ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha asema Nassari alimtumia SMS akitaka kuhakikishiwa kupewa nafasi ya kugombea Ubunge tena

    Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha, Reginald Massawe amesema mbunge wa zamani wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari alimtumia ujumbe mfupi akiuliza kama anaweza kuhakikishiwa nafasi ya kupewa nafasi ya kugombea Ubunge tena.
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jesca Kishoa Kafulila kuchukua fomu kugombea Ubunge CHADEMA Iramba ni kejeli na dharau kama si matusi kwa vijana wenzako

    Awali NI kupongeze Sana,kwa kitendo chako Cha kijasiri kuwa licha ya changamoto na matatizo lukuki iliyopitia CHADEMA umebaki imara! Ni lazima nikusifu kwa kuwa hats ndani ya familia yako changamoto hizi zilitamalaki. Hongera Sana! Ni bahati mbaya sana huku ndani JF tunatumia majina bandia...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya CCM kuzidiwa: Mkuu wa Mkoa wa Morogoro atuhumiwa kumnyanyasa Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Daniel Shilla. Ameagiza akamatwe na Jeshi la Polisi

    Hii ni aibu kubwa sana kwa Mtu mzima ambaye ni juzi tu ameteuliwa kutoka ccm Arusha na kuwa RC wa Morogoro .
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbona Takukuru wanakamata wagombea ubunge wa CCM pekee ina maana Chadema hakuna rushwa?

    Najiuliza tu. Maana kwanza alikamatwa Dr Kigwangalla akigawa baiskeli lakini akajitetea na kutoa vifungu vya sheria vinavyomlinda. Kisha akakamatwa Kibajaji bado sijajua imeishaje lakini leo kakamatwa Serukamba. Ndiposa najiuliza hiyo rushwa inatolewa huko chama tawala pekee? Au CHADEMA bado...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Bunda wamchukulia fomu ya kugombea Ubunge Ester Bulaya

  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Godbless Lema achukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Wakala wake

    Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini (Chadema),Godbless Lema ametangaza nia ya kugombea nafasi ya ubunge ndani ya chama hicho baada ya kuchukua fomu makao makuu ya chama hicho na kuahidi ushindi was kishindo. Akikabidhi fomu hiyo kwa mke wa Lema,Neema Lema baada ya Lema kuwa safarini...
  7. Gia kubwa

    JamiiForums Tanzania Ukomo wa mihula ya ubunge

    Jana Katibu Mkuu wetu alizungumzia sana ukomo wa Urais ila akapitia kwa mbaaali kuzungumzia ukomo wa wabunge ila vijana tuliinasa nikajiuliza hivi kwanini? 1. hakuna ukomo wa ubunge na kuna video clips na picha za wabunge wazee kulala hadi kukoroma bungeni, wengine hawana maajabu wapo wapo tu...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jesca Kishoa achukua fomu ya kuomba Ubunge jimbo la Iramba Magharibi - CHADEMA

    Wasifu Jesca David Kishoa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020. Elimu Ruaha IringaDegree20102013Bachelor Degree Dr. Salmin Secondary SchoolCSEE20042007Secondary School Hijra...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

    Officialshilole Naandika haya, nikiwa na akili timamu na utulivu, La kwanza kabisa nataka KUOMBA RADHI JAMII YANGU. Naomba radhi kwa sababu niliwaaminisha ndoa yangu haina tatizo, huku ukweli ukiwa hauko hivyo, nimekuwa mtu wa kuambulia vipigo na MENGINE yasiyozungumzika, Naomba radhi kwa sababu...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Diwani wa Tabata, Patrick Asenga achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Rombo, kupitia Chadema

    Huyu Kamanda ni miongoni mwa wapambanaji wanaofahamika jijini Dar es Salaam, ni mpigania haki asiye na shaka yoyote. Wana Rombo wakibahatika kumpata itakuwa baraka kubwa sana. === Mwenyekiti wa Kamati ya Mipangomiji, Miundombinu na Mazingira Mjumbe wa Kamati ya Fedha na Uongozi Mjumbe wa Kamati...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Iringa yapiga marufuku watia nia ya ubunge na udiwani kuweka vipeperushi mitandaoni!

    Kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Iringa imepiga marufuku watia nia wa nafasi za ubunge na udiwani kuweka vipeperushi na mabango mitaani na mitandaoni. Hatua hii inalenga kupunguza vurugu na mizaha ndani ya chama. Chanzo: Azam tv!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tunaitaka TAKUKURU kufanya uchunguzi, kwanini watia nia Ubunge tunatozwa laki nne hadi sita?

    Habari wana jukwaa, Awali ya yote niombe kueleza kuwa huwa napenda kukosolewa kwa Hoja pale mtu atakaposema kuwa nimeongea sivyo au nimedanganya. Ninafahamu kuwa humu wamo ambao wameweka nia kwa ngazi ya ubunge na hivyo baadhi tayari wanafahamu kinachoendelea kuhusu nilichokiandika hapa chini...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Joseph Haule(Profesa J) anogewa na ubunge, achukua tena fomu Mikumi

    Yule mbunge pekee anayewakilisha wanyama na binadamu, ambaye pia amesimikwa kuwa msemaji rasmi wa Mkoa wa Morogoro, Joseph Haule amechukua tena fomu ya kuomba ridhaa hiyo.
  14. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyekuwa Mbunge Viti Maalum CHADEMA, Sabreena Sungura Atia nia kugombea ubunge jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Wananchi CUF

    Mhe. Sabreena Sungura Atia Nia Kugombea Ubunge Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala Mkoani Dar es Salaam Kupitia Chama Cha Wananchi CUF. Sabreena Sungura Mwanamama Jasiri Na Mpambanaji. #2020WanawakeTunawaaminia.
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mstahiki Meya wa Ubungo Boniface Jackob achukua fomu ya kuomba ubunge wa Jimbo la Ubungo kwa Kishindo

    Maneno matupu hayavunji mfupa .
  16. Mchumba

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwaheri Charles Mwijage, Ubunge sio cheo cha Ufalme

    Serikali ya awamu ya tano chini ya Dr John Magufuli wakati ikipambana kuhakikisha nchi inakua kiuchumi kuna baadhi ya viongozi wa ovyo wao akili zao wanawazia nafasi za uongozi wao. Ni tarehe mbili mwezi wa saba tu mwaka huu Tanzania inafanikiwa kuingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambapo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila atengua nia yake ya kugombea ubunge Iringa mjini

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema anatengua nia yake ya kugombea ubunge katika jimbo la Iringa mjini na kwamba ataendelea kuwatumikia wana Mbeya. Chalamila amesema baada ya kumsikiliza Rais Magufuli jana kwa tahadhari aliyotoa kwa wateule wanaoomba ruhusa, alimwelewa vizuri na...
  18. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ngereza tishio jipya ubunge Arumeru Magharibi, awekewa mabeki kila kona

    h
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge wa CCM wageuka kituko, Komandoo Mashimo naye atangaza nia Jimbo la Kibamba

    Huku ndio tulikofikia .
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wenje asikia kilio cha wananchi, atangaza Kugombea ubunge Jimbo la Rorya

    Hii ni taarifa aliyoitoa yeye mwenyewe, kwamba huko Rorya ndio kwao na sasa amedhamiria kuondoa ombwe la uongozi lililokuwepo.
Back
Top Bottom