ubongo

Ubongo is a board game developed by Polish-born Swedish game designer Grzegorz Rejchtman. It originally appeared as Pyramidens Portar by the Swedish publisher Kärnan and won the Swedish Årets spel prize in 2003. The game was later released in Germany in 2005 as Ubongo by the publisher Kosmos and got 4th place at the German board game competition and was among the finalists in the International Gamers Award.
The game is for 2 to 4 players of ages 8 and above, and takes about 20 to 30 minutes. Ubongo is an abstract puzzle game, based on a pentamino variant, reminiscent of a combination of Tangram and Tetris. The game includes a simplified version with fewer pieces, for children and beginners.
Ubongo is well suited for a game for the whole family, because its mechanics entertain both children and adults. Solving puzzles is entertaining by itself and provides excitement when combined with competition with other players.
The word "ubongo" means "brain" in Swahili, a language currently spoken in Eastern and Central Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Mnyoo wapatikana kwenye ubongo wa Binadamu huko Australia

    Mwanamke mmoja nchini Australia amekutwa na mnyoo akiwa hai, mwenye urefu wa sentimeta 8, kwenye ubongo wake wa mbele. Mnyoo huyo aina ya Ophidascaris robertsi mwenye umbo la kamba, kwa kawaida hupatikana kwenye nyoka wasio na sumu, wanaopatikana zaidi Australia, huku ikidhaniwa kuwa huenda...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye sakafu ya ubongo kupitia pua wafanyika Hospitali ya Mloganzila

    Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imefanya upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye sakafu ya ubongo kupitia pua (Endoscopic transphenoidal pituitary) bila kupasua fuvu la kichwa ambapo tangu kuanza kwa huduma hii takribani watu watano wamenufaika na matibabu hayo. Upusuaji huo umefanywa na...
  3. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Jamaa Alienda kupima! Kaambiwa ana kansa ya ubongo` jamaa kamwambia Doctor, toa ubongo! Dct! Mmh! Utakufa!!

    Jamaa mmoja alienda kupima na akagundulika ana kansa ya ubongo! Jamaa alisikitika sana, mwishowe kamwambia Doctor, Doctor basi ondoa ubongo! Doctor Akashangaa, akamwambia! Utakufa maana hakuna mtu aweza kuishi bila ubongo! Jamaa akamwambia Doctor, Siyo kweli doctor! Mbona ccm wanaishi tu!!
  4. Influenza

    JamiiForums Tanzania Van der Sar avuja damu kwenye ubongo, alazwa ICU. Inaelezwa anaendelea vizuri

    Golikipa wa zamani wa Manchester United, Edwin van der Sar amepata tatizo la kuvuja damu kwenye ubongo na yuko katika chumba cha Wagonjwa Mahututi nchini Croatia Taarifa iliyotolewa na Klabu ya Ajax ambapo Van der Sar alikuwa anahudumu kama Mtendaji Mkuu baada ya kustaafu soka, imesema nguli...
  5. D

    JamiiForums Tanzania DP World waje, tusiogope kushitakiwa nje ya nchi

    DP World waje, tusiogope kushitakiwa nje ya nchi Na Deodatus Balile, Los Angeles, California, USA Hapa Los Angeles kuna tofauti ya saa 10 na Dar es Salaam. Sasa hivi wakati naandika makala hii ni saa 8:30 usiku, wakati huko Tanzania ni saa 6:30 mchana. Najikuta usingizi unakwisha mapema kwa...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Elon Musk apata kibali cha kampuni ya Neuralink kuanza kupandikiza Ubongo Bandia kwa Binadamu

    Kampuni hiyo inayomilikiwa na Bilionea Elon Musk imepata kibali cha Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) kufanya jaribio la kwanza kwa Binadamu baada ya kufanya upandikizaji huo kwa Wanyama. Kwa mujibu wa taarifa za #Neuralink, Watu watakaopandikizwa kifaa hicho au Wagonjwa wataweza...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini ubongo haujai kama Flash Disk?

    Nilitegemea binadamu baada ya kurekodi matukio ya maisha yake kwa muda wa miezi kadhaa basi ubongo wake ujae, lakini cha ajabu na cha kushangaza, mtu anafika hadi miaka 100 ila anakumbuka matukio yote ya utotoni. Sasa naomba kujua, ni mechanism ipi inayotumika kwenye ubungi kiasi unashindwa...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Madaktari wafanikiwa kuondoa damu kwenye ubongo wa mtoto

    JOPO la Madaktari katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Kusini, Mtwara wamefanya upasuaji wa kuondoa damu kwenye ubongo wa mtoto wa miaka tisa kwa mafanikio makubwa baada ya kutumia vifaa vya kisasa kufanya uchunguzi na kubaini tatizo hilo. Akizungumza Kwa njia ya simu na chombo kimoja cha habari...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mbagala wapelekewa huduma za kibingwa za mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeendelea kusogeza huduma zake za kibingwa kwa Wananchi katika maeneo mbalimbali hapa nchini, ambapo wagonjwa 150 wamehudumiwa katika Hospitali ya Epiphany Mbagala iliyotolewa Machi 31, 2023. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Anthony Assey amesema...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MOI yapata mashine maalum za Tsh. Bilioni 2 kwa ajili ya kutibu kifafa na upasuaji wa Ubongo

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeeleza mpango wake wa kuanza kutibu maradhi ya Kifafa kwa kutumia vifaa (Mashine) maalumu ya Upasuaji wa Ubongo na Uti mgongo kwa muda mfupi. Dkt. Lemeri Mchome ambaye ni Daktari Bingwa wa Upasuaji kutoka MOI amesema kutokana na Mashine hizo...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila video ya Ubongo Kids YouTube ina chata ya Upinde wa Mvua au rangi za Upinde wa Mvua?

    Hili ni jambo jipya kwa sasa kwa videos za Ubongo Kids. Hapo awali hazikuwa na hizi rangi za upinde wa mvua. Lakini hivi karibuni naona videos zao zote YouTube ambazo zinaenda kwa jina la AkiliAkili zina rangi za upinde wa mvua! Ubongo Kids wametokea kuaminiwa kwa videos zao zinazoburudisha na...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dalili za awali za Saratani ya Ubongo

    Dkt. Nicephorus Rutebas ambaye ni Bingwa wa Magonjwa ya Mishipa ya Ufahamu anasema: Dalili za awali za Saratani ya Ubongo ni kichwa kuumwa, mtu anaweza kuumwa na kichwa muda mrefu, akimeza dawa haisaidii, kuna mauda anajisikia kutapika Anaweza kuona mkono au mguu unaishiwa nguvu kama vile...
  13. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Dalili za awali za Saratani ya Ubongo

    Dkt. Nicephorus Rutebas ambaye ni Bingwa wa Magonjwa ya Mishipa ya Ufahamu anasema: Maumivu makali ya kichwa kwa mgonjwa, anaweza kuumwa na kichwa muda mrefu na maumivu yakawa tofauti na maumivu ya kawaida, hata akimeza dawa haisaidii kupunguza makali, baada ya muda anaweza kuhisi kichefuchefu...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu 360 wanapatiwa matibabu ya Saratani ya Ubongo kwa Mwaka

    Mkurugenzi wa sera na mipango wizara ya Afya Bw.Edward Mbaga amefungua rasmi kongamano la kimataifa la madaktari Bingwa wa ubongo Mgongo na mishipa ya fahamu ulilojikita kwenye matibabu na uchunguzi wa uvimbe kwenye ubongo, mgongo pamoja na saratani ambapo zaidi ya madaktari bingwa 200 kutoka...
  15. Mokaze

    JamiiForums Tanzania Atheists wana mtindio wa ubongo

    Salaamu wakuu. Niende Moja kwa moja kwenye mada. Utakuta mtu anasifia gari ; "Hii gari kiboko kweli mainjinia wake walikuna vichwa balaa katika usanifu na gari hii haina mpinzani kwani katika kila nyanja ipo okay", ilmuradi tu gari litasifiwa hata kama linazo kasoro na mapungufu fulani. Hao...
  16. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Alikuwa mtu au nilikutana na jini au ubongo wangu ndo ulikuwa una-hallucinate: Mwanamke mzuri kapendeza, na hanijui aliniomba 2000 ili akale

    Habarini mabibi na mabwana... Nimekaa na hiki kisa natafakari mara mia mia lkn sipati jibu, naishia kupata mixed feelings tu. Ilikua hivi, Jumamosi iliopota nilitoka zangu kwenda mazoezini mida ya saa kumi na mbili. Niko zangu nakimbia kwenye barabara ya rami, mida hio ilikua bado tupu kiasi...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madaktari Bingwa MOI wapewa mbinu za kisasa za upasuaji wa Vivimbe vya Mishipa ya damu kwenye ubongo

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) zimeanza kutoa mafunzo maalum ya upasuaji wa vivimbe vya mishipa ya damu kwenye ubongo kwa mbinu za kisasa kwa madaktari bingwa waliohitimu katika chuo hicho ambapo wagonjwa...
  18. mcshonde

    JamiiForums Tanzania Chip ya ubongo neuralink kuanza kuwekwa 2023

    Elon Musk amedai kuwa ndani ya miezi sita ijayo Neuralink itakuwa tayari kuwekwa kwenye ubongo wa binadamu. Chip hii ambayo ni kama laini ya simu imeundwa ili iweze kuungana na utendaji kazi mzima wa ubongo kuanzia kumbukumbu n.k. Kupitia tukio aliloliita “show and tell” tajiri Musk ameongeza...
  19. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwanafunzi apasuliwa korodani na polisi, ubongo umeyumba. Alikuwa akiteswa

    Kila siku ni kilio na majonzi dhidi ya polisi. Haya mambo yataisha lini jamani. ======== MWANACHUO wa Chuo Kikuu cha SAUT mkoani Mwanza, Warren Lyimo anayedaiwa kupigwa na kuteswa na Polisi hadi kupasuka korodani, amesimulia mambo mazito na yakutisha katika mkasa huo. Tukio la Warren kupigwa...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Educational Consultant at UBONGO

    POSITION: Education Consultant (Learning through Play) REPORTS TO: Research and Outreach Supervisor LOCATION: Kenya, Nigeria or Tanzania 8 months (September 2022-May 2023) – position pending funding Full time UBONGO is Africa’s leading producer of kids’ edutainment. As a non-profit social...
Back
Top Bottom