uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. J

    GE2020 Fomu namba 8A ndiyo itakayombana Tundu Antipas Lissu, ni ya Maadili ya Uchaguzi

    Fomu hii namba 8A inatakiwa kujazwa na wagombea wa Urais mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu. Ni ya kuahidi kulinda, kuheshimu na kuzingatia maadili ya uchaguzi na taratibu zake. Ukitenda kinyume cha maadili ya uchaguzi unaweza kuenguliwa kwenye uchaguzi wakati kampeni zikiendelea. Kwa hiyo wagombea...
  2. TODAYS

    Wababe hawa wa mwaka 2015 watasaidia kupindua meza Oktoba 2020?

    Uchaguzi mkuu wa mwaka huu unakisiwa kuwa ndiyo uchaguzi utakaokuwa na changamoto zenye hisia na usio lelemama. Kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 kuna mambo yalifanyika kwenye kutuma na kupokea matokeo ya sehemu flani zilizoonekana kumbeba mgombea mmoja na baadae kura kuyumbishwa na kurekebishwa...
  3. Nyani Ngabu

    GE2020 Tusemezane: Uhalisia wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Mimi ni mmoja wa watu ambao wanaamini kwamba kama taifa, tulipaswa kuingia katika mfumo wa vyama vingi na katiba mpya pamoja na tume huru ya uchaguzi. Sitazungumzia mambo ya kiufundi na ya kimuundo kuhusu hivyo vitu viwili. Lakini kimsingi, hivyo vitu ndo vilipaswa kufanyika kwanza kabla...
  4. Idd Ninga

    Madhara ya Rushwa katika Uchaguzi

    #UchaguziMkuu2020Tz.
  5. Richard

    GE2020 Upinzani watoe Ilani zao za Uchaguzi yaani “Election Manifesto" acheni porojo hazina Tija

    Ilani ya Uchaguzi au kwa kiingereza huitwa Election Manifesto ni kabrasha litolewalo na chama cha siasa ambalo limesheeni mawazo na sera zote. Mara nyingi chama cha siasa kikishinda uchaguzi huweza kupimwa mafanikio yake kutokana na utekelezwaji wa ilani yake ya uchaguzi. Kwa miaka mitano...
  6. Petro E. Mselewa

    GE2020 Sikubaliani na imani hii potofu ya kisiasa hasa wakati wa Uchaguzi kama huu

    Kila unapofika wakati wa Uchaguzi kama huu, yanasemwa na kufanywa mengi. Moja kati ya maneno yanayosemwa sana ni kugawana/kugawa kura kwenye Uchaguzi. Kauli hii ndiyo imekuwa hoja hata ya kuwataka wapinzani waungane. Pamoja na kukiri kuwa umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, kwenye Uchaguzi...
  7. Sophist

    GE2020 Kitanzi dhidi ya Wagombea wa Upinzani kimefichwa ndani ya Kanuni za Uchaguzi 2020

    Kwa jicho la uchambuzi hebu angalia kanuni hii: 30.-(1) Subject to the provisions of the Act, the Director of Elections, Registrar of Political Parties, Returning Officer, Attorney General or a candidate for Parliamentary election may lodge an objection of the nomination of any Parliamentary...
  8. Analogia Malenga

    GE2020 Fahamu vyama 19 vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba

    Jumla ya vyama vyenye usajili wa kudumu nchini ni 19 vinatarajiwa kuchuana kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu ambapo nafasi mbalimbali za uogozi kitaifa zitakuwa zinawaniwa na makada wa vyama hivyo. Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nafasi hizo ni za Urais, Ubunge na Udiwani. Vyama...
  9. DaudiAiko

    GE2020 Je, kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi kunachangia kwa kiasi kikubwa kutokuwa na Uchaguzi usio Huru na wa Haki?

    Tunapoelekea kipindi cha kampeni tuna tegemea hoja nzito haswa kutoka kwa wagombea wa upinzani kuhusu serikali ya awamu ya tano kushindwa kuweka mifumo ambayo ingewezesha tume huru ya uchaguzi kuwepo. Lazima tufahamu kwamba Tume Huru ya Uchaguzi ni shirika linalo jitegemea pamoja na kuwa na...
  10. S

    GE2020 A coincidence or a highly calculated move? Bernard Membe kupeperusha bendera ya upinzani kwenye uchaguzi

    Hakuna grand coalition ya wapinzani, hakuna makubaliano rasmi kwa maana ya MOU kwa sababu sheria na kanuni mpya za uchaguzi zimeshawapiga stop kua wamechelewa Lakini kuna Gentlemens' Agreement miongoni mwa vyama vikuu viwili vikubwa vya upinzani. Haisemwi, haiandikwi, haiwekwi wazi lakini ndio...
  11. William Mshumbusi

    "Ni yeye 2020" Ni slogan mbovu kwa CHADEMA kuelekea Uchaguzi

    Kile ambacho CHADEMA imekuwa ikikosoa wengine ndicho inachokuja nacho. Walilalamika juu ya neno Tanzania ya Mag..... . Kwanini CHADEMA mnakuja na slogan inayohusu mgombea na sio wananchi. Je, uchaguzi huu umelenga kuwa na faida kwa nani!? Mpiga kura au mpigiwa kura. Kama ilivyokuwa kwa CCM...
  12. M-mbabe

    Mikutano ya teuzi za CHADEMA kwa ajili ya uchaguzi 2020 kutokuwa live kwenye mainstream media: je, chama kiliomba na kukataliwa au hakikuomba kabisa?

    Unajua siye wengine hapa ni CCM. Lakini tangu misingi ya chama ianze kukiukwa baada ya Mwalimu JKN kuondoka (RIP mzee), sisi wana CCM asilia tumejikuta njia panda na imefikia mahala tumejikuta tunatamani chama chetu kiwekwe benchi na upinzani ili kiamke usingizini. Ndiyo maana mnatusoma mara...
  13. Ayenda M

    Kuweni makini na wapiga kura wa mitandaoni

    Kukua kwa sekta ya mawasiliano hapa nchini tumeshuhudia mambo mengi pia yakibadilika. Katika nyanja ya siasa na sheria hapa nchini tumeshuhudia uanzishwaji na upitishaji wa Sheria inayoangazia matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii. Leo hii mtu muoga ni nadra sana kuandika kitu cha kuponda...
  14. E

    CHADEMA msiende Uchaguzi Mkuu kudai katiba mpya, kudai Tume Huru nendeni na ajenda za kutatua shida za watu

    Nimewasikiliza chadema katika mchakato wao wa kupata mgombea wa uraisi. Frankly speaking mna very strong candidate tatizo lenu ni kutokujua audience. Mkijua audience mtajua mtajua ni mambo yafuatayo 1. Vyama vya siasa vina wajibu gani na changamoto gani 2. Serikali ina wajibu gani na...
  15. M

    Kugonga mwamba kwa Mazungumzo kati ya Viongozi wa ACT-Wazalendo na CHADEMA kuhusu kuungana kwenye Uchaguzi Mkuu na picha halisi ya Uchaguzi Mkuu ujao

    Kwa muda mrefu chama cha ACT-Wazalendo kimekuwa kikiwashawishi Viongozi wa CHADEMA ili wakubaliane na wazo lao la kushirikiana au kuungana katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Ikumbukwe kuwa ACT-Wazalendo ndio wameonekana kuwahitaji zaidi Chadema, kuliko wao kuhitajiwa na...
  16. kavulata

    GE2020 Uchaguzi 2020, Rai kwa wagombea

    Kila kitu kinachosemwa na kufanywa na wanasiasa katika kipindi hiki Cha uchaguzi faida na hasara itakwenda kwa wananchi wa kawaida, hivyo wanasiasa tuchunge ndimi zenu na vitendo vyenu kwenye majukwaa. Kwa vyovyote vile sisi wananchi tunapenda kusikia wagombea wakisema namna watakavyotupatia...
  17. funaku

    GE2020 Msajili: Vyama vya siasa vyenye lengo la kushirikiana uchaguzi mkuu vimeshachelewa

    Afisa kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama ameeleza kuwa iwapo vyama vinataka kuunda ushirikiano vinapaswa kufanya hivyo kwa kufuata utaratibu wa vikao rasmi na sio utashi wa viongozi. Ameainisha kuwa muda wa kufanya coallition ni miezi mitatu kabla ya kuanza kwa mchakato wa uchaguzi. Tuwe tunasoma...
  18. Meneja Wa Makampuni

    NEC ndiye FIFA, TFF na refarii wa mchezo wa ligi ya uchaguzi tumwache afanye kazi yake

    Wakuu bila kumumunya maneno kuna baadhi ya wana JamiiForums hasa wa vyama vya upinzani wana uelewa mdogo sana. Uwezo wao wa ku reason mambo ni mdogo sana. Wametyuni akili zao kwenye kushabikia siasa bila kukielewa kile wanacho kishabikia. Wamekariri katiba na baadhi ya vifungu vya sheria ili...
  19. MIXOLOGIST

    Uchambuzi huru kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba, 2020

    Heshima kwenu wana jf Tukiwa tunakamilisha zoezi la kupata wagombea kutoka kwenye vyama vyetu vya siasa, si vibaya kufanya tathmini za haki na kistaarabu kuhusu mwenendo na matazamio ya uchaguzi ulio mbele yetu. Hoja yangu ya kwanza ni mwamko wa wapiga kura, kwangu naona kama vile hamasa...
  20. J

    GE2020 Kampeni za uchaguzi wa Rais kwa CHADEMA zitagharamiwa na nani?

    Kwa upande wa CCM inaeleweka chama hicho kina rasilimali za kutosha hivyo mkoa unaweza kugharamia shughuli zote za kampeni ya Rais katika mkoa husika. Nauliza kwa upande wa CHADEMA na ACT Wazalendo kama wana ukwasi wa kuweza kumudu kufanya kampeni nchi nzima!! Kwa mfano CHADEMA walifeli...
Back
Top Bottom