ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katibu wa Kamati ya Maudhui ya TCRA, Dkt. Philip Filikunjombe achukua fomu ya Ubunge Ludewa kupitia CCM

    Mwanasheria Mwandamizi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzaniania (TCRA) ambaye ni Katibu wa Kamati ya Maudhui inayofungia Vyombo vya Habari kwa kukiuka Kanuni za Maudhui mitandaoni, Dkt. Philip Filikunjombe amechukua fomu kuomba kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Ludewa
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 MC PiliPili ajitokeza kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Bahi kupitia CCM

    Emmanuel Mathias (MC PiliPili) naye ajitokeza kuchukua fomu ya kugombea Ubunge BAHI kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)
  3. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2020 Makongoro Nyerere achukua fomu ya kuwania ubunge Butiama

    Mtoto wa Hayati Mwalimu Nyerere amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Butiama mkoani Mara. Ikumbukwe hivi karibuni Madaraka Nyerere ambaye ni ndugu yake naye aliita waandishi na kutangaza nia ya ubunge jimbo hilo. Pia soma > Uchaguzi 2020 - Madaraka Nyerere, mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Macho na Masikio yangu katika Uchaguzi Mkuu huu Ujao yatajikita zaidi katika Jimbo la Kawe kwa Ubunge na Udiwani kupitia CCM

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. ( aboodmediatz ) Mwijaku achukua fomu kuwania kuteuliwa na CCM kugombea ubunge katika Jimbo la Kawe. ( globalpublishers ) Aliyekuwa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mrisho Gambo achukua fomu kuomba ridhaa kuwakilisha CCM uchaguzi mkuu jimbo la Arusha mjini

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtangazaji wa Clouds, Harrison Kapiga achukua fomu ya Ubunge Iramba Mashariki kupitia CCM

    Haya kumekucha Mtangazaji wa kudumu wa taarifa ya habari pale Clouds TV Harrison Kapiga amechukua fomu kugombea Ubunge jimbo la Iramba Mashariki.
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania GE2020 Asha Baraka achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kinondoni

    Mwenyekiti wa bendi ya African Stars (Twanga Pepeta), Asha Baraka akipokea fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kinondoni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). ===== Asha Baraka alikua Mkurugenzi wa bendi ya Twanga Pepeta. Ameiongoza bendi hiyo kwa zaidi ya miaka 20.
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkubwa Dawa, Profesa Juma Kapuya achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Kaliua

    Mbunge wa zamani wa Urambo Magharibi na waziri wa wizara mbili tofauti nchini, Profesa Juma Kapuya amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kaliua, Tabora. === Prof. Juma Kapuya kama utakuwa unakumbuka alikuwa waziri wa ulinzi na mbunge wa Urambo Tabora wakati wa utawala wa Rais Mstaafu wa...
  9. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyekuwa Meya Arusha, Kalist Lazaro achukua fomu kuwania Ubunge Arusha Mjini

    Aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha Kalist Lazaro, leo Julai 14, 2020 amejitokeza katika ofisi za CCM wilaya ya Arusha kuchukua fomu za kuwania ubunge jimbo la Arusha mjini.
  10. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2020 Steve Nyerere achukua fomu ya Ubunge Iringa Mjini - CCM

    Msanii wa Bongo Movie, Steve Nyerere amefika katika Ofisi ya CCM Iringa Mjini kuchukua fomu za kuwani kugombea ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini. --- Muigizaji wa filamu nchini Steven Mengele, maarufu kama Steve Nyerere, amesema kuwa anawashukuru wale wote wanaomtishia Msanii wa Bongo...
  11. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyekuwa Mbunge wa Momba (CHADEMA), Davidi Silinde achukua fomu ya kuwania Ubunge Tunduma

    Aliyekuwa Mbunge wa Momba (2015-2020), David Silinde amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Tunduma mkoani Mbeya
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkurugenzi wa TPSF Dkt. Godfrey Simbeye achukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Mbozi

    Dkt. Godfrey Simbeye amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Mbozi katika ofisi za CCM Mbozi na amekabidhiwa fomu hiyo na katibu wa CCM Wilaya Julius Mbwiga.
  13. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hawa Mawaziri wana dhamira ya ukweli au uroho wa madaraka?

    Siasa siasani. Siri sirini. Siasa ni sayansi ..siasa ni sanaa. Kuna baadhi ya mawaziri huko nyuma hatukuwaza hata siku moja kuwa watakuwa wanasiasa ...wengi katika baraza la Magufuli hawakuwahi kuwa wanasiasa hata kwa Bahati mbaya.. Mfano 1. Mama Joyce Ndalichako hajawahi kuwa mwanasiasa...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aggrey Deaisile Joshua Mwanri achukua fomu ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Siha

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Agrey Mwanri amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro. === Aggrey Deaisile Joshua Mwanri amezaliwa Julai 17, 1955 alikuwa mbunge wa Siha tangu mwaka 2000, mwaka 2015 aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na amestaafu...
  15. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2020 Profesa Ndalichako achukua fomu kuomba ridhaa Ubunge jimbo la Kasulu Mjini

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako, leo Julai 14, 2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa chama chake ili kiweze kumteua, aweze kugombea Ubunge katika jimbo la Kasulu Mjini kupitia CCM. ==== Joyce Ndalichako alikuwa mhadiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia 2000...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 James Mbowe achukua fomu kugombea ubunge Moshi mjini kupitia CHADEMA

    James Mbowe, mtoto wa kaka wa mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya CHADEMA. Freeman yeye alishatangaza kutetea kiti chake jimboni Hai mkoa huo huo wa Kilimanjaro. Source: Ayo tv Maendeleo hayana vyama!
  17. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtoto wa Askofu Mkuu wa Kanisa la Baptisti Tanzania, Ezra Arnold Mollel achukua fomu ya kutia nia Ubunge Jimbo la Arusha Mjini

    Mong'oo wa Arusha ambaye ni mtoto wa Askofu Mkuu wa kanisa la Baptisti Tanzania, Arnold Manase amechukua fomu ya kuweka nia kuwania Ubunge Jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya CCM.
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Fred Lowassa achukua fomu ya kuomba ubunge Monduli kupitia CCM

    Fred Lowassa ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa achukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Monduli jijini Arusha. ====== Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Monduli, Langael Akyoo, leo Jumanne July 14,2020 amemkabidhi Fredrick Lowassa fomu ya kuomba ridhaa ya Chama...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Abbas Tarimba achukua fomu ya kuomba ubunge Kinondoni, Usaliti wa Mtulia wafika ukingoni

    ======= Abbas Tarimba ambaye alikuwa Diwani wa Kata ya Ananasif, amechukua fomu za kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge katika Jimbo la Kinondoni.
  20. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2020 Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki achukua fomu ya kuwania Ubunge Same Magharibi

    Waziri wa Uwekezaji, Angellah Jasmine Kairuki akichukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Same Magharibi kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi leo Julai 14 , 2020. Anayemkabidhi fomu hiyo ni Katibu wa CCM Wilaya ya Same Victoria Mahembe. ===== Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki (Alizaliwa...
Back
Top Bottom