ubongo

Ubongo is a board game developed by Polish-born Swedish game designer Grzegorz Rejchtman. It originally appeared as Pyramidens Portar by the Swedish publisher Kärnan and won the Swedish Årets spel prize in 2003. The game was later released in Germany in 2005 as Ubongo by the publisher Kosmos and got 4th place at the German board game competition and was among the finalists in the International Gamers Award.
The game is for 2 to 4 players of ages 8 and above, and takes about 20 to 30 minutes. Ubongo is an abstract puzzle game, based on a pentamino variant, reminiscent of a combination of Tangram and Tetris. The game includes a simplified version with fewer pieces, for children and beginners.
Ubongo is well suited for a game for the whole family, because its mechanics entertain both children and adults. Solving puzzles is entertaining by itself and provides excitement when combined with competition with other players.
The word "ubongo" means "brain" in Swahili, a language currently spoken in Eastern and Central Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. Bess

    JamiiForums Tanzania Inashauriwa kutembelea maziwa makubwa, mito, fukwe za bahari kuimarisha afya ya ubongo

    Summary: Inashauriwa kutembelea maziwa makubwa, mito, fukwe za bahari ili kuimarisha afya ya ubongo wa mwanadamu Tafiti iliyofanyika imeonesha watu waliotembelea maeneo haya wana afya nzurr ya ubongo na magonjwa yaambatanayo na msongo wa mawazo/ama uchovu hayawakaribii kabisa Ushauri: Sio tu...
  2. Mancobra

    JamiiForums Tanzania Underground Hip-Hop Tanzania ni chakula cha Ubongo

    Habari za wakati huu wakuu, mimi Ni mdau mkubwa wa game ya Hip Hop ya hapa Bong (mainstream na underground hip hop). Leo nataka tujadili kuhusu hip hop ya bongo especially, underground hip hop. Underground hip-hop Ni aina ya rap inayofanywa na wasanii ambao wamejikita kuelezea matatizo...
  3. mediaman

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa pombe una athari mbaya kwenye ubongo, utafiti wabaini

    Watafiti katika Chuo Kikuu cha Oxford wanasema hata unywaji kiasi wa pombe unahusishwa na kuenea zaidi kwa athari mbaya kwenye ubongo kuliko ilivyotambuliwa awali. Utafiti huo umebaini kwamba kiasi chochote cha unywaji wa pombe kinaweza kukuletea madhara kwenye ubongo wako. Utafi huo...
  4. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Kisayansi ubongo wa Mwanaume Vs Mwanamke

    Jana muheshimiwa Rais alisema hakuna tofauti kati ya ubongo wa mwanamke na ule wa mwanaume.. Naafiki kauli yake lakini wanasayansi wanasema kuna tofauti. Kuna mmoja ameniambia ubongo wa mwanaume ni mkubwa kuliko ule wa mwanamke. Wanasayansi mliopo humu naomba tusaidiane maana nasikia ubongo wa...
Back
Top Bottom