1.HARMONIZE
Rajab Abdul ‘Harmonize' - Tandahimba Mkoani Mtwara kwa Tiketi ya CCM
2.SHILOLE
Zuwena Mohammed 'Shilole' - Igunga Kwa Tiketi Ya CCM
3.STEVE NYERERE
Steven Mengele ‘Steve Nyerere - Jimbo la Iringa Mjini kwa Tiketi ya CCM
4.KINGWENDU
Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu, - Pwani Kisarawe kwa...
Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson amesema tarehe 24 Julai atatangaza jimbo atakalogombea Ubunge kwani kwa sasa kipyenga ndani ya chama bado hakijapulizwa.
Dkt. Tulia Ackson amekuwa akihusishwa na majimbo ya Mbeya Mjini na Kawe ambayo Wananchi wameonesha kutaka mabadiliko ya wabunge.
Chanzo: Clouds...
Chini ya ufundi makini wa Dkt. Tulia Akson naambiwa kuwa huu mjengo upo katika hatua za mwisho. Fundi mkuu ni Tulia huku akiwa na wasaidizi kadhaa.
Ama kwa hakika zaidi ni kuwa Mbeya mmempata mtu ambaye mara mojamoja atakuwa anatoka bungeni kuja kufyatua mijengo ya wapiga kura wake hapo Mbeya...
Mwigizaji mkongwe wa vichekesho hapa nchini, Rashid Mwinshehe maarufu kama "Kingwendu" amesema kwa mara nyingine atagombea ubunge wa Kisarawe kupitia chama chake cha CUF na safari hii ameapa kumng'oa mshindani wake mkuu Suleiman Jaffo
Maendeleo hayana vyama!
Kingwendu amesema anagombania...
Tunasubiri tuone atasema nini Rais Mzalendo Magufuli
------ UPDATE----
Rais Magufuli leo amemwapisha Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anayechukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo baada ya kutenguliwa Juni 19, 2020.
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI)
Nami niungane...
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli.
Dkt. Tulia ni msomi, energetic, determined, focused na mwenye uwezo wa...
Hali ya kisiasa kwa wanaChadema walioenda CCM si nzuri kwa kweli.
Hofu kubwa ni kugeukwa na CCM, na wakigeukwa tu basi itakuwa ndio mazishi yao ya kisiasa. Huku hofu ni kubwa ya kukatwa jina.
Wengi ni wageni hawana mtandao wa kura ndani ya CCM, jamani CCM msiwatupe, vikao vya juu viwakate...
Takukuru Mkoa wa Songwe inamshikilia Mjumbe wa Baraza la UWT Taifa toka Mkoani Songwe Neema Ndabila kwa kukutwa akigawa Rushwa kwa wajumbe wa UWT wa Wilaya ya Songwe kwa lengo la kumuunga mkono ili aweze kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Viti maalumu.
Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Songwe DAMAS SUTA...
Kuelekea uchaguzi mkuu October Moshi yametokea mengi kupitia wanaotaka kugombea ubunge Jimbo la Moshi mjini.kule kata za pasua na boma mbuzi madiwani wanaogawa vifaa vya kujikinga na corona wakati huo huo wakiomba Kura za ubunge .wakati huo huo wafuatao wako mitaani kuomba Kura na kugawa rushwa...
UBUNGE SIO THE COMEDY
Na, Robert Heriel
Ujumbe huu ni mchungu lakini naomba ufike kama nilivyokusudia, pengine maneno yake yakawa makali. Hivyo natoa angalizo; Kama unaroho nyepesi na mihemuko ya karibu tafadhali usisome.
Kuna kitabia cha kipuuzi Baadhi ya wasanii wanacho, yaani mtu...
Kidumu Chama cha Mapinduzi
Napenda kutumia fursa hii kuwasihi na kuwahimiza vijana wa Chama Cha Mapinduzi tujitokeze kwa wingi katika kuchukua fomu za kuwania nafasi za kuteuliwa na chama chetu ili kugombea nafasi za kuwakilisha wananchi katika ngazi ya ubunge na uduwani, nawahimiza vijana...
Iringa siyo mkoa wa mchezo mchezo.
Najua kwamba Balozi Augustine Mahiga (RIP) ndio angechukua ubunge wa hapa lakini Mungu amempenda zaidi.
Sasa kuna azunguka zunguka kudai kimetumwa na mwenezi kugombea, niseme tu Iringa hatutarudia makosa kama CCM mmechemka kabisa; hata Salim hana nia ya...
Ni meya msitaafu wa manispaa ya Bukoba kwa akina Rwetabangula,Rweikiza ,etc
Kusema ukweli jamaa ana ushawishi wa kisiasa hatari, angekuwa mtumishi wa Jehova nafikiri hata shetani angetubu na kuacha ushetani wake.
Ikumbukwe kuwa,Chief Kalumuna mpaka alipofikia hapo ni malezi na taaluma nzuri...
"Wananchi wangu wa Mwibara wameniamini sana, huu ni mwaka wa 10 nawatumikia, wako wahuni wachache ambao wanapita kujaribu kuonyesha kuwa miaka 10 inanitosha niondoke, nimekosa nini? Hadi niondoke? Nimewaambia sina makosa.
.
"Sasa wale wahuni wanasema niondolewe, sina makosa, nitagombea ubunge...
Hakika ukiangalia haka ka clip kafupi moyo lazima ukusisimke na kujiuliza hawa viongozi wana upendo kiasi gani baada ya kupitia machungu na manyanyaso kiasi hiki kwa miaka mitano?
Hakika Chadema ni mpango wa Mungu na kuwaacha hawa na kuchagua wale wajisifiao na kulazimisha kuabudiwa ni sawa na...
Baada ya Rais kutangaza kulivunja bunge la 11 leo Juni 16,2020 mtoto wa baba wa Taifa Madaraka Nyerere ametangaza rasmi kugombea nafasi ya ubunge kwa Jimbo la Butiama mkoani Mara.
Madaraka Nyerere ametangaza nia hiyo kutokana na Mbunge aliyekuwepo kukaa muda mrefu nje ya nchi akipata matibabu...
Leo tarehe 16 Juni 2020, Rais Magufuli analivunja bunge kwa ajili ya kufanya matayarisho ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, ambapo uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika kwa wakati mmoja.
Bunge la 11 lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa...
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo...
Nachukua fursa hii wakati Bunge la Ndugai linaenda kuvunjwa ndani ya saa 24 zijazo kumpongeza mama Lowassa kwa kukataa ubunge wa viti maalumu aliozawadiwa na CHADEMA.
Kwa aina hii ya tabia iliyooneshwa na wabunge wa viti maalumu CHADEMA hawa akina Sungura hakika wangemkwaza sana mama wa watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.