ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mch. Michael Msigati atangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Same Magh kupitia TLP, atuma salamu kwa David Mathayo " Sasa ni wakati wa bwana "

    Team salaam! Safari ya TLP kuelekea Oktoba 2020 imepamba moto kwelikweli, Leo chama chetu kimepokea tena Mgombea Wa Ubunge toka Same Magh Mhe. Mch Michael Msigati,
  2. F

    JamiiForums Tanzania Steven Nyerere aibua kiroroja: Atinga ofisi za CCM kuchukua fomu ya Ubunge. Hakujua muda bado ila alipaswa kutangaza nia tu?

    Kuna video inatembea ikomuonesha Steve Nyerere akijinadi kufika ofisi ile kuchukua fomu ya Ubunge. Hivi hakumuelewa Dkt. Bashiru aliposema ni kuulizia tu utaratibu wa kugombea na kutangaza nia? Fomu zitatolewa kuanzia tarehe 14 hadi 17 July kupitia CCM.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Je, Shehe wa mkoa anaweza kugombea ubunge?

    Nauliza tu waungwana maana niko kwenye kujifunza. Kwa mfano, shehe wa mkoa wa Dsm alhad Mussa Salum anaweza kugombea ubunge jimbo la Kawe? Maendeleo hayana vyama!
  4. Dam55

    JamiiForums Tanzania GE2020 Charles Hilary chukua fomu ya Ubunge Jimbo la Kibamba hakika utashinda kwa kishindo

    Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida. Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nilimwelewa Askofu Mwamasika wa KKKT alipojiuzulu Ubunge na kugombea Uaskofu, ila Gwajima amenichanganya

    Kiukweli wakati ule Mbunge wetu mchungaji Mwamasika alipojiuzulu Ubunge kwenye Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na kwenda kugombea uaskofu wa KKKT nilimuelewa sana. Na alipokuja kwetu wananchi kutueleza kwanini anaacha utumishi wa umma na kwenda kuitumikia mamlaka ya juu zaidi kiroho...
  6. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania GE2020 Boniface Budodi atangaza kugombea Ubunge Maswa Magh kwa TLP,atuma salamu kwa Mashimba Ndaki " Nakuja mtumishi wenu nisiye na faida Maswa nipokeeni "

    Hakika TLP kumenoga, Mhe Boniface Budodi atangaza nia ya kugombea Ubunge kupitia TLP, Atuma salamu kwa Mhe Mashimba Ndaki, Awaomba wana Maswa wampokee mtoto wao na mtumishi wao, Awaomba wamuunge mkono Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli kuelekea Oct 2020,
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je, Baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea Ubunge?

    Nauliza tu wadau kama baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea ubunge. Kwa mfano baba askofu Ruwaich anaweza kugombea ubunge jimbo la Ilala? Maendeleo hayana vyama!
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Rorya 2025: Wenje tafadhali sana kachukue Jimbo

    Wakuu habari za asubuhi! Siku chache zilizopita nilisoma uzi mrefu wa mwanajukwaa moja aliyejitambulisha kama mwalimu wa chuo cha MIST huko Mbeya na mzaliwa wa Rorya Mkoa wa Mara. Alieleza kinaga ubaga jinsi wilaya hiyo inavyotafunwa na makundi ya kitarafa linapokuja suala la uchaguzi akisema...
  9. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima kugombea ubunge Kibiblia atafakari upya kama mtumishi wa Mungu

    Habari wakuu! Jana Askofu Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chama tawala na ametoa sababu nyingi tu kwa nn yy ni Askofu na anataka kuingia kwenye siasa! Mm kama mtumishi wa Mungu pia na mchambuzi wa Biblia natoa sababu kwa nini askofu gwajima hatakiwa kuwa kwenye siasa...
  10. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

    Askofu Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na leo amefika kwenye ofisi za chama hicho kupewa utaratibu. Kuhusu kuunga mkono UKAWA mwaka 2015, amesema hajawahi kuwa Mwanachama wa CHADEMA, ila hutetea haki wakati wote. === Aliingia...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

    Dkt. Magufuli ambaye ndiye Rais wa Tanzania leo atarudisha fomu ya maombi ya kugombea urais kupitia CCM kwenye makao makuu ya chama jijini Dodoma. === Updates: Rais Magufuli anarudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Makao Makuu ya chama, Dodoma. Hadi sasa ni...
  12. Uda

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kuondoa viongozi waovu wanaofadhiliwa na wawekezaji kugombea ubunge

    Hii ni fursa rasmi kwa CCM na Serikali ya CCM chini ya Mheshimiwa John Pombe Magufuli kuwafutilia mbali viongozi wote waliotumia fedha za wawekezaji kujipatia madaraka. Wapo baadhi ya viongozi tena wengi wao walijipatia fedha kutoka ugjaibuni na kujiunga na upinzani na walifanikiwa sana...
  13. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Jikumbushe mpambano wa Ubunge kati ya Mwl. na Mkemia Magufuli na Mkulima Phares Kabuye

    UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA BIHARAMULO Mnamo Mwaka 1985 Mwalimu wa Kemia shule ya sekondari Sengerema John Pombe Magufuli aligombea ubunge wa jimbo la Biharamulo akichuana na Mkulima Phares Kabuye. Kabuye alishinda na kutangazwa Mbunge, na Mwalimu Magufuli akarudi Sengerema kufundisha. Mwaka...
  14. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Kabudi bila mbeleko Kilosa ubunge mgumu kwake. Warabu wa Kilosa wanamzidi kutamka majina ya vijiji vya Kilosa

    Ziara ya Rais ya Kilosa iligeuka kama kampeni ya ubunge Kilosa kumnadi Prof. Kabudi. Wakati mawaziri wenzake wakieleza mafanikio ya wizara zao katika kipindi cha miaka 5 inayomalizika haikuwa hivyo kwa waziri Kabudi Prof Kabudi alijikita kutaja majina ya vijiji vya Kilosa tena kwà kukosea...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Utaratibu wa uchukuaji fomu kwa Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani wa CHADEMA sasa hadharani

  16. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Anna Mghwira atagombea Ubunge?

    Bado nafikiria kuhusu hekaya ya Mh Rais kuhusu Mwananzila. Kila mtendaji wa Serikali ninayemfikiria angeliisaidia Sana CC M pale Bungeni kujenga hoja na kunusuru zile mbao za madesk ya binge yasichakae namkumbuka Mwananzila. Baada ya kuandika kuhusu kiu yangu kwa Prof Kitila Mkumbo na Antony...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wanne mbaroni tuhuma rushwa kuwania ubunge

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Lindi, inawashikilia watu wanne, akiwamo mtia nia wa nafasi ya ubunge, Ally Chinumba (CCM), kwa madai ya kuwashawishi wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Kata wampitishe kwenye kura za maoni. Naibu Mkuu wa Takukuru mkoani hapa, Charles...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wakuu wa Mikoa wamenyong'onyea baada ya ndoto za Ubunge "kuyeyushwa"

    Kiukweli angalizo lililotolewa na Rais Magufuli kwa wateule wake wanaotamani ubunge limewanyong'onyeza baadhi ya wakuu wa Mikoa na Wilaya. Chalamila kwa mfano tulitegemea ataenda kumstaafisha mchungaji Msigwa pale Iringa mjini lakini ndio hivyo tena, nafasi yake imechukuliwa na msanii Pierre...
  19. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Madee adai marafiki wanamshawishi akagombee ubunge Kongwa na Dogo janja kugombea Arusha mjini

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya Madee amesema ingawa hajajiandaa kisaikolojia kugombea Ubunge lakini marafiki zake wanamshawishi agombee. Madee amesema yeye ameishi sana jimbo la Kongwa linaloongozwa na Ndugai. Naye Dogo janja amesema yuko tayari kuwatumikia Wananchi na kumpongeza Rais...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Wagombea ubunge wa CHADEMA wale kiapo cha kutohama chama ndani ya miaka 5 vinginevyo ni bora wachaguliwe CCM

    Natoa angalizo na nina imani Mbowe na Mnyika mnanisikia popote mlipo. Ni kwamba kulikoni kutuletea sintofahamu katikati ya muhula ni bora hawa wagombea wenu wa Ubunge mkawalisha yamini au kiapo ili wasituache kwenye mataa katikati ya muhula na kukimbilia CCM. Tumechoka na habari ya kumchagua...
Back
Top Bottom