ubaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania IPP Media acheni Ubaguzi wenu kwa Jamii nyingine. Mlichoandika hapa ni ukaburu

    Ukiangalia hii taarifa unajiuliza kutaja asili ya kihindi lengo lake lilikuwa ni nini? si walishasema Mtanzania? Je, kosa lake linahusiana na Asili yake? Why wataje Asili ya Mhusika? Utagundua. Ni Ubaguzi. Na tukatae kabisa Ubaguzi. Siku nyingine Watandika Mtanzania Mwenye Asili ya Tanga...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Chanjo ni hiari, wasiochanja wasibaguliwe

    Juhudi za ulimwengu kuudhibiti ugonjwa wa Covid-19 zimeendelea kuenea ulimwenguni kote baada ya mataifa kuanza kutoa chanjo zitakazowaweka wananchi wake salama dhidi ya maambukizi ya virusi wanaosababisha ugonjwa huo. Tanzania ni miongoni kwa mataifa ambayo tayari yamepokea chanjo kupitia...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela: China na Afrika ziko pamoja kithabiti katika vita dhidi ya ubaguzi wa rangi

    "Kengele inalia, ikimwita arudi nyumbani, kama ni kusikitika na maisha yake. Kitu ngozi nyeusi inachomletea ni pambano la kujitolea kwa watu wa rangi zote.” Miaka 31 iliyopita, aliyeguswa na hadithi ya Nelson Mandela, Wong Ka Kui, mwimbaji mkuu wa bendi ya BEYOND kutoka Hong Kong, China...
  4. Arch - Forum Tz

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kataa na Pinga Unyanyasaji, Ubaguzi na Ukatili Wa Makundi Maalumu Katika Jamii

    Katika jamii zetu yapo makundi Mbalimbali ambayo yanakumbwa na unyanyasaji, Ubaguzi pamoja na ukatili. Licha ya kuwa wapo watu wengi ambao wankumbwa na hali hiyo ila nitajikita katika makundi maalumu. Makundi hayo yapo katika mgawanyo huu: Makundi haya kila kundi linachangamoto yake na...
  5. Kasomi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waafrika hatupaswi kushabikia soka la Ulaya

    Waafrika Haipaswi Kushabikia Soka la ulaya "Uropa" Waafrika wanapoteza wakati muhimu kutazama Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga ya Uhispania, Bundesliga na ligi zingine za kandanda za Uropa. Wakati wanapuuza ligi zao za michezo. Kwa sababu tumeambiwa kwamba kutazama mpira wa miguu ni jambo la...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu kwanini sheria ya bodi ya mkopo ina ubaguzi?

    1.Ilipoanzishwa VRF 6% mwaka 2013 ikatumiwa kwa wote hata wale waliokopa kabla ya 2013. 2. Ilipoanzishwa makato 15% mwaka 2016 ikatumika kwa wote hata wale waliokuwa wanakatwa kabla ya 2016. 3. Ilivyofutwa VRF 1st May 2021 na Rais Samia imeanza kutumika kuanzia mwezi huo huo May 2021. Huku...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maswali yanayohusu kabila na dini kwenye vyombo vya dola yanaashiria ubaguzi

    Maswali unapoenda polisi una shida labda umepoteza vitambulisho au shida nyingine tu, unaulizwa eti kabila gani, dini gani maswali hayo ameyatilia shaka kuwa yana viashiria vya ubaguzi. Hata Mimi sioni kama yana tija badala yake naona wangehoji eneo analotoka mteja wao ili kuweka takwimu...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini Ally Saleh akatazwe kugombea Urais TFF? Ni ubaguzi wa wazi

    Tanzania ni muungano wa nchi mbili yaani Tanganyika na Zanzibar. Hilo halina ubishi kabisa. Pia ni kweli Zanzibar tunacho chama cha soka yaani ZFA. ZFA ni mwanachama wa CECAFA NA CAF lakini wamekataliwa kuwa wanachama wa FIFA KWA SABABU SIO NCHI HURU. Kwa kuwa FIFA wameamua hivyo kutokana na...
  9. toplemon

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi kwa sasa Tanzania wanajichubua kwasababu ya ubaguzi wa kifamilia na kijamii

    Vijana wa kiume na wa kike sasa hivi wanajichubua kwasababu ya ubaguzi na upendeleo unaokuwepo ktk jamii Mfano unakuta mtoto anakosea mzazi anamwambia kwamba amefanya hivyo na ndo maana tu mungu alimuumba mweusi Mweusi kama chungu cha mchawi Wewe ni mweusi hadi huko rohoni kwangu Una uzuri...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi umezidi, hamu ya kurudi nyumbani inanijia kwa kasi

    Mzuka Wanajamvi, Kuna ubaguzi wa hali ya juu hasa kwa sisi Ma-nigger. Sasa hivi eti sisi wote tuna Corona hata ukivaa maski wanaziba pua. White nationalist and far right wanaendeleza propaganda zao za chuki eti tume kuja kuchukua social money (what is rightful there's) na mademu zao wenye...
  11. Marco Polo

    JamiiForums Tanzania Medical Council of Tanganyika (MCT) na ubaguzi kwa Wazanzibar

    Nafahamu kwamba swala LA afya sio issue ya Muungano, ila lwanini sisi Wazanzibar tuliokuwa hatuna leseni za MCT mmefunga mfumo wenu wa usajili? Mnajua kabisa usipokuwa na l Leseni ya MCT huwezi kuomba hizi ajira mpya sasa kwanini msitufungulie tuombe? MCT acheni hujuma, hizo ajira kila MTU...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni virusi vya Corona au ni watu wenye ubaguzi wa rangi?

    Maambukizi ya virusi vya Corona yamefichua unafiki kuwa nchi zile zinazopinga vikali ubaguzi wa rangi ndio zenye vitendo vibaya zaidi vya ubaguzi wa rangi. Wakati virusi vya Corona vilipogunduliwa kwa mara ya kwanza mjini Wuhan, China, wao walitoa kauli ya ubaguzi kama “virusi vya China”...
  13. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi kwenye usaili Dodoma standard gauge

    Usaili mradi wa reli ya mwndo kasi ni shida, wanaofanya usaili na wako vizuri wanaondolewa na wanaingizwa wenye pesa na wanojulikana tu. Bila kujali mtu amekaa hapo zaidi ya wiki ametoka mbali ngarama zote mpaka vipimo juu yako halafu mtu anaambiwa amefeli arudi nyumbani, Serikali ingilieni...
  14. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Ukomo wa umri ni moja ya ubaguzi katika suala la ajira unaopaswa kukemewa

    Habari wadau! Hili swala la ukomo wa umri katika suala la ajira binafsi naona litakuja kuwagawa watu wengi hususa kizazi hiki cha sasa. Ajira zinatolewa unaambiwa applicant must not exceed 30yrs au 35yrs. Nina uhakika wengi tunamaliza vyuo tukiwa na 23-25yrs jumlisha miaka ya kusugua gaga...
  15. JERUSALEM 2006

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeacha damu yangu ughaibuni (Michigan, US) kisa ni ubaguzi wa rangi. Ushauri please

    Mnamo mida ya jioni( saa kumi hivi), ikiwa ni majira ya spring katika mji wa Houghton (Michigan) nilikuwa nimetoka kufaidisha kinywa katika mghahawa wa Rodeo Mexican Kitchen, nilipokea simu ya dharula kutoka kwa kiongozi wetu wa tech club, kwamba tunahitajika mara moja kwa dean of students wa...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kituo cha BBC chatuhumiwa kuchochea chuki na ubaguzi dhidi ya Wanawake wa Kiislamu Nchini Uingereza

    Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC limeshtumiwa kwa uchochezi wa chuki dhidi ya 'Uislamu na wanawake Waislamu'. Katika kipindi kimoja cha "Wakati wa Mwanamke" kwenye Redio ya BBC 4 kilichohudhuriwa na watu 100 nchini Uingereza akiwemo mchekeshaji maarufu Deborah Frances-White na wabunge...
  17. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa ubaguzi wa kiuchumi, kieneo na ukabila nchini Tanzania

    Tusiposema sasa mawe yatasema. Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo, ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania. Haya ni mambo ambayo Tanzania hatukuyazoea wala kushuhudia toka enzi za kupata uhuru. Mwalimu alijishusha mno na hata hakupendelea kwao kwa...
  18. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Siamini kama duniani kuna ubaguzi wa rangi

    Zamani wazungu walikuwa wanawabagua wajapani wakiwaita nyani. Lakini baada ya wajapan kuendelea na kuonyesha mambo wanayoweza kufanya kumekuwa na heshima kubwa sana kati yao. Wajapan wenyewe walikuwa wana wabagua wachina na kuwaita watu wagonjwa wa Asia. Leo mchina ameonyesha uwezo wake duniani...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif akiri kuwepo kwa ubaguzi wa ajira Visiwani Zanzibar unaosababishwa na tofauti za kisiasa

    Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ameeleza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa ajira ikiwa ni hatua za kutibu ubaguzi wa ajira visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea). Amekiri kuwepo kwa ubaguzi wa ajira kwa baadhi ya Wazanzibari, unaotokana na misingi ya...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tujadili ubaguzi; Kwanini viongozi wakubwa wanaoibia Taifa letu awachapwi viboko adharani mbele ya camera?

    Maskini katika nchi yetu akihisiwa kutenda kosa au akituhumiwa kutenda kosa viongozi uchukua vyombo vya habari na Polisi kisha kuwachapa adharani. Matukio haya yamefanywa kwa waalimu, mafundi ,wanunuzi wa vyuma chakavu nk Ukiangalia adhabu hii inavyotolewa ni wazi utagundua inatolewa kwa...
Back
Top Bottom