Tahadhari ya Tsunami kwa mikoa ya Pwani ni ubabaishaji mtupu

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Mamlaka kutoa taarifa za kutisha na kudai kuna uhakika wa kutokea kwa maafa, hivyo kuwataka wananchi kuondoka kwenye makazi yao ni jambo serious sana na halipaswi kutolewa pasipo kujiridhisha.


Ofisi ya waziri mkuu imetoa tahadhari kwa wakazi wa mikoa yote ya pembezoni mwa bahari ya Hindi kuchukua tahadhari juu ya uwezekano wa uhakika wa Tsunami kutokea mida ya saa 10 jioni.

Ndipo vyombo vya usalama vikawataka wakazi wa Msasani kuondoka kwenye makazi yao. Lkn mpk muda huu hakuna hata hata kunguni aliyepeperushwa na upepo. Waliotoa taarifa hii iliyozua taharuki wachukuriwe hatua kali.

IMG-20231018-WA0002.jpg


 
Hivi unaelewa maana ya tahadhari nani katisha watu Volcano inatokea ghafla we unabisha kweli watalaam



Embu nenda ka visit website ya IOWAVE23


HAWANI WAKIMATAIFA WANAOBSERVE INDIAN OCEAN TMA WAMEKOPY TU
 
Hapa kuna tsunami ya uhakika. Chumba changu kimejaa samaki!
Tsunami preparedness exercise inaitwa tsunami. Ni kama kuziita war games "vita".
(Labda ndio kwa ajili hii nimeamka leo asubuhi nimesikia sauti angani inaniita "Waziri Mkuu")
 
Kuna kitu kinaombewa kitokee... Na kitatokea.
Maombi yamekuwa ni mengi mno.

Anyway kila mmoja aishi kwa tahadhari.
 
Back
Top Bottom