twitter

Twitter () is an American microblogging and social networking service on which users post and interact with messages known as "tweets". Tweets were originally restricted to 140 characters, but on November 7, 2017, this limit was doubled to 280 for all languages except Chinese, Japanese, and Korean. Registered users can post, like, and retweet tweets, but unregistered users can only read them. Users access Twitter through its website interface, through Short Message Service (SMS) or its mobile-device application software ("app"). Twitter, Inc. is based in San Francisco, California, and has more than 25 offices around the world.Twitter was created in March 2006 by Jack Dorsey, Noah Glass, Biz Stone, and Evan Williams, launched in July of that year. The service rapidly gained worldwide popularity. In 2012, more than 100 million users posted 340 million tweets a day, and the service handled an average of 1.6 billion search queries per day. In 2013, it was one of the ten most-visited websites and has been described as "the SMS of the Internet". As of 2018, Twitter had more than 321 million monthly active users. Since 2015 Twitter has been a hotbed of debates and news covering politics of the United States. During the 2016 U.S. presidential election, Twitter was the largest source of breaking news on the day, with 40 million election-related tweets sent by 10:00 p.m. (Eastern Time) that day.

View More On Wikipedia.org
  1. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania India yafungia kwa muda akaunti za Twitter za wanaharakati wa mageuzi ya kilimo

    Mtandao wa kijamii wa Twitter umezifungia kwa muda akaunti za baadhi ya watu waliojihusisha na maandamano ya kutaka mabadiliko katika sekta ya kilimo, ikiwamo akaunti ya gazeti maarufu la Caravan linaloandika kuwatetea wakulima, mwanaharakati Hansraj Meena na mwigizaji Sushant Singh. Hatua...
  2. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Akili nyingi pamoja na nguvu nyingi zilizotumika katika kujibu hii tweet!!

    Kama Watanzania tungekuwa tunatumia nguvu nyingi kiasi hiki kama hizi zilizotumika kujibu hii tweet katika kufanya mambo ya msingi nina uhakika kabisa tungefanikiwa katika mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na kutokutawaliwa na mabeberu wazawa pamoja na makaburu wazawa.
  3. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Je, Twitter wana double standard?

    Hawa Twitter wamemfungia Trump account wakitoa sababu kuwa anahatarisha usalama na kunajisi demokrasia. Lakini Hiyo hiyo Twitter imekuwa inawaacha wanaharakati wa Afrika hata kama watawala wake wanapiga kelele kuwa wanahatarisha amani za nchi zao. Nani amewapa uwezo wa kuhukumu kuwa huyu ni...
  4. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kufungwa kwa akaunti ya Trump: Twitter yapoteza USD Bilioni 5 katika soko la thamani

    Soko la Hisa la Twitter limeshuka kwa asilimia 12 baada ya Kampuni ya Mtandao huo wa Kijamii kuifungia akaunti Rais wa Marekani, Donald Trump Ijumaa iliyopita Kuifunga akaunti ya Trump iliyokuwa na wafuasi takriban milioni 88 kumefanya bei ya Hisa kushuka na kupoteza Dola Bilioni 5 (Tsh...
  5. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kansela wa Ujerumani mama Angela Markel apinga uamuzi wa Twitter kumfungia Donald Trump, asema haukubaliki

    Kiongozi wa Ujerumani mama Angela Markel amepinga uamuzi wa Twitter kumfungia Donald Trump kwa kusema utaratibu huo haukubaliki. Markel amesema vyombo vya ulinzi na usalama ndivyo vilitakiwa kuona kama Trump anahatarisha amani au lah na sio menejimenti ya Twitter. Twitter kwenye utetezi wake...
  6. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Sera mpya ya faragha ya WhatsApp inavyowafukuza wateja

    Mapema wiki hii, programu tumishi ya mawasiliano ya WhatsApp ilianza kutoa taarifa kwa watumiaji wake wa Android na iOS kuhusu mabadiliko ya sera ya matumizi na sera ya faragha, ikiwafahamisha wateja wake kuhusu jinsi mtandao huo utakavyomudu taarifa binafsi za watumiaji wake. Sera hizo mpya...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tanzania on Twitter ni akina nani? Kwanini vyombo vya dola vinawachekea?

    Hili ni kundi baya sana, na halifai hata kiduchu. Nashangaa kwa nini hatujasikia crackdown ya hawa member wa hichi kikundi. Kimejaa wahuni na ambao kazi yao kubwa ni kuipaka matope Tanzania na Serikali . Kama inadiriki kuwa huwa wanafanya makongamano ili kupanga njama za kuchafua nchi kwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe mtandao wa Twitter unaweza kuhatarisha usalama endapo utatumika vibaya, ndio maana huwa unafungwa!

    Hapa Tanzania Huduma ya twitter haipatikani kwa uhakika hasa baada ya uchaguzi, inawezekana ni kwa sababu za kiusalama. Rais Uhuru Kenyatta alifunga akaunti yake ya twitter kwa madai kuwa mambo yaliyojaa huko ni kejeli na kuvunjiana heshima na yeye hana muda na mambo kama hayo. Nchini Marekani...
  9. lembu

    JamiiForums Tanzania Twitter wafuta akaunti ya Rais Trump

    Rais wa Marekani Donald Trump amefungiwa kabisa akaunti yake ya Twitter kwasababu ya hatari ya kuchochea vurugu zaidi", kampuni hiyo imesema. Kampuni ya Twitter imesema uamuzi huo umefikiwa baada ya kufuatiliwa kwa karibu kwa ujumbe wa Twitter wa akaunti ya @realDonaldTrump account". Baadhi ya...
  10. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyans on Twitter (KOT) wameforce CNN kuedit their misleading story

    KOT huwa tunapiga CNN sana wakileta ujinga. This time walikuwa wanadanganya kuwa Mzungu fulani ndiye alikuwa mtu wa kwanza kugundua kwamba hump-back wales (aina fulani ya nyangumi) wapo Kenya. KOT iliwaka moto hadi CNN wakaedit story yao. Ikumbukwe kuwa CNN pia waliwahi kuita Kenya "A hotbed of...
  11. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu! Account za FB, Instagram na Twitter za Rais Donald Trump wa U.S.A zafungwa kwa muda usiojulikana

    Sasa ni wazi kabisa Urais wa Donald Trump unaisha kwa aibu na fedheha kubwa. Kitendo cha kuhamasisha wafuasi wake jana kuvamia jengo la Bunge la Congress (Capitol Hill) ili kuzuia bunge lisifanye kazi yake kumwidhinisha Rais Mteule Joe Biden (D) na makamu wake Kamala Harris ilikuwa ni ishara ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya ku-login Twitter

    Natumai tuko vizuri wadau, Nina changamoto yaku login kwenye account yangu ya Twitter almost wiki ya 2 sasa. Nikijaribu kwa mda mrefu inaandika authorizing ila lastly inaandika error, kwenye option yaku forget password au to create new account pia haitaki, natumia iphone 6 plain, na kila aina...
  13. Mkogoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya Wazee wa connection mtuambie kuna habari gani huko Twitter Naona kuna raia kaliamsha tena dude

    Habari Wadau wa humu? Nisiwachoshe wala kuchoshana humu? Ipo hivi huko Twitter kuna connection zinatembea kwamba eti katika wale COVID19 kuna mmoja wao eti kaachia vitu vya dakika kadhaa akiwa anajirecord amepanda juu ya nini sijui? Nafikili ni mtu amepanda juu ya mtu, Sasa basi na jina lake...
  14. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania TCRA achieni Twitter yetu! Tunaojitambua tunaihitaji kwa elimu yetu

    Tuko mikoani tukilamba x-mas yetu lakini tunataka kuwa connected na dunia. Tangu iliposikika kwamba kuna video ya ngono ya wanasiasa wawili, twitter haiko hewani. Tunahangaika kupitia njia za panya ili kuwasiliana na kusoma mambo ya muhimu. Hii kufunga funga itaendelea hadi lini wakati kuna...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuna Grand Corruption nyuma ya maamuzi haya ya wanasiasa wetu

    Wakati tukiwa tunashangazwa na kuumizwa na usaliti unaofanywa na baadhi ya wanasiasa wetu, binafsi naanza kupata mashaka kuwa huenda kuna rushwa kubwa inatumika kuwarubuni wanasiasa hawa mpaka kufikia hatua ya kusaliti wananchi wao na kusaliti msimamo yao. Inawezekana wanapokea mlungula mrefu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Hilda Newton nakushauri kuwa macho na wasiojulikana

    Dada yangu Hilda, sikufahamu na hata wewe hunifahamu, ila binafsi nakusoma sana Twitter kama mmoja wa makamanda. Kabla sijaendelea, naomba kwanza nikupongeze kwa post zako na msimamo yako kwani unaonekana kupinga na kuchukia udhalimu unaoendelea hapa nchini, na katika hili la kupinga vitendo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Baniani mbaya, kiatu chake dawa: Mmezuia Twitter huku na nyie mnaitumia kufikisha ujumbe wenu kwa jamii

    Hawa mabwana mpaka sasa wameubana mtandao wa Twitter, ila cha ajabu wao wenyewe ni watumiaji wazuri wa huu mtandao kitu ambacho kinatushangaza sana. Kama twitter ina watumiaji mnaowaona ni hatari au hawafai, kwanini basi na nyinyi mnaendelea kuutumia huo mtandao baada ya kuubana?Tuwaelewje au...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta aacha kutumia Twitter kutokana na matusi ya wachangiaji

    Rais Uhuru Kenyatta ambaye anatajwa kuwa mkenya mwenye ‘followers’ wengi katika mtandao wa twitter ameifunga akaunti yake ya twitter kwa zaidi ya mwaka Amesema taarifa za nchi zitashughulikiwa na Akaunti Rasmi za Ikulu. Amesema amechana na mitandao kutokana na matusi ya wachangiaji Amesema ‘ni...
  19. Royal Warrior

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hivi wenzangu mnaweza kuingia Twitter kupitia laptop/Kompyuta?

    Habari zenu wakuu, Nimekua nashindwa kuingia Twitter kupitia laptop yangu, je hili tatizo lipo kwangu tu au kwa kila mtu? Kwenye App ya simu inakubali fresh tu
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Itakuwa jambo jema na la busara kama Serikali ya Tanzania itaifungia Twitter

    Hakuna ubishi kabisa watu wengi wanaoneza uongo juu ya Taifa letu ni watumiaji wa mtandao wa Twitter. Huko kuna watu wabaya sana ambao nafikiri sababu wengi wao wanaishi nje ya nchi basi muda wote ni kueneza propaganda za uongo na kutukana viongozi. Mbona China waliifungia baada ya kuona...
Back
Top Bottom