Uchaguzi 2020 Ni wazi Tundu Lissu atajitoa na kumuunga mkono Nyalandu mchungaji Msigwa atarejea kwa Kasesela kutetea Ubunge

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,939
141,912
Siasa ni sayansi.

Ni dhahiri mgombea wa Chadema atakuwa Lazaro Nyalandu na mchungaji Msigwa yeye ni msindikizaji tu.

Ikumbukwe Mh Mbowe na Nyalandu walisafiri hadi Ubelgiji aliko Lisu na kufanya mazungumzo ya kina.

Hivyo Mwenyekiti na makamu wake pamoja na waziri kivuli wa Utalii wakati Nyalandu akiwa Waziri wa Utalii wameshakamilisha awamu ya kwanza ya kumpitisha Lazaro kiaina.

Sasa atasubiriwa mgombea wa ACT Wazalendo ili apimane ubavu na huyu wa Chadema kisha apitishwe mmoja atakayewakilisha muungano wao.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mbona mnamwogopa Lisu hivyo. Lisu ndo atakaepita, Nyalandu hana ushawishi maana kuna baadhi ya sehemu ndani ya nchi hii hajulikani. Lakini Lisu anajulikana hadi kwa Mungu, kwanza ni m beba maono, Mungu hakumwokoa na risasi 16 burebure, kuna kitu Mungu aliona hivyo hata binadamu wasipotaka Mungu atampitisha. Risas 16 zikuppate si mchezo, we hata ikuchune moja tu tunakubadilisha jina sasa hivi
 
Lissu ndo chaguo
Mbona mnamwogopa Lisu hivyo....Lisu ndo atakaepita, Nyalandu hana ushawishi maana kuna baadhi ya sehemu ndani ya nchi hii hajulikani. Lakini Lisu anajulikana hadi kwa Mungu, kwanza ni m beba maono, Mungu hakumwokoa na risasi 16 burebure, kuna kitu Mungu aliona hivyo hata binadamu wasipotaka Mungu atampitisha. Risas 16 zikuppate si mchezo, we hata ikuchune moja tu tunakubadilisha jina sasa hivi
 
dah kama nakuona vile,maisha haya yakikupiga unasahau kama una akili timamu, endelea kumpamba
 
Hofu yangu mgombea CDM ndio turufu kwa JPM kupita bila kupingwa. Nasikia mfalme na wapambe wake hawataki aombe kuraa. Vyama vingine wote watafika bei Mboe nae mbishi, hata kichapo karibuni ni kumfanya asalimu amri.Shida CDM ishakuwa taasisi si Mbowe pekee wa kuamua kuuza haki mgombea.
 
Mbona mnamwogopa Lisu hivyo....Lisu ndo atakaepita, Nyalandu hana ushawishi maana kuna baadhi ya sehemu ndani ya nchi hii hajulikani. Lakini Lisu anajulikana hadi kwa Mungu, kwanza ni m beba maono, Mungu hakumwokoa na risasi 16 burebure, kuna kitu Mungu aliona hivyo hata binadamu wasipotaka Mungu atampitisha. Risas 16 zikuppate si mchezo, we hata ikuchune moja tu tunakubadilisha jina sasa hivi
Lisu anajulikana kila mahali,uongo wa mchana kweupe ,nenda tanzania vijijijin kawaulize kati ya watu 10 wangap wanamjua utaambiwa 2 tu
 
Mbona mnamwogopa Lisu hivyo....Lisu ndo atakaepita, Nyalandu hana ushawishi maana kuna baadhi ya sehemu ndani ya nchi hii hajulikani. Lakini Lisu anajulikana hadi kwa Mungu, kwanza ni m beba maono, Mungu hakumwokoa na risasi 16 burebure, kuna kitu Mungu aliona hivyo hata binadamu wasipotaka Mungu atampitisha. Risas 16 zikuppate si mchezo, we hata ikuchune moja tu tunakubadilisha jina sasa hivi
Ukiangalia kwa makini, wengi wanaom-support Nyalandu au Msigwa hapa mtandaoni, ni pro-CCM. Lengo lao kubwa ni kuwa mgombea wa CCM asipate upinzani mkubwa kwenye uchaguzi.
 
Siwezi kushangaa CDM hawana utaratibu wa kuandaa wagombea wao. Wanapewa wagombea na maadui zao CCM.
 
Back
Top Bottom