Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,689
- 3,265
Rais wa awamu ya sita aliahidi kuwa ana lengo la kuweka ekari 500,000 chini ya umwagiliaji. Ni mpango mzuri sana. Ila utekelezaji wake ni kichekesho sana. Nasema hivyo sababu wamejikita zaidi kwenye umwagiliaji wa matone na visima.
Umwagiliaji huu hauwezi kutufikisha popote katika kilimo. Nchi haiwi mzalishaji mkubwa wa mazao kwa kilimo cha kumwagilia kwa matone na visima.
Zinakuwa kwa kumwagilia kwa mabwawa na maji ya mito mikubwa. Hicho ni cha gharama ndogo na kinachochukua eneo kubwa zaidi hivyo ni rahisi wananchi wa kawaida kukifanya.
Tuacheni kilimo cha showoff. Tufanye kilimo kama watu wanaojielewa.