"Wananchi wangu wa Mwibara wameniamini sana, huu ni mwaka wa 10 nawatumikia, wako wahuni wachache ambao wanapita kujaribu kuonyesha kuwa miaka 10 inanitosha niondoke, nimekosa nini? Hadi niondoke? Nimewaambia sina makosa.
.
"Sasa wale wahuni wanasema niondolewe, sina makosa, nitagombea ubunge...
Hakika ukiangalia haka ka clip kafupi moyo lazima ukusisimke na kujiuliza hawa viongozi wana upendo kiasi gani baada ya kupitia machungu na manyanyaso kiasi hiki kwa miaka mitano?
Hakika Chadema ni mpango wa Mungu na kuwaacha hawa na kuchagua wale wajisifiao na kulazimisha kuabudiwa ni sawa na...
Baada ya Rais kutangaza kulivunja bunge la 11 leo Juni 16,2020 mtoto wa baba wa Taifa Madaraka Nyerere ametangaza rasmi kugombea nafasi ya ubunge kwa Jimbo la Butiama mkoani Mara.
Madaraka Nyerere ametangaza nia hiyo kutokana na Mbunge aliyekuwepo kukaa muda mrefu nje ya nchi akipata matibabu...
Leo tarehe 16 Juni 2020, Rais Magufuli analivunja bunge kwa ajili ya kufanya matayarisho ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, ambapo uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika kwa wakati mmoja.
Bunge la 11 lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa...
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo...
Nachukua fursa hii wakati Bunge la Ndugai linaenda kuvunjwa ndani ya saa 24 zijazo kumpongeza mama Lowassa kwa kukataa ubunge wa viti maalumu aliozawadiwa na CHADEMA.
Kwa aina hii ya tabia iliyooneshwa na wabunge wa viti maalumu CHADEMA hawa akina Sungura hakika wangemkwaza sana mama wa watu...
Naibu Spika wa Bunge la Dkt. Tulia Ackson ameweka wazi nia ya kugombea Ubunge Mbeya japokuwa hajaweka wazi jimbo atakalogombea
Naibu huyo amesema atatoa taarifa kuhusu Jimbo hilo muda utakapofika. Dk. Tulia aliteuliwa kuwa Mbunge wa Viti Maalum na Rais Magufuli Novemba 16, 2015
Alichaguliwa...
Shauri la Kikatiba Na.12 la mwaka 2020 lililofunguliwa na Asasi ya Civic and Legal Aid Organization dhidi ya Mhe. Spika, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Cecil Mwambe ili kupinga ubunge wa Mwmbe imetupiliwa mbali Leo tarehe 15 Juni,2020 na Mahakama Kuu.
Hii ni mara ya pili ambapo Mahakama Kuu...
Siasa ni sayansi.
Ni dhahiri mgombea wa Chadema atakuwa Lazaro Nyalandu na mchungaji Msigwa yeye ni msindikizaji tu.
Ikumbukwe Mh Mbowe na Nyalandu walisafiri hadi Ubelgiji aliko Lisu na kufanya mazungumzo ya kina.
Hivyo Mwenyekiti na makamu wake pamoja na waziri kivuli wa Utalii wakati...
Mwanamuziki Rajab Abdul, maarufu Harmonize ameweka wazi mpango wake wa kugombea ubunge katika Jimbo la Tandahimba mkoani Mtwara, miezi kadhaa baada ya Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli kupendekeza afanye hivyo.
Akizungumza na TBC1, mwanamuziki huyo anayetamba na nyimbo kadhaa ikiwamo Bed Room...
Spika Ndugai amesema uongo muda mchache uliopita haikuandika barua kwake kumtaarifu juu ya kuwafukuza uanachama wabunge waliofanya utovu wa nidhamu na kukiuka maadili ya chama. Huu ni ushahidi walipokea toka 14 Mei 2020
Chanzo:John Mnyika on twitter.
Zaidi soma: Naibu Spika Dkt. Tulia: Jesca...
Cecil Mwambe na David Silinde kwa sasa ni wabunge wa CCM japokuwa Wananchi waliwachagua kupitia Chadema.
Kadhalika Joseph Selasini na Anthony Komu kwa sasa ni wabunge wa NCCR Mageuzi japokuwa Wananchi waliwachagua kupitia Chadema
Na Wilfred Lwakatare na Sabrina Sungura kwa sasa ni wabunge wa...
Nimeshangazwa sana na huu msimamo wa wana Kilombero kwamba ubunge wanakwenda na Aboubakary Asenga na kwamba Lijualikali arudie kazi yake ya kupanga vitabu Kanisani.
Wandamba kweli makauzu pamoja na kazi kubwa anayoifanya Lijualikali ya kumbomoa Mbowe lakini bado hamumwelewi?
Niishie hapo...
Ulitakaje ubunge ukiwa unaishi Ulaya na kuogopa kurudi, ungewawakilishaje wananchi wako?
Acha kutufanya wajinga, hufai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji na uongo wako kutufanya wajinga.
Wadanganye mafala sio wote, you can fool some people sometimes not all never all the time
If you look at the killing process of George Floyd in America you shall see that the policeman who knelt on the neck on the victim knew what he was doing.
Anatomically they are big vessels from the heart ascending to the brain .they bring oxygen to the brain and take away deoxygenated blood...
Mpango wa kumg’oa mkiti wa halmashauri ya Siha waiva,sasa kung’olewa rasmi kesho .
- Vita vya ubunge vyatajwa kama sababu ya kung’olewa
Mwandishi wetu, Siha
Mkakati wa kumvua madaraka Mwenyekiti wa halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro,Godson Ngomuo uliokuwa ukiratibiwa hivi karibuni na...
Ni wazi sasa mpambano ni kati ya wanasiasa hawa.
Kulikuwa na tetesi kwamba Joseph Selasini angekimbia Chadema kumkwepa kada mahiri wa Chadema,ndugu Malisa, na ndivyo ilivyotokea
Hatari iliyopo ni mgawanyiko wa kura za wapinzani, ambayo ndio kazi aliyopewa ndugu Joseph Selasini,ili "wote...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa uamuzi na kutupilia mbali shauri la Kikatiba Na. 10 la mwaka 2020 lililofulinguliwa na Wakili wa Kujitegemea Revocatus Paul Kaunda kupinga Kauli ya Mhe. Spika aliyoitoa Bungeni kumtambua Mhe. Cecil Mwambe kuendelea kuwa Mbunge.
Mahakama Kuu kupitia...
Maana kulijitokeza malalamiko ya gharama kubadilika badilika kama hali ya hewa kwenye uchaguzi uliopita.
Wekeni standardized amount ili wa kudunduliza waanze kudunduliza kiasi kitachotakiwa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.