Tundu Lissu, too late a hero!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,172
OIP.3_5yolqYLIYvqZw-oF5O_gHaE8

Masikini Tundu Lissu, amerudi toka ughaibuni sasa.
Lakini si kishujaa!

Lalamiko lake la kwanza alipoonana na Mama Samia huko Ubelgiji, ilikuwa pesayake, mafao.
Ni kweli mlo hata kwa mwanasiasa ni muhimu, ataishije?
Mambo ya siasa yakawa secondary, hayakuwa na umuhimu sana kwake.

Mama Samia kaondoa fitna za kisiasa zilizoachwa na mtangulizi wake, Magufuli.
Sasa Mbowe yuko huru, Lissu karudi Bongo.

Lakini mapokezi ya Lissu yamekuwa ile wazungu wanasema , lukewarm, vuguvugu, na si motomoto.

Hilo Lissu hajui, nimatokeo ya mama Samia kukubalika kwa wananchi walio wengi, ukilinganisha na mwendazake.
Hivyo hata sababu za kumpinga mama wazi wazi hzionekani kuwa na maana sana.

Lissu( na CHADEMA) akubali asikubali, playing field imebadilika sana.

Sasa Lissu anazunguka mikoani akilia kama Yohana Mbatizaji.
Lakini yeye hana njia yoyote ya kuonyesha, njia nzuri kuliko ya CCM na mama Samia.

Na hilo ndo paradox.
Lissu kadoda, hana jipya.
Ile confrontational style yake haina tija kwake wala kwa siasa za Tanzania.
Namshauri akubali tu kuwa a political backbencher, asuburi aone upepo kwanza.

Kwa sasa hivi Lissu is irrelevant.
 
Wanasiasa hawajakubali Hali halisi , inavyotakiwa wafanye tuu siasa na sio kumtaja taja Maghufuli na kumsema , hyo inawafanya wadharaulike Kwa wananchi , ni aheri waliache tuu jina la Maghufuli wapambane na changamoto zilizopo , unapomnanga JPM hakikisha Una backup ya nguvu ya Dola bila hvyo utachina tuu
 
Upinzani watafute kiki mpya kabla ya 2024 la sivyo wataambulia nafasi chache sana kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na ule wa wabunge
 
Wanasiasa hawajakubali Hali halisi , inavyotakiwa wafanye tuu siasa na sio kumtaja taja Maghufuli na kumsema , hyo inawafanya wadharaulike Kwa wananchi , ni aheri waliache tuu jina la Maghufuli wapambane na changamoto zilizopo , unapomnanga JPM hakikisha Una backup ya nguvu ya Dola bila hvyo utachina tuu
Lisu anamalizwa na mambo mawili

1. Maridhiano
2. Kivuli cha Magufuli

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OIP.3_5yolqYLIYvqZw-oF5O_gHaE8

Masikini Tundu Lissu, amerudi toka ughaibuni sasa.
Lakini si kishujaa!

Lalamiko lake la kwanza alipoonana na Mama Samia huko Ubelgiji, ilikuwa pesayake, mafao.
Ni kweli mlo hata kwa mwanasiasa ni muhimu, ataishije?
Mambo ya siasa yakawa secondary, hayakuwa na umuhimu sana kwake.

Mama Samia kaondoa fitna za kisiasa zilizoachwa na mtangulizi wake, Magufuli.
Sasa Mbowe yuko huru, Lissu karudi Bongo.

Lakini mapokezi ya Lissu yamekuwa ile wazungu wanasema , lukewarm, vuguvugu, na si motomoto.

Hilo Lissu hajui, nimatokeo ya mama Samia kukubalika kwa wananchi walio wengi, ukilinganisha na mwendazake.
Hivyo hata sababu za kumpinga mama wazi wazi hzionekani kuwa na maana sana.

Lissu( na CHADEMA) akubali asikubali, playing field imebadilika sana.

Sasa Lissu anazunguka mikoani akilia kama Yohana Mbatizaji.
Lakini yeye hana njia yoyote ya kuonyesha, njia nzuri kuliko ya CCM na mama Samia.

Na hilo ndo paradox.
Lissu kadoda, hana jipya.
Ile confrontational style yake haina tija kwake wala kwa siasa za Tanzania.
Namshauri akubali tu kuwa a political backbencher, asuburi aone upepo kwanza.

Kwa sasa hivi Lissu is irrelevant.
Umenena kweli. Asome alama za nyakati. Angepumzika tu mambo ya siasa afanye uwakili wake.
 
Taarifa kwa Chakaza Salary Slip Erythrocyte Arushaone Sexless na manazi wote wa bavicha
 
He's too obsessed with Magufuli. Teetering against Magufuli equates to political suicide.
How is it political suicide whilst the entire CCM regime is Anti-JPM too!!

I mean in a likely event of Samia vs Lissu come 2025 how does JPM influence determine the winner whilst both are his nemesis?

Hili swali hamna sukuma gang anaweza kulijibu
 
OIP.3_5yolqYLIYvqZw-oF5O_gHaE8

Kwa sasa hivi Lissu is irrelevant.
Wewe ndio hujui siasa, tokea Mama Samia atumie diplomasia hata Mbowe amekua mwana diplomasia so kumekuwepo na Ombwe la mtu radical anayekemea ufisadi wazi wazi. Na aliyekua ku cover Hilo Ombwe ni Tundu Lissu so unaposema sio relevant nashangaa ulitaka naye akae kimya kusubiri maridhiano yaishe? What if it will be too late?

Mwache Mbowe afanye diplomasia tupate katiba, ila Lissu afanye radical politics ujinga ipungue maana ufisadi ni Kila Kona.
 
OIP.3_5yolqYLIYvqZw-oF5O_gHaE8

Masikini Tundu Lissu, amerudi toka ughaibuni sasa.
Lakini si kishujaa!

Lalamiko lake la kwanza alipoonana na Mama Samia huko Ubelgiji, ilikuwa pesayake, mafao.
Ni kweli mlo hata kwa mwanasiasa ni muhimu, ataishije?
Mambo ya siasa yakawa secondary, hayakuwa na umuhimu sana kwake.

Mama Samia kaondoa fitna za kisiasa zilizoachwa na mtangulizi wake, Magufuli.
Sasa Mbowe yuko huru, Lissu karudi Bongo.

Lakini mapokezi ya Lissu yamekuwa ile wazungu wanasema , lukewarm, vuguvugu, na si motomoto.

Hilo Lissu hajui, nimatokeo ya mama Samia kukubalika kwa wananchi walio wengi, ukilinganisha na mwendazake.
Hivyo hata sababu za kumpinga mama wazi wazi hzionekani kuwa na maana sana.

Lissu( na CHADEMA) akubali asikubali, playing field imebadilika sana.

Sasa Lissu anazunguka mikoani akilia kama Yohana Mbatizaji.
Lakini yeye hana njia yoyote ya kuonyesha, njia nzuri kuliko ya CCM na mama Samia.

Na hilo ndo paradox.
Lissu kadoda, hana jipya.
Ile confrontational style yake haina tija kwake wala kwa siasa za Tanzania.
Namshauri akubali tu kuwa a political backbencher, asuburi aone upepo kwanza.

Kwa sasa hivi Lissu is irrelevant.
Muancheni Lisu ni Mzalendo namba 1 Tanzania. The true son of Africa.
 
Wewe ndio hujui siasa, tokea Mama Samia atumie diplomasia hata Mbowe amekua mwana diplomasia so kumekuwepo na Ombwe la mtu radical anayekemea ufisadi wazi wazi. Na aliyekua ku cover Hilo Ombwe ni Tundu Lissu so unaposema sio relevant nashangaa ulitaka naye akae kimya kusubiri maridhiano yaishe? What if it will be too late?

Mwache Mbowe afanye diplomasia tupate katiba, ila Lissu afanye radical politics ujinga ipungue maana ufisadi ni Kila Kona.
Umenena vema,ni wahafidhina matutusa tu wanashindwa kuuona ukweli huu. Wengi wanaamini kuwa Lissu anapingana na Mbowe,ukweli ni kuwa Lissu anajua anachofanya Mbowe na Mbowe anajua anachofanya Lissu. Wanapita njia tofauti lakini destination ni moja. Hata Samia.anajua kuna wahafidhina huko CCM wasiokubaliana na staili yake ya maridhiano tofauti ni kuwa wahafidhina wa CCM hawako.huru kuja hadharani kama afanyavyo Lissu.Mbowe na Lissu wanaenda kuhutubia jukwaa moja Kigoma.
 
Wewe ndio hujui siasa, tokea Mama Samia atumie diplomasia hata Mbowe amekua mwana diplomasia so kumekuwepo na Ombwe la mtu radical anayekemea ufisadi wazi wazi. Na aliyekua ku cover Hilo Ombwe ni Tundu Lissu so unaposema sio relevant nashangaa ulitaka naye akae kimya kusubiri maridhiano yaishe? What if it will be too late?

Mwache Mbowe afanye diplomasia tupate katiba, ila Lissu afanye radical politics ujinga ipungue maana ufisadi ni Kila Kona.
Ufisadi si siasa, ni swal la utawala bora.
Na hata wewe mwenyewe huna mbadala wa kisiasa nchini zaidi ya mfumo ulimo kulia.
 
..Lissu angekuwa irrelevant asingeanzishiwa hoja nyingi kiasi hiki hapa JF, na ktk vyombo mbalimbali vya habari.
Kuwa makini, mengi ya yanayoandikwa ni vituko vya Lissu ambavyo wala havina dira au uelekeo.
 
..lakini Watz ni watu wa vituko na mizaha hata ktk mambo ya msingi.

..Watz wanahitaji ELIMU YA URAIA na Lissu ni kati ya wanasiasa wachache wanaotoa elimu hiyo.

..Siasa za sasa hivi ni ngumu zaidi kwasababu zinahitaji kuwabadilisha kifikra Watanzania.

..Nchi hii inahitaji MABADILIKO. Hatuwezi kuendelea na mfumo huu ambapo wananchi na wapiga kura hawajui haki zao.

..Kufanya siasa ktk jamii ya watu wasiojua haki zao naamini ni challenge kubwa na tusiwakatishe tamaa wanaharakati kama Tundu Lissu walioamua kutoa elimu ya uraia kwa wananchi.

..CCM imelenga kuwadumaza na kuwapumbaza kifikra Watanzania. Hilo sio jambo jema hata kidogo.
 
OIP.3_5yolqYLIYvqZw-oF5O_gHaE8

Masikini Tundu Lissu, amerudi toka ughaibuni sasa.
Lakini si kishujaa!

Lalamiko lake la kwanza alipoonana na Mama Samia huko Ubelgiji, ilikuwa pesayake, mafao.
Ni kweli mlo hata kwa mwanasiasa ni muhimu, ataishije?
Mambo ya siasa yakawa secondary, hayakuwa na umuhimu sana kwake.

Mama Samia kaondoa fitna za kisiasa zilizoachwa na mtangulizi wake, Magufuli.
Sasa Mbowe yuko huru, Lissu karudi Bongo.

Lakini mapokezi ya Lissu yamekuwa ile wazungu wanasema , lukewarm, vuguvugu, na si motomoto.

Hilo Lissu hajui, nimatokeo ya mama Samia kukubalika kwa wananchi walio wengi, ukilinganisha na mwendazake.
Hivyo hata sababu za kumpinga mama wazi wazi hzionekani kuwa na maana sana.

Lissu( na CHADEMA) akubali asikubali, playing field imebadilika sana.

Sasa Lissu anazunguka mikoani akilia kama Yohana Mbatizaji.
Lakini yeye hana njia yoyote ya kuonyesha, njia nzuri kuliko ya CCM na mama Samia.

Na hilo ndo paradox.
Lissu kadoda, hana jipya.
Ile confrontational style yake haina tija kwake wala kwa siasa za Tanzania.
Namshauri akubali tu kuwa a political backbencher, asuburi aone upepo kwanza.

Kwa sasa hivi Lissu is irrelevant.
Lissu ni shujaa mkubwa wakati wote, mtu adimu, the legend. Aliyetaka kumuua yeye kafa, Lissu anaishi! Washenzi mjifunze kitu hapa1
 
Back
Top Bottom