Nampongeza mama Lowassa kwa kukataa ubunge wa viti maalum kupitia CHADEMA, amelinda heshima yake

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,964
141,963
Nachukua fursa hii wakati Bunge la Ndugai linaenda kuvunjwa ndani ya saa 24 zijazo kumpongeza mama Lowassa kwa kukataa ubunge wa viti maalumu aliozawadiwa na CHADEMA.

Kwa aina hii ya tabia iliyooneshwa na wabunge wa viti maalumu CHADEMA hawa akina Sungura hakika wangemkwaza sana mama wa watu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hivi mama Salma ni viti maalum?
Heshima kwake kwa sababu ya mzee mwenye mawazo huru ya kuheshimu demokrasia tofauti na huyu mkulu mwenye itikadi yasiasa kali za kibabe na kuhusudu kuabudiwa.
 
Nachukua fursa hii wakati Bunge la Ndugai linaenda kuvunjwa ndani ya saa 24 zijazo kumpongeza mama Lowassa kwa kukataa ubunge wa viti maalumu aliozawadiwa na CHADEMA.

Kwa aina hii ya tabia iliyooneshwa na wabunge wa viti maalumu CHADEMA hawa akina Sungura hakika wangemkwaza sana mama wa watu.

Maendeleo hayana vyama!
Mmm nalo neno
 
Hawa wabunge wa viti maalumu kumbe vitumbua vyao huwa vinashughulikiwa ipasavyo
 
Nachukua fursa hii wakati Bunge la Ndugai linaenda kuvunjwa ndani ya saa 24 zijazo kumpongeza mama Lowassa kwa kukataa ubunge wa viti maalumu aliozawadiwa na CHADEMA.

Kwa aina hii ya tabia iliyooneshwa na wabunge wa viti maalumu CHADEMA hawa akina Sungura hakika wangemkwaza sana mama wa watu.

Maendeleo hayana vyama!
Vipi kuhusu Mama Salma kukubali fadhila..?
 
Nilisha leata uzi humu kuhusu maumivu yangu juu ya hii kitu inayo itwa Viti maalumu,binafsi nakereka Sana na hilijambo,tuna wabunge wa kila Jimbo na wanalipwa na Kodi zetu,hapo hapo wapo wa viti maalum ambao kiuhalisia sijawahi kuona michango yao ktk chochote kile na wengine hawajawahi ongea chochote ama kuchangia chochote ndani ya bunge tangu waingie mule,

wanalipwa kwa Kodi zetu,inauma Sana jamani ifikie mahali wahusika mtuonee huruma,hapohapo ukichunguza utagundua wengi wamepewa viti maalum ajili ni nyumba ndogo za wakubwa,kweli jamani!kwa nchi changa Kama hii,Sasa mwaka huu yamejidhihirisha hadharani na wao kwa wao wanasemana hadharani,ifike mahali Tanzania tuamke jamani,
 
Back
Top Bottom