tundu lissu

  1. T

    Mpaka sasa Lissu hafai kuwa CHADEMA maana chama hicho ni CCM B, hakina tena mpango wa kupigania wananchi

    Maridhiano yaliyofanywa kati ya CCM na CHADEMA, kila mwenye akili timamu alijua mwisho wake Hao wenye akili na macho ya kuona kama kina Lissu, waliuona huo mchezo kwamba, hauna tija wala mwisho mwema katika kuitafuta dola kama chama cha upinzani! Yale yalikuwa maridhiano ya kuipozesha CHADEMA...
  2. F

    Tundu Lissu ukiwa kwenye mstari wa mbele wa mapambano, yafanye yote kwa weledi na kadiri

    Mheshimiwa Tundu Lissu historia ya vita yako ya kutetea haki na utawala bora Tanzania imeandikwa kwa damu yako mwenyewe, na sina shaka hata kidogo wewe ni mpambanaji wa wapambanaji katika nchi yetu. Kati ya watu wachache wanaoweza kuelezea machungu ya kupigania haki na utawala bora duniani, basi...
  3. J

    Viongozi Wengi wa Siasa ni kama Wachungaji wa Mbuzi lakini Tundu Lissu ni sawa na Mchungaji mwema wa Kondoo!

    Mchungaji mwema wa Kondoo hutangulia mbele na kondoo wa Kundi lake humfuata nyuma Ili atokeapo Mbwa mwitu aweze kuwakabili kondoo wasidhurike. Mchungaji wa Mbuzi hukaa nyuma ya kundi lake na itokeapo hatari awe wa mwisho kudhulika. Tundu Antipas Lissu pamoja na madhila yote aliyokutana nayo...
  4. L

    Mbowe audhibiti mdomo wa Tundu Lissu

    Ndugu zangu Watanzania, Namshauri Mheshimiwa Mbowe achukue hatua za makusudi za kuudhibiti mdomo wa Lissu, maana kwa sasa umeshapoteza muelekeo na dira. Ndio sababu anaongea chochote kinachotua na kumjia katika mdomo wake. Hana breki wala nati za kuubana. Haelewi ni lipi azungumze na lipi...
  5. Pascal Mayalla

    Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, zikijadili jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii lenye maslahi kwa taifa letu. Makala hizi huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utalitoa wewe mwenyewe msomaji. Makala ya leo ni kuhusu...
  6. masopakyindi

    Tundu Lissu, too late a hero!

    Masikini Tundu Lissu, amerudi toka ughaibuni sasa. Lakini si kishujaa! Lalamiko lake la kwanza alipoonana na Mama Samia huko Ubelgiji, ilikuwa pesayake, mafao. Ni kweli mlo hata kwa mwanasiasa ni muhimu, ataishije? Mambo ya siasa yakawa secondary, hayakuwa na umuhimu sana kwake. Mama Samia...
  7. Erythrocyte

    Tundu Lissu aoneshwa gari lake lililomiminiwa risasi, ahesabu matundu ya risasi ashangaa aliponaje

    Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa, Jeshi la Polisi Dodoma leo hatimaye limemuonyesha Tundu Lissu gari lake lile lililotunguliwa na risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua. Tundu Lissu akiwa mbele ya polisi , amehesabu upya matundu ya risasi alizomiminiwa na watu waliotumwa kumuua ambapo hesabu...
  8. JanguKamaJangu

    Tundu Lissu alishuhudia gari lake lililoshambuliwa kwa risasi, asema ataomba kulichukua

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameeleza wapi alipo Dereva wake Adam Bakari ambaye alikuwa naye wakati aliposhambuliwa kwa kupigwa Risasi na watu wasijulikana mwaka 2017 Jijini Dodoma. Akizungumza Leo mei 9,2023 Jijini Dodoma Lissu amesema Dereva...
  9. JanguKamaJangu

    Tundu Lissu: Hatutaki maridhiano ya nusu mkate, tunataka Katiba Mpya

    Tundu Lissu aibua SIRI nzito CCM na CHADEMA. atibua Maridhiano,"hatutaki kupewa nusu mkate, tusikubali kupewa viti vya Ubunge kwa hisani, Chadema tunaambiwa tutapewa majimbo halafu tunachekelea huu ujinga" Chanzo: Jambo TV
  10. J

    Tundu Lissu: CCM wanapenda kumsema sema Magufuli kwa sababu amekufa lakini wote ni Watenda dhambi ileile

    Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amewalaani Viongozi wa CCM kwa kugawana rasilimali za nchi vikiwemo viwanda na kumtaja mmoja wa wanufaika wa ubazazi huo ni mbunge wa Morogoro mjini Dr Abood. Tundu Lissu anesema "CCM wanapenda kumsema sema Magufuli kwa sababu tu AMEKUFA...
  11. Mganguzi

    Tundu Lissu kwasasa hana mvuto tena ndani na nje ya chama

    Tundu Antipas Lissu wa 2015 -2020 sio huyu wa Leo 2023. Lissu wa Sasa ameporomoka hata hoja anazojenga hazina nguvu tena. Labda ni kwa sababu mara nyingi amekuwa akirudia hoja zile zile!! Sijajua wazungu wamemfanyaje Huko alikotoka!! Ajitafute upya huyu sio Lissu tunayemjua
  12. Erythrocyte

    Morogoro: Tundu Lissu awasha moto, ashangaa mabango ya kupatanishwa yaliyobandikwa nchi nzima

    Katika mkutano wake mkubwa wa hadhara wa Morogoro mjini leo hii, ambao bila shaka umevunja rekodi ya mahudhurio, pamoja na mambo mengine, Tundu Lissu anahoji anayebandika mabango nchi nzima yakiwa na picha yake na ya watu wengine kwamba eti wamepatanishwa. Amehojiwa kama wamepatanishwa...
  13. Madumbikaya

    Tundu Lissu alionya kuhusu Madini, Bunge lakiri Serikali inadaiwa na Makampuni ya madini

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa,Tundu lissu aliwaonya serikali kuhusu mikataba ya MIGA lakini wabunge wa ccm pamoja na serikali walimuona Tundu lissu sio mzalendo Bunge lile lile na watu ni wale wale kupitia kwa Prof Mkumbo ambaye ni mbunge wa ubungo wameanza kulalamika kuwa serikali inaingia...
  14. K

    Tundu Lissu tumia ujuzi wako wa sheria ndege iliyokamatwa iachiwe

    Watanzania hawana haja ya kuteseka kuhusiana na kukamatwa kwa ndege ya Air Tanzania ambayo imefikisha miezi 6 sasa bila kuachiwa kwani walitumia kodi zao kusomesha wasomi wazuri wa sheria wenye uwezo wa kutetea hadi makampuni ya nje kama Acacia akina Tundu Lisu na wenzake. Kwenye awamu ya tano...
  15. J

    Bado nina Imani na Tundu Lissu lakini siyo CHADEMA. Magufuli, Lissu, Trump, Putin na Kiduku ni Viongozi Wakweli!

    Tundu Antipas Lissu hanaga Unafiki na ndio aina ya Viongozi wanaotakiwa zama Hizi za Sayansi na Teknolojia Siasa za Uwongo na kuwafanya Wananchi mazuzu na misukule zimeshapitwa na wakati Tanganyika tulipata Uhuru wa mezani ndio sababu Tuko kama Tulivyo tofauti na Wenzetu wa Unguja...
  16. Lituye

    Wanastahili kupewa nishani ya Demokrasia

    Kutokana na taifa hili kuvamiwa kijeshi na kikundi cha watu wasio julikana miaka saba ya utawala wao taifa hili lilijazwa hofu watu kutekwa na kuuawa kama kuku, kupiga risasi watu hovyo na wengine kupotezwa. Wapo wenzetu kutokana na nafasi zao pamoja na hali ya kuogofya bila kutanguliza maslahi...
  17. Erythrocyte

    Baada ya ujio wa Tundu Lissu, CHADEMA yatangaza kuvurumisha Mikutano ya hadhara Kanda ya Kusini

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuanza ziara kabambe ya Kikazi kwenye Kanda ya Kusini. Katibu wa Kanda hiyo Governor Kaduma amewaambia waandishi wa habari Mjini Masasi kwamba kwenye Mikutano hiyo ya hadhara , Kikosi kazi cha Chadema kitaongozwa na yule yule Mwamba wa...
  18. J

    Tundu Lissu aache kumkebehi Rais Samia

    Tundu Lissu kwa maneno yake mwenyewe na kwa kujiamini alisema Magufuli ndiye aliyeagiza apigwe risasi kwa madai kuwa alikua msaliti bahati nzuri akapona. Lissu alidai tena aliponea kuuawa mara ya pili baada ya uchaguzi kumalizika na akaokolewa na ubalozi wa Ujerumani. Rais Samia ambaye ndiye...
  19. JanguKamaJangu

    Tundu Lissu: Serikali imenilipa nusu ya stahiki zangu, nikilipwa fedha za matibabu sitazirudisha kwa walionichangia

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameulizwa kama Serikali imeshakamilisha malipo ya kiinua mgogo chake alichokuwa anadai, majibu yake ni haya: “Nilikuwa nadai kiinua mgogo cha miezi 44 niliyokuwa Bungeni, nimelipwa kiinua mgongo cha miezi 20 bado cha miezi 24. “Nilikuwa nadai fidia ya...
  20. D

    Kilichofanya Tundu Lissu apigwe risasi hadharani hiki hapa

    Kama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail kama kifo Cha JF Kenedy. Kuna mengi katika kitabu nadhani nitayasema nikiandika Uzi kuhusu uhalisia...
Back
Top Bottom