Msaada: Hivi wenzangu mnaweza kuingia Twitter kupitia laptop/Kompyuta?

Royal Warrior

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
1,166
2,117
Habari zenu wakuu,

Nimekua nashindwa kuingia Twitter kupitia laptop yangu, je hili tatizo lipo kwangu tu au kwa kila mtu?

Kwenye App ya simu inakubali fresh tu
 
Back
Top Bottom