ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtoto wa Askofu Mkuu wa Kanisa la Baptisti Tanzania, Ezra Arnold Mollel achukua fomu ya kutia nia Ubunge Jimbo la Arusha Mjini

    Mong'oo wa Arusha ambaye ni mtoto wa Askofu Mkuu wa kanisa la Baptisti Tanzania, Arnold Manase amechukua fomu ya kuweka nia kuwania Ubunge Jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya CCM.
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Fred Lowassa achukua fomu ya kuomba ubunge Monduli kupitia CCM

    Fred Lowassa ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa achukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Monduli jijini Arusha. ====== Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Monduli, Langael Akyoo, leo Jumanne July 14,2020 amemkabidhi Fredrick Lowassa fomu ya kuomba ridhaa ya Chama...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Abbas Tarimba achukua fomu ya kuomba ubunge Kinondoni, Usaliti wa Mtulia wafika ukingoni

    ======= Abbas Tarimba ambaye alikuwa Diwani wa Kata ya Ananasif, amechukua fomu za kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge katika Jimbo la Kinondoni.
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki achukua fomu ya kuwania Ubunge Same Magharibi

    Waziri wa Uwekezaji, Angellah Jasmine Kairuki akichukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Same Magharibi kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi leo Julai 14 , 2020. Anayemkabidhi fomu hiyo ni Katibu wa CCM Wilaya ya Same Victoria Mahembe. ===== Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki (Alizaliwa...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM. Adskofu Gwajima pia amewahi kutunukiwa Shahada ya Uzamivu (Doctor of philosopy in Theology...PhD), ambayo ameisomea katika Chuo cha Omega Global University...
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea 65 Ubunge Jimbo la Rorya

    Wakuu amani iwe kwenu! Bila kupoteza muda napenda kuzungumzia list ya wagombea 65 wanaodaiwa kutia nia kwa tiketi ya CCM katika jimbo la Rorya. Hii list mara ya kwanza niliipata ikitokea kwa rafiki yangu aliyeko nchi ya China kwasasa ikiwa na majina 50 nilipopitia hayo majina nilipigwa na...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

    Uzi huu ni maalum kwa ajili ya matokeo ya kura za maoni Ubunge kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. SEGEREA Jumla ya kura 144 Agness lambert 76 John Mrema 56 Masatu Wasira 7 Gango Kidera 3 Andrew 1 Kura zilizoharibika 1 BUNDA MJINI Esther Bulaya ameshinda kura za maoni Bunda mjini kwa...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi ndiyo 'Watia Nia' ya Ubunge Jimbo la Iringa Mjini walivyokubaliana 'Kujipendekeza' kuihudumia Lipuli FC ili iwape 'Tiketi' ya kuwa Wabunge

    Kama kuna Nchi ambayo dunia nzima Siasa zake si tu kwamba ni tamu kuzisikia na kuzitizama bali pia ni ' Komedi ' tosha kutokana na 'Vituko' vyake basi ni za nchini Tanzania. Katika hali isiyokuwa ya Kawaida kabisa Watia nia ya Ubunge Jimbo la Iringa Mjini kutoka CCM, CHADEMA na ACT wameamua...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kumekucha: Mchakato wa kura za maoni kwa Wagombea ubunge wa CHADEMA waanza rasmi leo

    Hii ni taarifa ninayoileta kwenu wana JF ili muwe wa kwanza kufahamu kinachoendelea . Maandalizi yote yamekamilika na kaeni tayari kupewa taarifa zaidi kwa kadri zitakavyotufikia . Mungu ibariki Chadema UPDATES: ................... Kishoa ameshinda Iramba Bulaya ameshinda Bunda Matiko...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watia nia Ubunge Njombe mjini wafikia 23

    Kwa mara ya kwanza ubunge CCM Njombe Mjini wapata watia nia wengi na mchanganyiko toka kada mbalimbali. Sasa wafikia 23. Kazi na uchapakazi wa Magufuli amewavutia watu wengi kuingia kwenye siasa za CCM. Yupo Mwalongo mbunge mstaafu Mwalimu Dr. L. Mwalongo Mr. Mchami diwani CCM mstaafu Mr...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanamke Mwenye Ulemavu Kutoka Jamii ya Wafugaji wa Kimasai ajitosa Ubunge Viti Maalumu

    Anaitwa Pano Kashu . Ni mkaazi wa kijiji cha Kambala Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro.... Pano ni msomo akibobea katika fani ya Sheria
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Utapeli: Mgombea Ubunge atia nia kugombea majimbo tofauti , ni Rorya na Tarime Mjini , kila jimbo na Chama chake

    Ikiwa kama nimemsingizia basi nisamehewe , bali rada za wapekuzi wetu waliotapakaa nchi nzima wanaoangalia kwa karibu sana uadilifu wa wagombea wamenasa mmoja wa watia nia akiendesha siasa za kishamba zisizoeleweka Ingekuwa ni kwenye soka basi bila shaka TFF ingemfungia bila huruma , lakini...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Frank Mwakajoka arejesha fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea Ubunge jimbo la Tunduma

    Habari kamili hii hapa Frank George Mwakajoka ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tunduma kwa miaka mitano ( 2015 – 2020.) Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Milanzi kuanzia mwaka 1981-1988.
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Steven Wassira atangaza kugombea ubunge Jimbo la Bunda, Adai 2015 aliibiwa kura

    Mzee bado hajakata tamaa na ameyatamka hayo hadharani kwenye vikao vya ccm Dodoma alipohojiwa na waandishi wa habari
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Henry Kilewo aomba tena nafasi ya kugombea ubunge jimbo la Mwanga - CHADEMA

    Henry Kilewo ni Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kichama Kinondoni pia ni Katibu wa Dar es salaam Kuu, Mjumbe Baraza kuu na Mkutano Mkuu Taifa. Hapa akikabidhi fomu yake kwa Katibu wa Wilaya Mh Lembruce Mchome aliyekamatwa na kuweka mahabusu kwa tuhuma za kupiga picha gari la mkurugenzi wa TISS...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mrema arejesha fomu ya kuomba Ubunge wa Jimbo la Segerea - CHADEMA

    Hakuna haja yoyote ya kumwelezea huyu mtu, anafahamika, kikubwa ni kutambulisha jimbo analolinyemelea , baaaasiiii == John Mrema ni Mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi ndivyo Daniel Naftali alivyorejesha fomu ya kuomba Ubunge Kwela

    Daniel Naftali alikuwa Mgombea Ubunge Jimbo la KWELA kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 Daniel Naftali. Huyu kijana alinyang'anywa ubunge 2015 kwa mtutu wa bunduki. Kila mwananchi wa jimbo lake anafahamu kwamba alishinda kwa kishindo, bali ulifanyika uchakachuaji wa kishamba sana, wengi...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chifu Karumuna achukua fomu ya kugombea ubunge Bukoba Mjini, yasemekana anakubalika kwa 90%

    Huyu kamanda ndiye alikuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba, uko uzi humu JF ulioonyesha kwamba Bashiru Ally akishirikiana na Waziri wa fedha walishindwa kumshwawishi huyu kamanda kujiuza.
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya Heche na Matiko kurejesha fomu za kuomba Ubunge, Tarime yafumuka kwa shangwe, mitaa yafurika wananchi

    Ushahidi huu hapa
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha asema Nassari alimtumia SMS akitaka kuhakikishiwa kupewa nafasi ya kugombea Ubunge tena

    Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha, Reginald Massawe amesema mbunge wa zamani wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari alimtumia ujumbe mfupi akiuliza kama anaweza kuhakikishiwa nafasi ya kupewa nafasi ya kugombea Ubunge tena.
Back
Top Bottom