundu kwa hakika inaenda kumgharimu sana kwa namna NEC itavyoitafsiri itakuwa tofauti na wengi tunavyodhani.
Kusanyiko lolote la umati wakati wa kutafuta wadhamini na kulihutubia kana kwamba kampeni zimeshaanza ni kosa ambalo ndilo bwana Tundu litamnyanganya Tonge...
#HABARI Mgombea Ubunge wa Jimbo la temeke kupitia CUF, mhe. Zainab Mdolwa amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Temeke.
Published on Aug 17, 2020
Kuelekea Uchaguzi mkuu 2020 Chama cha Mapinduzi kimezindua kituo maalum cha mawasiliano lengo kuu likiwa ni kuhakikisha wanakuwa na mawasiliano ya karibu na wanachama na watendaji wa chama icho Katika kipindi cha uchaguzi mkuu Akizingumza mapema leo jiji Dodoma katibu...
Wadau wa Sekta ya Elimu mnakwama wapi? Tokea Serikali ya awamu ya tano imeingia madarakani Novemba 15 , 2015 , kumekuwepo na mikutano mbalimbali juu ya kujadiliana changamoto mbalimbali katika sekta husika nakumbuka mapaema tu baada ya serikali iliyopo sasa kuanza kazi , kuliitishwa mkutano...
Karibu.
Mkutano uko mubashara kupitia Channel ten kutoka ukumbi wa JNICC na mgeni rasmi ni waziri mkuu mh Majaliwa.
Up dates;
Kwa sasa mh Majaliwa anahutubia na anajaribu kuelezea kwa kirefu mafanikio ya serikali ya awamu ya 5
Waziri mkuu anawashukuru viongozi wa dini kwa dua zao zilipelekea...
Maelfu ya waandamanaji wa upinzani wameandamana jiji Minks nchini Belarus kumshinikiza Rais Alexander Lukashenko kujiuzulu kutokana na matokeo ya Uchaguzi Mkuu wanayosema hayakuwa Huru na Haki.
Maandamano haya yameelezwa na wachambuzi wa mambo kuwa ndio makubwa zaidi kuwahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.