ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mgombea ubunge Rungwe kwa tiketi ya CCM Enock Bwigane wa TBC amekanusha kupata ajali

    Mtangazaji wa michezo TBC ambaye anagombea ubunge jimbo la Rungwe mkoani Mbeya amekanusha taarifa zinazoenea kwamba amepata ajali mbaya. Bwigane amesema wakati ajali inatokea hakuwa ndani ya gari ila dereva amefariki. Source Swahili Times Rip dereva wa Bwigane. Maendeleo hayana vyama
  2. J

    GE2020 Kahama Mjini wanaCCM 60 wanaogombea Ubunge wapewa onyo kali kwa kujihusisha na rushwa

    Wagombea 60 wa ubunge jimboni Shinyanga Mjini wamepewa onyo kali baada ya kujihusisha na vitendo vya rushwa. Katibu wa CCM mkoani Shinyanga amesema atalifutilia mbali zoezi la kura za maoni kama wagombea wataendeleza vitendo hivyo haramu vya kununua kura Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana...
  3. P

    Wataalamu kuacha kazi zao kukimbilia ubunge, tumeyataka wenyewe

    Kupanga ni kuchagua. Wote ni tumeshuhudia wateule, watumishi mbalimbali, wafanyabiashara viongozi was dini na hata wastaafu wakikimbilia fomu za kuwania ubunge. Hatujiulizi ni vipi mtu uache ukuu wa mkoa eti uka- beti ubunge? Kuna mahala tumefanya kosa Kazi ya ubunge, ya kuwatumikia wananchi...
  4. Angalizo: Walioacha nafasi zao za uteuzi kugombea Ubunge, wakishindwa wakakaa mitaani bila kazi, wanaweza kuwa mwiba kwa JPM

    Hawa jamaa bila shaka walitarajia kwamba watapewa likizo wakagombee, wakishindwa basi warudi kwenye nafasi zao za zamani. JPM ni chuma, ukitema nafasi yako leo, kesho anaweka mtu mwingine, ukishindwa huko ndio nimekula kwako unarudi kijiweni. Wasiwasi wangu ni kwamba hawa jamaa wanajua mambo...
  5. GE2020 Lameck Airo ajiondoa kugombea Ubunge Rorya

    Mbunge huyo anayemaliza muda wake ameamua kujitoa mara tu baada ya kurejesha fomu. Haikutolewa sababu yoyote ya uamuzi huo mzito. Chanzo: Watetezi TV
  6. Jinsi ya kuwachuja wagombea Ubunge maelfu waliotia nia kupitia CCM

    Mimi nimeshiriki interview nyingi na najua maswali ya mitego watia nia wakiwa wengi hata wajae uwanja wa taifa wakigombea nafasi moja. Kuisaidia CCM kuchuja hao maelfu walioomba ni kazi ndogo tu na rahisi Swali moja tu la kwanza la kuwachujia ni kuuliza matawi waliko wanapoishi wameyasaidiaje...
  7. GE2020 Wagombea 460 wajitokeza kuutaka ubunge Kagera kupitia CCM, milango yafungwa

    Wagombea 460 wajitokeza kuchukua fomu za kugombea ubunge Kagera zoezi la uchukuaji fomu lafungwa. ========= Mchakato wa kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ulianza tarehe 14/07/2020 na kumalizika 17/07/2020 saa kumi jioni. Katika mkoa wa Kagera wagombea 460...
  8. GE2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

    Mwitikio si haba kama mnavyojionea wenyewe . UPDATES:
  9. J

    Maisha baada ya kutia nia Ubunge

    Hakika maisha baada ya kutia nia ubunge, yatakuwa magumu sana kwa watia nia wengi ehee Mungu wasaidie watia nia wote maana wengine maisha yao yatabadilika kutoka uchumi wa kati hadi umaskini totoro
  10. Hawa wote wana vibali vya kwenda kugombea nafasi za Ubunge kwenye Majimbo hayo

    Watu wanashindwa kuelewa tu. Ni kuwa wanaonda kugombea ubunge si kwamba walienda kuchukua form wakijua kuwa Rais hatojua. Taarifa walizitoa kwa Rais naye aliruhusu pasipo na shaka. Kutengua ni jambo analolifanya in public watu tu wapate picha flani lakini wote watia nia wanafahamu kuwa wana...
  11. GE2020 Ubunge yawa kama mishemishe za ajira, mkoa wa Mara watia nia 462

    Fursa za ajira zinapotoka waombaji wanakuwa lundo sana, inaweza kutoka nafasi moja wakaomba watu 400. Ndicho kinachotokea kwenye kura za maoni kwa sasa. Tazama Mkoa wa Mara watia nia 462. Ni kweli hawa wote wana wito na uwezo wa kutunga sheria na kusimamia serikali? Au wanasaka nini hasa...
  12. Wateule kuacha nafasi na kukimbilia ubunge inamaanisha nini?

    Licha ya onyo kali la mwenyekiti kwamba mtu aliye mteuwa asijaribu kutangaza nia ya kugombea ubunge sehemu yoyote ile kwani atamkata,lakini hali imekuwa tofauti kabisa kwani wateuliwa asilimia kubwa wameonekana wakiachia nafasi zao na kwenda kuchukua fomu za kuomba kupitishwa kuwa wagombea...
  13. GE2020 Hamis Shimye amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CCM

    Mwandishi wa Habari Uhuru Media Group (UMG) Hamis Shimye amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
  14. GE2020 Martin Msuha amechukua fomu, kugombea ubunge Jimbo la Kibamba kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi

    Aliyekuwa Mbunge jimbo la Mbinga Vijijini 2015/2020 Martin Msuha, amechukua fomu, kugombea ubunge Jimbo la Kibamba kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
  15. GE2020 Abbas Mtemvu ajitokeza tena , achukua fomu ya ubunge Temeke kupitia CCM

    Huyu ndiye aliyekuwa mbunge wa Temeke kabla ya kuangushwa 2015 , lakini 2020 amerudi tena .
  16. GE2020 Mwana JamiiForums Happiness Essau, achukua fomu ya Ubunge Jimbo la Bukoba

    Happiness Essau ALITAKA JIMBO LA BUKOBA MJINI, AJITOSA KUCHUKUA FOMU Bi Happiness Essau akikabidhiwa fomu yake ya kugombea Ubunge Jimbo la Bukoba Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Bi Happiness Essau amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini...
  17. GE2020 Vicent Mashinji achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM

    Aliyekuwa Katibu mkuu wa CHADEMA kabla ya kuhamia CCM, Vincent Mashinji amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi. Jimbo hilo la Kawe lilikuwa chini ya Mbunge aliyemaliza muda wake, Halima Mdee kutoka chama cha CHADEMA. Aidha...
  18. GE2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

    KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA? Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana. Mwananzila alishika nafasi ya...
  19. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe iko wazi, Ole Sendeka arudi Simanjiro kuwania ubunge

    Naona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke. Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.
  20. Napendekeza Makonda akishinda ubunge apewe Wizara ya Mambo ya Ndani

    Raisi Niko chini ya miguu yako naomba Makonda akipita ubunge mpe wizara ya Mambo ndani ana ushikirikiano na polisi na wadau Makonda ana ushirikiano vizuri mno na polisi kawapa Hadi magari tofauti na huyo Simbachawene Wizara ya ndani wadau wakubwa Ni Dini Makonda ana uhusiano vizuri na waislamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…